Mkuu umeshawahi kusikia ccm wanazuiwa kufanya chochote??? how do you expect any protest if you are given preferential treatment??Ulisikia fujo kwenye mikutano ya CCM?
Leo tukaneni mimi hamnipati nimepewa warning na Paw niwawache mtukane tu, maana nikiwajibu naambiwa mimi ndio nnawafanya mtukane.
This is "where we dare to talk openly"!
Kazi ya Mungu ipo na kazi ya mikono yetu ipo, tupange mikakati ya kuiondoa ccm before 2015 kisha tufanye kazi, linawezekana sana na Mungu atabariki kazi ya mikono yetu maana ni halali kabisa kuiondoa ccm kabla ya 2015.inauma sana ndugu zangu. Mungu atalipa tu kama c hapahapa dunian hata mbinguni.
Ndio maana huwa nasema siku zote siwezi ku reason na wewe zomba. Huenda wapo wanao kuelewa humu binafsi sijawahi kukuelewa. Uko tayari kuonekana kama punguani ili mradi uitetee CCM au vyombo vya dola hata kama vimefanya udhalimu wa wazi dhidi ya raia. Unasikitisha sana. Damu ya Daudi Mwangosi haitapotea bure. Itawalilia nyie na vizazi vyenu.
Ulisikia fujo kwenye mikutano ya CCM?
Leo tukaneni mimi hamnipati nimepewa warning na Paw niwawache mtukane tu, maana nikiwajibu naambiwa mimi ndio nnawafanya mtukane.
This is "where we dare to talk openly"!
Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.
NA INASEMEKANA KUWA MAREHEMU ALIKUW ANA UGOMVI NA MAPOLISI WA ENEO HILO PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAO WALILALAMIKA KUWA HUYO JAMAA ALIHUSIKA KATIKA KUKIPA CHADEMA UMAARUFU KWA KURIPOTI HABARI ZA CHADEMA NA KUACHA ZA CCM
hivyo kwa haraka haraka WALIOHUSIKA KUMUUA MAREHEMU NI POLISI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM
Where we dare to talk openly, unapenda kutukanwa ndio maana, unashabikia vitu vya kijinga, why Chadema nimekuuliza swali hapo CCM wamewahi kuhitaji kufanya mikutano then wakaambiwa kwamba jeshi halina security wa kutosha, vitu vingine u have to think na sio kuropoka....Sasa CHADEMA huwa wanafanya fujo na wanamfanyia nani hizo fujo??Na huwa wanaharibu mali za watu???Jibu points na maswali unyoulizwa na sio unakimbilia kusema Paw amekupa onyo...
By raymg
Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.
NA INASEMEKANA KUWA MAREHEMU ALIKUW ANA UGOMVI NA MAPOLISI WA ENEO HILO PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAO WALILALAMIKA KUWA HUYO JAMAA ALIHUSIKA KATIKA KUKIPA CHADEMA UMAARUFU KWA KURIPOTI HABARI ZA CHADEMA NA KUACHA ZA CCM
hivyo kwa haraka haraka WALIOHUSIKA KUMUUA MAREHEMU NI POLISI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM
kwa akii yako likiwa la kuvunjia vizuizi ni azima liwe kubwa? Nani alikuambia ukubwa wa pua ni wingi wa makamasi?Mara unasema "bomu dogo", mara unasema "la kuvunjia vizuizi kama makofuli", mara unasema "kinachofanana na hivyo", mara unasema "wamejihami na mabomu hayo", mara unasema "inasemekana".
Jee, unajiona kuwa hujui ulichokiandika na ni uzushi mtupu?