Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

CCM wanatengeneza tatzizo alafu wanalitatua wakina mama wanafurahia CCM imewasaidia!
 
Kuna watu ni wanafiki sana. Wamesahau vuguvugu la kumpigania huyo mama lilianzia kwenye mitandao ya kijamii; ikiwemo jamii forums mara tu baada ya kuhukumiwa hicho kifungo.
Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
 
Ukisikia upumbavu wa kijinga ndiyo huu
Serikali ya CCM, mahakama za CCM, mkamfunga wenyewe, umoja wa wanawake wa CCM umekata rufaa kwenye mahakama za CCM!; Mmemtesa sasa mmemwachia mama asiye na kosa sasa mnajisifu. Hiyo ni laana na moja ya majitu yanayofanya niichukie CCM na mahakama za CCM ni hili jibwalashamba.
 
Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
Nyinyi ccm ndiyo wapuuzi na wajinga wa mwisho kabisa. Mnatengeneza matatizo halafu baadaye mkiona watu wanalalamika, mnajikosha kwa kuyatatua ili msifiwe.

Hovyo kabisa. Kwanza hao Mahakimu wenyewe ni makada wenzenu.
 
Hii nchi Sheria inageuzwa geuzwa Kila siku siku kumaanisha chochote muda wowote. Ndio maana nashangaa watu wanaosema katiba itabadilisha chochote.
Don't get me wrong hongera kwa huyo mama,lkni this is a bad precedent..
 
CCM Ni mtatuzi wa matatizo ya watu .hata wewe kama una matatizo ya aina yoyote ile basi yalete CCM uone namna utakavyo pata majibu na kukata kiu yako ya kupata haki.
 
Ameachiwa kwa vifungu vipi vya Sheria?
 
Hii nchi Sheria inageuzwa geuzwa Kila siku siku kumaanisha chochote muda wowote. Ndio maana nashangaa watu wanaosema katiba itabadilisha chochote.
Don't get me wrong hongera kwa huyo mama,lkni this is a bad precedent..
Kama umeumia kwa UWT kumsaidia mama huyu mnyonge kupata haki ya kisheria na kuachiliwa huru basi wewe jinyonge ufe tu ndugu yangu,maana inaonyesha umeumia sana kwa UWT mtetezi wa akina mama wanyonge kushinda kesi yake.
 
Ok.

Hongera Bw. Msomi wa zaidi ya Form 4.

Kinachoostajabisha na pengine kupeleka lawama kwa hakimu ni kuwa kwanini hizo sheria zinakuwa na athari kwa wasiojiweza tu ila wenye vipato wanakutwa na Swala kabisa kabisa hakuna adhabu za maana zinachukuliwa dhidi yao.

But then again, I'm just an uneducated fool, siwezi bishana na msomi kama wewe.

Uwe na siku njema.
 
Kwani waliompa kesi na kumfunga walikuwa Chadema?
we jamaa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana !
 
Hakuna mahali popote unapoweza kuzipata picha zangu .zinazosambazwa siyo zangu na ndio maana nimejikalia kimya tu nikiwaacha mkiendelea kushangilia maana najuwa tayari nimeshawashinda tayari.
Wameufuta ila picha zako tumechukua
 
Wakiri tu kwamba hapo awali walikosea kama mahakama, na iwe wazi tu mahakama inaupungufu wa weledi kwa kiasi chake, pia iwe wazi tu walio wanyonge ndio wanaohukumiwa kwa usahihi kulingana na sheria na hao pia wananyangwa haki yao wakati hukumu inapo kuwa kwa wenye nacho.

Pole nyingi sana kwa huyo mama kwa kadhia yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…