TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Hivi kwa nini Dr Slaa na genge la wahuni wenzake hawakamatwi na kuwekwa korokoroni?

Proudly to be banned because of this Mother****en Pigllet.Wahuni hawa wafuatao: 1. Dhaifu 2. Liwalo na Liwe 3. IGP 4. endeleza na wengine.Wewe ni zaid ya Maku ndio maana toka mwanzo unaleta use&%$#N*&^Ge tu hapa.Kakojoe ulale!
 
Jamanii msimlaumu rais wetu JK, ilaumuni na cdm ambayo wameambiwa wasubiri hawakusikia.
Kujerukiwa kwa polisi hakumaanishi cdm ndio wameua polisi wanaweza hata kumtoa mwezao kafara ili watimize lengo lao au ilikuwa bahati mbaya. Tusubiri taarifa rasmi.
Napata tabu na kauli aliyoitoa slaa siku za nyuma kuwa nchi haitotawalika naona ndio cdm wanatuonyesha kwa kuua.
Cdm zeeeeeeeee hamtafanikiwa kamwe

Nikupe pole sana maana hata vichaa hujiona wana akili timamu ndugu yangu cha muhimu ni kujua unayoyaongea yanatoka moyoni au umeamua kuuficha ukweli. lakini kumbuka kuna siku mungu ataweka haya yote wazi.
 
Thead hiyo ilikuwa na kichwa POLISI WANAJIPANGA KUUWA KWENYE MKUTANO WA CDM MUFINDI.

Jana nimesoma hiyo thread nikaipuuzia. Tunaomba mods airudishe hapa jamvini. Nasikia kuna mkakati maalumu wa TISS kuhujumu harakati za CDM wakishirikiana na polisi. Kesho mtamsikia TENDWA akitishia kukifuta chama. Yangu macho.
 
wadau na taasisi zinazohusika zifanye kila linalowezekana kukomesha mauaji yanayoendelea katika mikutano kadhaa ya kisiasa. Tukiacha hali iendelee namna hii tunaweza kuitumbukiza nchi yetu katika machafuko makubwa zaidi..... Tuache kabisa kushabikia vitendo hivi vya kupoteza ndg zetu wapendwa ktk harakati za kisiasa.
 
Nazidi ku cement chadema katika roho yangu na kuichukia ccm vibaya sana
 
Hivi GATS, huyu t2015ccm anazo? Polisi ni Chadema? Mauaji yamefanywa na "flying object", ilitokea mbinguni? Nani ambao hutumia flying object kihalali kama sio polisi ambao wengi wao ni washabiki wa huo utumbo uliooza(CCM)? Kwani hata wakiibadili jina badala ya kuitwa risasi waiite round, bullet,ammunition, flying object na mengine bado wauaji ni Polisi . Na hii huchangiwa na uwezo wao mdogo wa kukabiliana na mambo....sikupatii picha GATS..hiyo hiyo migamba ndio inabeba silaha hata hadharani..BASHE, DR KIGWANGALLA, RAGE,POLISI, OLE SENDEKA (CCM)dhidi ya OLE MILLYA(CHADEMA),LAURENCE MASHA dhidi ya POLISI wenyewe....list ni ndefu kwa kweli sijui kama nikiendelea nitaimaliza....TAFAKARI!!!
 
Tunaelekea wapi sasa? Ilianzia Arusha, ikaenda huko Igunga kukawa na Majeruhi, Ndago akafa mtu, Morogoro uhai wa Ally ukazimwa na sasa uhai wa Mwangosi umezimwa kama mshumaa. Tunaenda wapi na je tutafika salama au hatutafika ama tutafika tukiwa hoi na vipande vipande? Leo mauaji kesho mauaji basi hatuko salama inabidi kama taifa tufanye kitu.

Mkuu mimi ninafikiri tatizo nikukubali kuwa binadamu ni kiumbe ambaye anaweza kuburuzwa kwa wakati flani lakini sio siku zote.
 
Ukiwa na hasira ya kweli na nchi hii kawapige mafisadi wa Rada,mikataba mibovu na wanaoiba fedha nchini na kuziweka nje ya nchi,
Huyu Slaa nitakuja kumvizia nimlipue kibao kama alich pewa mwinyi.
 
uhuru kweli umezidi kiasi kwamba kina Slaa wana achwa waendelee kuwepo mitaani wakati walikua wanatakiwa kuwa milembe.

Hey, i dont argue with fools as you, you will bring me down to your level and beat me with your experience..idiot..
 
Tatizo polic wanataka tuwaamini lakini hawa aminiki! polic jamii itawezekana kweli yaani mmefundishwa mbinu moja tu, kuuwa!ipo siku mtauwawa nyie! polic ugolo mtupu!!
 
Najiuliza sababu kubwa ya kuuwawa na polisi huyu mwandishi ni ipi?
 
Mbona kuna hili la FIESTA NA HARUSI ZA KILA SIKU KWENYE KUMBI ZA STAREHE NAZO HAWAJAZUIA?
INA MAANA SENSA INAATHIRIWA NA MAKUSANYIKO YA SIASA TU?
 
Hivi GATS, huyu t2015ccm anazo? Polisi ni Chadema? Mauaji yamefanywa na "flying object", ilitokea mbinguni? Nani ambao hutumia flying object kihalali kama sio polisi ambao wengi wao ni washabiki wa huo utumbo uliooza(CCM)? Kwani hata wakiibadili jina badala ya kuitwa risasi waiite round, bullet,ammunition, flying object na mengine bado wauaji ni Polisi . Na hii huchangiwa na uwezo wao mdogo wa kukabiliana na mambo....sikupatii picha GATS..hiyo hiyo migamba ndio inabeba silaha hata hadharani..BASHE, DR KIGWANGALLA, RAGE,POLISI, OLE SENDEKA (CCM)dhidi ya OLE MILLYA(CHADEMA),LAURENCE MASHA dhidi ya POLISI wenyewe....list ni ndefu kwa kweli sijui kama nikiendelea nitaimaliza....TAFAKARI!!!

Unayoyasema ni kweli kabisa ndio maana nasema mungu wetu ni wa ukweli na hana upendeleo. nami siamini kabisa kwamba CDM wanaweza kuendeleza hayo mauaji ili wapate nini? isipokuwa ukimpa mtu mwoga silaha lazima atafanya mauaji
 
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
 
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.

This is one of those strategies...teh teh teh! It will be very interesting to watch what would transpire.Naona tumeamua kutumia vichwa kama bibi zetu waliokuwa wanabebea vitu vizito badala ya kufikiri.
 
Wanaoingia madarakani kwa kutumia magazeti,watatumia mtutu kusalia madarakani alisema mh sumaye na leo yanatokea.tusubiri
 
Domy seriously acha basi,nataka nijue ni nani mana hii kauli aliyoitoa ni nzito!labda ni amiri jeshi mkuu au waziri wa ulinzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom