YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ana kesi nyingine ya uraia wake haijaishaSasa wale wachumia tumbo walio msimamishia masomo watamrudisha chuoni??? Au ndio saga linaanza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana kesi nyingine ya uraia wake haijaishaSasa wale wachumia tumbo walio msimamishia masomo watamrudisha chuoni??? Au ndio saga linaanza??
Hili jamaa bana yani sikuhizi paskodeliciousGod Bless Magufuli, maana, angalau ameiachia au ameiachia mhimili wa mahakama kutenda haki, na haki yenyewe kuonekana inatendeka.
Big up sana mhimili wa mahakama kwa kutenda haki.
Unaweza usiwe na imani na Bunge, na maisha yakaendelea, usiwe na imani na serikali, maisha yakaendelea, lakini taifa linapokosa imani na mahakama, hakuna maisha.
P
Hivi Africa tuna Uraia kweli?Ana kesi nyingine ya uraia wake haijaisha
kesi zake hazijaisha bado kuna ya uraia bado.Naifatilia kwa karibu sana
Duh yaani kaachiwa huru.. kumbe kuna mambo huwa yanakuzwa ili kutisha watu
Sasa Chuo kinafanyaje maana walimchimba mkwara mkubwa sana
Funny!!! Lakini siku hazigandi kuna siku yataisha haya yote.Ana kesi nyingine ya uraia wake haijaisha
Hakùfukuzwa bali alisimàmishwa mpaka kesì iishe mahakamaniAlishapoteza chuo lakini
Huyo ni lazima atarudia mwaka chuoni unless swe bizuri sana upstairs kwamba anaendelea na masomo nje ya chuo.Hakùfukuzwa bali alisimàmishwa mpaka kesì iishe mahakamani
Itakuwa ni aina fulani ya kifungo cha nje maana macho yote yatakuwa kwake kwa kila anachokifanya, ili kulinda maslahi.. kuachiwa huru
. kifungo cha nje
. kifungo ama faini(atalipa faini)
Mshana..Kaa kimya hawako mbali
sisi wananchi...kwa kupitia kodi!Kwahiyo nani atalipa hii hasara ya kupotezea mahakama na mwanafunzi muda?