Linyakalumbi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 263
- 107
Hivi kwa nini Dr Slaa na genge la wahuni wenzake hawakamatwi na kuwekwa korokoroni?
Jamanii msimlaumu rais wetu JK, ilaumuni na cdm ambayo wameambiwa wasubiri hawakusikia.
Kujerukiwa kwa polisi hakumaanishi cdm ndio wameua polisi wanaweza hata kumtoa mwezao kafara ili watimize lengo lao au ilikuwa bahati mbaya. Tusubiri taarifa rasmi.
Napata tabu na kauli aliyoitoa slaa siku za nyuma kuwa nchi haitotawalika naona ndio cdm wanatuonyesha kwa kuua.
Cdm zeeeeeeeee hamtafanikiwa kamwe
Thead hiyo ilikuwa na kichwa POLISI WANAJIPANGA KUUWA KWENYE MKUTANO WA CDM MUFINDI.
Tunaelekea wapi sasa? Ilianzia Arusha, ikaenda huko Igunga kukawa na Majeruhi, Ndago akafa mtu, Morogoro uhai wa Ally ukazimwa na sasa uhai wa Mwangosi umezimwa kama mshumaa. Tunaenda wapi na je tutafika salama au hatutafika ama tutafika tukiwa hoi na vipande vipande? Leo mauaji kesho mauaji basi hatuko salama inabidi kama taifa tufanye kitu.
Huyu Slaa nitakuja kumvizia nimlipue kibao kama alich pewa mwinyi.
uhuru kweli umezidi kiasi kwamba kina Slaa wana achwa waendelee kuwepo mitaani wakati walikua wanatakiwa kuwa milembe.
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
ivi wassira ni nani waziri wa ulinzi ama?mana siwajui awa mawaziri wapya
Hivi GATS, huyu t2015ccm anazo? Polisi ni Chadema? Mauaji yamefanywa na "flying object", ilitokea mbinguni? Nani ambao hutumia flying object kihalali kama sio polisi ambao wengi wao ni washabiki wa huo utumbo uliooza(CCM)? Kwani hata wakiibadili jina badala ya kuitwa risasi waiite round, bullet,ammunition, flying object na mengine bado wauaji ni Polisi . Na hii huchangiwa na uwezo wao mdogo wa kukabiliana na mambo....sikupatii picha GATS..hiyo hiyo migamba ndio inabeba silaha hata hadharani..BASHE, DR KIGWANGALLA, RAGE,POLISI, OLE SENDEKA (CCM)dhidi ya OLE MILLYA(CHADEMA),LAURENCE MASHA dhidi ya POLISI wenyewe....list ni ndefu kwa kweli sijui kama nikiendelea nitaimaliza....TAFAKARI!!!
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.