uhuru kweli umezidi kiasi kwamba kina Slaa wana achwa waendelee kuwepo mitaani wakati walikua wanatakiwa kuwa milembe.
Wadau haya maombo yanatofanywa na jeshi la polisi ni mambo ya kutafakari kwa makini sana.Kwa mtazamo na maoni yangu hii inaweza kuwa ni mbinu ya kutafuta sababu ya kukifuta chama hiki ambacho kwakweli ni tishio kwa ccm.Haya mauji kwenye mikutano ya chadema yanaweza kutumika kama sababu ya kuhalalisha hujuma hii dhidi ya chadema.
Tukumbuke kauli iliyotolewa na Wassira hivi karibuni ya kutishia kukifuta chama hiki na muendelezo wa matukio kama haya.Hawa jamaa kwao kitu cha muhimu ni kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.Watanzania tusisahau ukweli kwamba hofu yao kubwa ni kuja kuwajibika kwa madhambi yao mbali mbali kama mauaji,ufisadi wizi n.k.Hivyo njia pekee kwa wao kuwa salama ni kuhakikisha wanabaki madarakani.Wanajua kabisa endapo chadema itakamata dola watafikishwa katika vyombo vya sheria kujibu mashitaka.
Tutarajia machafuko zaidi ya haya siku zijazo kwani hata chadema nao hawatakubali kunyanyaswa na kuonewa na serikali hii.
Lets wait and see, but we have to do something as a nation to defeat this new colonialism.
R.i.p mwangozi damu yako italipwa 2015
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
Mkuu,nilishawi kutoa ushauri hapa JF wa kumsaidia yule babu kupima afya ya kichwa wafuasi wake watiifu wakatukana.
Hao wote uliowataja hapo juu Dr Slaa hana na waliobaki hai amewatelekeza.Hana cha kupoteza .Watanzania tuache utani, Hawa Police tunaona wanafanya mambo mazuri hadi siku watakapoua mkeo, mumeo, mtoto wako, shemeji yako, baba yako, mama yako nk. Jamani tatizo hapa ni police na siyo raia. Hawa raia wanakua hawana chochote tena wapo kwenye tawi lao. Je ingekuwa CCM wangewafyatulia risasi na mabomu. Hapa Damu ya mtanzania mwingine asiye na hatia imemwagika!!!!
:A S cry: