Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

UWT inawanasheria ambao ndio waliokwenda kupambana mpaka kuhakikisha kuwa mama huyo anakuwa huru na kurudi uraiani
Je, walikwenda kama UWT au TLS? Je; mbona ndani ya hiyo UWT wapo pia Waalimu, Wahandisi, Madaktari na Wataalam wengine? Ina maana kwa kuipepelea/kuifagilia UWT unawahusisha na wao pia - Kitu ambacho sio kweli.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Watafanya vyema kama watampa pia mtaji ili aweze kujitegemea. Na pia kuisaidia familia yake kuwarudisha shuleni watoto wake. Kumtoa tu aisaidii kitu
 
Aipende CCM kwakuwa CHADEMA ndio walimkamata na kumfunga ?

Mahakama imefanywa ya matajiri na serikali ya CHADEMA?

JINAI kukata rufaa si shilingi ngapi? Seikali ya Marekani si inagharamia kila kitu kwenye jinai?

Jinai kama huna wakili, si unapewa wakili wa bure[legal aid]?
 
Je, walikwenda kama UWT au TLS? Je; mbona ndani ya hiyo UWT wapo pia Waalimu, Wahandisi, Madaktari na Wataalam wengine? Ina maana kwa kuipepelea/kuifagilia UWT unawahusisha na wao pia - Kitu ambacho sio kweli.
Kesi ilisimamiwa na UWT ambayo ni jumuiya ya CCM. Kwa hiyo ndio maana watu wanaendelea kuipongeza ccm huku mitaani kwa upendo wake na moyo wake wa kuwajali wanyonge, kama mama huyu ambaye alikuwa amekata tamaa baada ya kuhukumiwa lakini amepata tabasamu jipya na machozi ya furaha baada ya kusaidiwa na kutetewa na UWT.
 
CHADEMA ndio walimkamata na kumfunga ?

JINAI kukata rufaa si ni bure?
Jinai kama huna wakili si unapewa wa bure[legal aid]?
CHADEMA ni madalali tu ambao wao hawawezi kusaidia wanyonge wa aina hiyo zaidi ya kuwaza matumbo yao tu na uroho w madaraka kama mafisi.
 
Watafanya vyema kama watampa pia mtaji ili aweze kujitegemea. Na pia kuisaidia familia yake kuwarudisha shuleni watoto wake. Kumtoa tu aisaidii kitu
CCM Ni tumaini la wanyonge.watampatia chochote kile atakachokihitaji. Maana CCM Ni Chama kinachogusa maisha ya wanyonge.
 
CHADEMA ni madalali tu ambao wao hawawezi kusaidia wanyonge wa aina hiyo zaidi ya kuwaza matumbo yao tu na uroho w madaraka kama mafisi.
CHAMA cha siasa kiaanzishwa ili kuhubiri injili?

wewe ulipo olewa kwa mumeo mke wapili umeenda kudeki au kumpa sex?

Unajua Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka? Unaposema uchu wa madaraka vipi hao wanaoua watu ili wabaki unasemaje?

Muombe mumeo akuandikishe MEMKWA ujifunze somo la URAIA ujue malengo ya chama cha siasa.
 
Wewe hunaga akili kabisa.
 
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.

Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.

Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

----
Ndugu zangu Watanzania,

Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.

Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.

Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?

Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera Sana akina Mama, mmeonyesha Upendo na Utu lakini sasa tusitumie kama kete ya Kisiasa na kutweza utu. Pole kwa dada yetu kwa masaibu aliyopitia.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.[emoji1787]
 
Kesi ilisimamiwa na UWT ambayo ni jumuiya ya CCM. Kwa hiyo ndio maana watu wanaendelea kuipongeza ccm huku mitaani kwa upendo wake na moyo wake wa kuwajali wanyonge, kama mama huyu ambaye alikuwa amekata tamaa baada ya kuhukumiwa lakini amepata tabasamu jipya na machozi ya furaha baada ya kusaidiwa na kutetewa na UWT.
Mbona mwanzo hamkusema hilo kwamba Kesi inasimamiwa na UWT? Angalizo: Tusipende sana vya kunyonga. Kama ni credit (Kongole) mwachie anayestahili na huyo baadaye atakuja kukushukuru ww au kukupongeza kama kweli ulihusika na Mafanikio yaliyopatikana.
 
Hongera sana kwa kulisimamia hili la huyu mama kuachiwa huru
Jambo muhimu na la kuzingatiwa na vyombo vyetu cha sheria,ni kutoa haki kwa pande zote hasa linapokuja suala la vyama vingine.Sina uhakika sana kama rufaa hiyo kama ingekuwa imekatwa na kina mama wa upande tofauti na ccm, kama ingechukua muda mfupi kiasi hiki.pengine matokeo yake yasingekuwa haya
Hukumu hii pia iwe fundisho kwa sisi wananchi kufuata sheria katika masuala mbali mbali yakiwemo kutocheza na nyara za serikali
Lakini jambo lingine la kujiuliza ni kwa vipi vipande kumi na viwili vya nyama ya swala vimpeleke mtu gerezani ili hali kuna kesi nyingi na kubwa bado ni kizungumkuti?
 
Back
Top Bottom