Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Asante Kwa Taarifa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, walikwenda kama UWT au TLS? Je; mbona ndani ya hiyo UWT wapo pia Waalimu, Wahandisi, Madaktari na Wataalam wengine? Ina maana kwa kuipepelea/kuifagilia UWT unawahusisha na wao pia - Kitu ambacho sio kweli.UWT inawanasheria ambao ndio waliokwenda kupambana mpaka kuhakikisha kuwa mama huyo anakuwa huru na kurudi uraiani
Watafanya vyema kama watampa pia mtaji ili aweze kujitegemea. Na pia kuisaidia familia yake kuwarudisha shuleni watoto wake. Kumtoa tu aisaidii kituMahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Aipende CCM kwakuwa CHADEMA ndio walimkamata na kumfunga ?Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Kesi ilisimamiwa na UWT ambayo ni jumuiya ya CCM. Kwa hiyo ndio maana watu wanaendelea kuipongeza ccm huku mitaani kwa upendo wake na moyo wake wa kuwajali wanyonge, kama mama huyu ambaye alikuwa amekata tamaa baada ya kuhukumiwa lakini amepata tabasamu jipya na machozi ya furaha baada ya kusaidiwa na kutetewa na UWT.Je, walikwenda kama UWT au TLS? Je; mbona ndani ya hiyo UWT wapo pia Waalimu, Wahandisi, Madaktari na Wataalam wengine? Ina maana kwa kuipepelea/kuifagilia UWT unawahusisha na wao pia - Kitu ambacho sio kweli.
CHADEMA ni madalali tu ambao wao hawawezi kusaidia wanyonge wa aina hiyo zaidi ya kuwaza matumbo yao tu na uroho w madaraka kama mafisi.CHADEMA ndio walimkamata na kumfunga ?
JINAI kukata rufaa si ni bure?
Jinai kama huna wakili si unapewa wa bure[legal aid]?
????????!!!!!!!👀👀CCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama una tatizo basi lete ndani ya CCM upate kusaidiwa .
CCM Ni tumaini la wanyonge.watampatia chochote kile atakachokihitaji. Maana CCM Ni Chama kinachogusa maisha ya wanyonge.Watafanya vyema kama watampa pia mtaji ili aweze kujitegemea. Na pia kuisaidia familia yake kuwarudisha shuleni watoto wake. Kumtoa tu aisaidii kitu
CHAMA cha siasa kiaanzishwa ili kuhubiri injili?CHADEMA ni madalali tu ambao wao hawawezi kusaidia wanyonge wa aina hiyo zaidi ya kuwaza matumbo yao tu na uroho w madaraka kama mafisi.
Wewe hunaga akili kabisa.CHAMA cha siasa kiaanzishwa ili kuhubiri injili?
wewe ulipo olewa kwa mumeo mke wapili umeenda kudeki au kumpa sex?
Unajua Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka? Unaposema uchu wa madaraka vipi hao wanaoua watu ili wabaki unasemaje?
Muombe mumeo akuandikishe MEMKWA ujifunze somo la URAIA ujue malengo ya chama cha siasa.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji23][emoji23][emoji23]Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji1787]Hongera Sana akina Mama, mmeonyesha Upendo na Utu lakini sasa tusitumie kama kete ya Kisiasa na kutweza utu. Pole kwa dada yetu kwa masaibu aliyopitia.
Mbona mwanzo hamkusema hilo kwamba Kesi inasimamiwa na UWT? Angalizo: Tusipende sana vya kunyonga. Kama ni credit (Kongole) mwachie anayestahili na huyo baadaye atakuja kukushukuru ww au kukupongeza kama kweli ulihusika na Mafanikio yaliyopatikana.Kesi ilisimamiwa na UWT ambayo ni jumuiya ya CCM. Kwa hiyo ndio maana watu wanaendelea kuipongeza ccm huku mitaani kwa upendo wake na moyo wake wa kuwajali wanyonge, kama mama huyu ambaye alikuwa amekata tamaa baada ya kuhukumiwa lakini amepata tabasamu jipya na machozi ya furaha baada ya kusaidiwa na kutetewa na UWT.
Ni kwa kuwa hao hao ccm ndo walimfunga jelaNi vipi ataacha kuiunga mkono CCM?