Kwanza tuhakikishe kuna ulinzi kwa wananchi,polisi hiyo kazi hawaiwezi tena,na hatuwezi kulivunja hilo jeshi kwa sasa.Kuna thread nimeanzisha yenye kukaribisha maoni ya ni kwa vipi wananchi wajilinde.
Picha inazungumza zaidi kuliko maneno.Hoja za JF zinawashinda mnakuja na matusi, huko mitaani mnaanzisha chokochoko halafu mnauwa halafu mnakuja humu mbio na kusambaza polisi wameuwa. Juzi Morogoro mliuwa kwa nondo, mmestukiwa, leo Iringa mmeamuwa kutumia risasi.
Hii njama yenu itajulikana na wengi tu, wachache tumeshaijuwa.
Tangu lini gamba likawa na kichwa?mkuujamani hivi chadema ndiyo inayosema polisi waue mbona kuna watu wana udongo mwingi saana vichwani mwao mnaandika chadema ndio imesababisha kwa vipi?
Kuna mod ambaye simwelewi,ama maybe haelewi kazi,ama maybe hana nia nzuri na nchi yetu.Amefuta thread ya maana,halafu watu wanasapoti mauwaji na previously udini,mabandiko yao ndo yana prevail.Wahusika muangalie haya.Hii forum si ya wananchi?Jamaniiii
Hawa moods sijui vipi?
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
Hiki chama cha wauaji kifutwe tu. Kila wanapokwenda wanauwa.
Saddam hakupelekwa uholanzi.Watashitakiwa ndani ya ardhi ya Tanzania na mahakama ya wananchi.Hiyo ya the hague mbali huko.IGP Said Mwema uliwahi kusema hauko tayari kwenda kwenye mahakama ya kimataifa Uholanzi , sasa hiki8 ni kitu gani ? utakuwa wa kwanza kupelekwa humo usikubali kuwa wewe ndio tatizo jifunze wenzio wanakula nchi wewe unaumizwa bila sababu chukua hatua ni ushauri wangu kwako. Kumbuka uliwahi kusema mahali hauko tayari kupewa ajira ya mkataba ili usiende huko uholanzi
Natoa pole kwa wafiwa. Ila nawashangaeni mno,nyie sindio juzi juzi mmeiona serikali ni sikivu kwenye suala la sensa?mkawatukana waislam kadri mlivyoweza na tena mkawa mnashangilia kila mnaposikia police wanawavamia waislam majumbani mwao na kuvunja milango kisa wamegomea sensa. Sasa leo nadhani mnajisifu ujinga kuwa mnakuwa upande wa serikali pindi serikali inapokuwa inawadhulumu waislam ila inapowageuzia mchezo mnalalamika. Jifunzeni kusema ukweli siku zote. Jana police kwa waislam mlishangilia leo imekuwa tofauti.
Plz wekeni link ya hiyo thread.
Thread ya Mzee Mwanakijiji ya kushauri CDM kuandaa maandamano dhidi ya polisi ni Muhimu sana
Katiba mpya iruhusu rais ashitakiwe baada ya kumaliza muda wake sababu yeye ndo amiri jeshi mkuu na ndiye anayewateua hawa watu wake
R.I.P bro. Mwangosi
Waziri wa usingizi na uhasamaivi wassira ni nani waziri wa ulinzi ama?mana siwajui awa mawaziri wapya
Acha utoto,KAMA VP KAKOJOE UKALALE
izi mbinu chafu kabisa za magamba hali ni mbaya hasa kwa ccm
Na yeye alikua anafanya nn huko?