Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
SErikali ya CCM imempotezea muda?Wamlipe na fidia kwa kumpotezea muda kindezi.
Ulisema hivi MBOWE alivyowekwa mfungwa w akisiasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SErikali ya CCM imempotezea muda?Wamlipe na fidia kwa kumpotezea muda kindezi.
Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.Kuna watu ni wanafiki sana. Wamesahau vuguvugu la kumpigania huyo mama lilianzia kwenye mitandao ya kijamii; ikiwemo jamii forums mara tu baada ya kuhukumiwa hicho kifungo.
CCM Ni tumaini la watanzania wanyonge.CCM wanatengeneza tatzizo alafu wanalitatua wakina mama wanafurahia CCM imewasaidia!
Ukisikia upumbavu wa kijinga ndiyo huuMahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Nyinyi ccm ndiyo wapuuzi na wajinga wa mwisho kabisa. Mnatengeneza matatizo halafu baadaye mkiona watu wanalalamika, mnajikosha kwa kuyatatua ili msifiwe.Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
CCM Ni mtatuzi wa matatizo ya watu .hata wewe kama una matatizo ya aina yoyote ile basi yalete CCM uone namna utakavyo pata majibu na kukata kiu yako ya kupata haki.Nyinyi ccm ndiyo wapuuzi na wajinga wa mwisho kabisa. Mnatengeneza matatizo halafu baadaye mkiona watu wanalalamika, mnajikosha kwa kuyatatua ili msifiwe.
Hovyo kabisa. Kwanza hao Mahakimu wenyewe ni makada wenzenu.
Ameachiwa kwa vifungu vipi vya Sheria?Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Kama hao wanyonge wenyewe ni jamii ya watu wenye akili kama hii ya kwako; basi utakuwa sahihi kwa 💯%.CCM Ni tumaini la watanzania wanyonge.
Kama umeumia kwa UWT kumsaidia mama huyu mnyonge kupata haki ya kisheria na kuachiliwa huru basi wewe jinyonge ufe tu ndugu yangu,maana inaonyesha umeumia sana kwa UWT mtetezi wa akina mama wanyonge kushinda kesi yake.Hii nchi Sheria inageuzwa geuzwa Kila siku siku kumaanisha chochote muda wowote. Ndio maana nashangaa watu wanaosema katiba itabadilisha chochote.
Don't get me wrong hongera kwa huyo mama,lkni this is a bad precedent..
Ok.Unamlaumu hakimu ama Sheria, unafahamu sheria inasemaje kuhusu mtu akikutwa na nyama pori, ya kiwango kile?
Hata kama sheria ingesema anyongwe, hakimu hana namna isipokuwa kusema anyongwe!
Umesoma hukumu ukajua sababu ya yeye kuachiwa? Unajua kwamba ni teknikalities kwamba wakati wa mahojiano hakupewa nafasi ya kuita mwanasheria na pia alihojiwa zaidi ya muda wa saa 4 kama sheria inavyptaka na si kwamba kifungo ni batili?
Najua hujasoma mpaka form four lakini mambo mengine ulizaga kabla hujalalamika!
Kwani waliompa kesi na kumfunga walikuwa Chadema?Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Wameufuta ila picha zako tumechukuaHakuna mahali popote unapoweza kuzipata picha zangu .zinazosambazwa siyo zangu na ndio maana nimejikalia kimya tu nikiwaacha mkiendelea kushangilia maana najuwa tayari nimeshawashinda tayari.
Kama umeumia kwa mama huyu mnyonge kuachiwa huru baada ya kusaidiwa na CCM basi kufa mkuu.Kwani waliompa kesi na kumfunga walikuwa Chadema?
we jamaa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana !
Nasema picha hizo siyo mimi. Mimi naishi mbele yenu mbele ya wakati na nilijuwa wajinga kama wewe mtahangaika sana kutafuta picha zangu mitandaoniWameufuta ila picha zako tumechukua