Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Acheni ushamba kwa hiyo mlikuwa mnampigania mkiwa mmestarehe na familia zenu kwenu? Hapa JF ndio mahakamani? CCM Ndio mtetezi wa wanyonge na ndio iliyorejesha tabasamu na furaha ya mama huyo mnyonge baada ya kumpigania kwa kumkatia rufaa mahakamani.
Nakushauri jitahidi kuweka kumbukumbu na pia unapokumbushwa ukubali.
Tate kakukumbusha hapo juu halafu unamwita mshamba.
 
Hili nalo ni agizo kutoka Juu...


Ila bora ameachiwa... Maana walimwonea kabisa
Makamu mwenyekiti anavuna pembe za tembo wetu makonteina kwa makontina lakini alitembea anasindikizwa kwa ving'ora lakini mama mjana anafungwa miaka yote hiyo kwa kilo tano za nyama ya swala
 
Nakushauri jitahidi kuweka kumbukumbu na pia unapokumbushwa ukubali.
Tate kakukumbusha hapo juu halafu unamwita mshamba.
Haki ya yule mama mnyonge ilikuwa inapigaiwa mahakamani na UWT na siyo kusema unapiga kelele humu halafu mtu anaendelea kusota gerezani.hakuna jambo linalofanikiwa pasipo kuchukua hatua kwa Vitendo. UWT imeongoza njia katika kurejesha furaha na tabasamu kwa Maria Ngoda.
 
CHAMA cha siasa kiaanzishwa ili kuhubiri injili?

wewe ulipo olewa kwa mumeo mke wapili umeenda kudeki au kumpa sex?

Unajua Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka? Unaposema uchu wa madaraka vipi hao wanaoua watu ili wabaki unasemaje?

Muombe mumeo akuandikishe MEMKWA ujifunze somo la URAIA ujue malengo ya chama cha siasa.
Huyu bwege hajui kitu ameanza kushabikia siasa enzi hizi CCM kurasimisha uchawa.
 
CCM Ni mtatuzi wa matatizo ya watu .hata wewe kama una matatizo ya aina yoyote ile basi yalete CCM uone namna utakavyo pata majibu na kukata kiu yako ya kupata haki.
CCM ni Chanzo Cha Matatizo yoote ya nchi hii kwani ndiyo wamekuwa madarakani tangu 1961.
 
CCM ni Chanzo Cha Matatizo yoote ya nchi hii kwani ndiyo wamekuwa madarakani tangu 1961.
Matatizo ya akili iliyo nayo na yako mwenyewe kaa kukaidi kwako kuacha kuvuta bangi .CCM Ni tumaini la watanzania katika kuwainua kiuchumi na kugusa maisha ya watanzania.
 
Wewe nyumbu kazi unayoweza ni uvuta bangi tu. Hayo mengine siyo saizi yako.acha kuropoka ropoka tu kama mlevi.
Wewe kazi unayoweza ni omba omba wa mitandaoni ndiyo maana ya kuweka namba za simu. Kuolewa huolewa unadanga tu humu
 
Lucas mwashambwa ni mfa maji! Alianza kumsifia Mama, alipoona amempotezea, akahamia kwa Tulia! Baada ya kuona na yeye amempotezea, sasa amehamia kwa Paul Makonda!

Kote huko anahangaika tu. Njaa imemkaba mpaka kooni! U CHAWA wenyewe hauwezi! Maana anamsifia mtu mpaka anagundua kabisa dogo ni mnafiki na ana njaa kupitiliza.
picha yake please
 
Kama na wewe una matatizo au shida basi lete. CCM ili usaidiwe

Miaka 63 ya Uhuru wameshindwa kutatua matatizo ndiyo waweze leo. Matatizo ya Watanzania huwezi kuyatatua kwa kutatua taizo la mtu moja moja. Akili yenu fupi sana (CHAWA).... Kwa sasa waambie wakajenge vyoo Chato!!
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Sheria za CCM hizo hizo ndo zilimshushia mvua 22 leo hii wanazikataa
 
CCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
Acha ujinga
Kweli ita baki kuwa kweli.
TLS ndio wali simamia rufaa.
Ccm tangu lini wawe na huruma na upendo na wananchi kabla ya kipindi cha kuomba kura?
Sukari ime washinda mta weza simamia haki za wanyonge nyie?
Usuwe u a juingiza hapa Jf bila kuwa na facts..
 
Huyu hapa Maria
Mungu amemuona
 

Attachments

  • JamiiForums-1732602747.jpeg
    JamiiForums-1732602747.jpeg
    84.9 KB · Views: 2
UWT ni mtetezi wa wanawake wanyonge na wasio na sauti.
Watu wa kwanza kupigia kelele
Hukumu ya huyo mama syo uwt, hao waliingilia mpira tu
Any way huyo mama hakustahili hukumu kama hiyo..
Vp huyo hakim aliyemhukumu bado mko naye au

Ova
 
Back
Top Bottom