Nakushauri jitahidi kuweka kumbukumbu na pia unapokumbushwa ukubali.Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
Makamu mwenyekiti anavuna pembe za tembo wetu makonteina kwa makontina lakini alitembea anasindikizwa kwa ving'ora lakini mama mjana anafungwa miaka yote hiyo kwa kilo tano za nyama ya swalaHili nalo ni agizo kutoka Juu...
Ila bora ameachiwa... Maana walimwonea kabisa
Haki ya yule mama mnyonge ilikuwa inapigaiwa mahakamani na UWT na siyo kusema unapiga kelele humu halafu mtu anaendelea kusota gerezani.hakuna jambo linalofanikiwa pasipo kuchukua hatua kwa Vitendo. UWT imeongoza njia katika kurejesha furaha na tabasamu kwa Maria Ngoda.Nakushauri jitahidi kuweka kumbukumbu na pia unapokumbushwa ukubali.
Tate kakukumbusha hapo juu halafu unamwita mshamba.
Huyu bwege hajui kitu ameanza kushabikia siasa enzi hizi CCM kurasimisha uchawa.CHAMA cha siasa kiaanzishwa ili kuhubiri injili?
wewe ulipo olewa kwa mumeo mke wapili umeenda kudeki au kumpa sex?
Unajua Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka? Unaposema uchu wa madaraka vipi hao wanaoua watu ili wabaki unasemaje?
Muombe mumeo akuandikishe MEMKWA ujifunze somo la URAIA ujue malengo ya chama cha siasa.
Tena wengine ni viongozi waandamizi wa CCM wametumalizia tembo wetuAlitia huruma sana huyu mama.
Vipande 12 miaka 22 wakati kuna watu wanahujumu nchi na wanadunda tu.
Ni zakoHakuna mahali popote unapoweza kuzipata picha zangu .zinazosambazwa siyo zangu na ndio maana nimejikalia kimya tu nikiwaacha mkiendelea kushangilia maana najuwa tayari nimeshawashinda tayari.
Wewe nyumbu kazi unayoweza ni uvuta bangi tu. Hayo mengine siyo saizi yako.acha kuropoka ropoka tu kama mlevi.Tena wengine ni viongozi waandamizi wa CCM wametumalizia tembo wetu
CCM ni Chanzo Cha Matatizo yoote ya nchi hii kwani ndiyo wamekuwa madarakani tangu 1961.CCM Ni mtatuzi wa matatizo ya watu .hata wewe kama una matatizo ya aina yoyote ile basi yalete CCM uone namna utakavyo pata majibu na kukata kiu yako ya kupata haki.
Matatizo ya akili iliyo nayo na yako mwenyewe kaa kukaidi kwako kuacha kuvuta bangi .CCM Ni tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi na kugusa maisha ya watanzania.CCM ni Chanzo Cha Matatizo yoote ya nchi hii kwani ndiyo wamekuwa madarakani tangu 1961.
Wewe kazi unayoweza ni omba omba wa mitandaoni ndiyo maana ya kuweka namba za simu. Kuolewa huolewa unadanga tu humuWewe nyumbu kazi unayoweza ni uvuta bangi tu. Hayo mengine siyo saizi yako.acha kuropoka ropoka tu kama mlevi.
CCM ni genge la wahuni tu na wezi wa kuraMatatizo ya akili iliyo nayo na yako mwenyewe kaa kukaidi kwako kuacha kuvuta bangi .CCM Ni tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi na kugusa maisha ya watanzania.
Tena wengine ni viongozi waandamizi wa CCM wametumalizia tembo wetu
picha yake pleaseLucas mwashambwa ni mfa maji! Alianza kumsifia Mama, alipoona amempotezea, akahamia kwa Tulia! Baada ya kuona na yeye amempotezea, sasa amehamia kwa Paul Makonda!
Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.
Kama na wewe una matatizo au shida basi lete. CCM ili usaidiwe
Amina.
Sheria za CCM hizo hizo ndo zilimshushia mvua 22 leo hii wanazikataaMahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Acha ujingaCCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
Watu wa kwanza kupigia keleleUWT ni mtetezi wa wanawake wanyonge na wasio na sauti.