TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Yaani huu ukimya wetu wananchi ndio unawafanya wazidi kuua kila kukicha......na wataendelea kuua sana manake washatuona mazumbukuku......wanajua tutasema tutachoka na maisha yataendelea kusonga! Inauma sana asee yaani sana marejesho! Tusubiri tuone huo mshikamano kama upo basi!

Hivi bado Tanzania ni nchi ya AMANI?Ni matumaini yangu kwamba,haya yote yanayofanywa kwa Uonevu yatafikia kikomo!!!
 
Last edited by a moderator:
kama kawaida wataunda tume ambayo majibu hatutakaa tuyapate.
we have to act sereously on this issue.
HADI LINI MTATUONEA?
 
Ndio maana serikali iliongeza posho ya kuchunguza maiti kwa madaktari na sio ya mazingira hatarishi,wala mazingira magumu wala kununua vifaa vya hospitali,wala kuweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi kwe mahospitali,ila wachunguza maiti yaani [Forensic Pathologist] wanavuta laki kwa maiti,kuna tetesi za kuongeza vyumba vya maiti na kuviongezea ukbwa zaidi,kwasababu mauaji yataendelea!!

dah...
pumzika kwa amani bro.Amen.
 
Channel 10 wanaonyesha live!!Kamanda wa Polisi Michael Kamuhanda,anajibu dry!!Anaulizwa unajua aliyekufa ni nani?anasema bado hajajua ndio alikuwa anenda Mortuary!!
 
Umemkamata mwandishi wa habari kwa kuwa anaandika habari au ni mwana CDM. Mwanahalisi kafungiwa haitoshi mmeanza kuua kabisa mtabaki mnamtawala nani?.
 
Hivi bado Tanzania ni nchi ya AMANI?Ni matumaini yangu kwamba,haya yote yanayofanywa kwa Uonevu yatafikia kikomo!!!

Yatafika manake hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!.......tanzania iliacha kuwa nchi ya amani na utulivu zamani sana mkuu! We unafiiri Pinda alivyosema liwalo na liwe alikuwa anatania?
 
Lord before this victory is won some will have to get thrown in jailsome more but we shall over come. Don't worry about us, before the victory is won some of us will lose jobs, but we shall overcome.Before the victory is won, even some will have to face physical death. But if physical death is the price that some must pay, to free their children from a permanent psychological death, then nothing shall be more redemptive. We shall over come.Before the victory is won, some will be misunderstood and called bad names and dismissed as rebel-rousers and agitators0‰0 But we shall overcome.
 
Sensa imeongezwa siku 7? Why Chadema wanafanya mkutano? Nyinyiem bwana
 
Hiyo picha wanayosema ni mwili ama mabaki ya mwili?inasikitisha sitaki hata kui zoom out.
 
Damu hozi haziwezi potea bure
Watajibu haya mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa
 
Ukiangalia mtiririko wa taarifa ni kama CDM wameanza kujitoa mhanga kwa mabomu ya kujilipua wenyewe,hongera Dr Slaa kwa kuendeleza vurugu na kusababisha mauaji.
 
poleni watanzania, poleni channel 10. tuifananishe na nini serikali hii!!
 
Sasa kama waliambiwa watawanyike wao wakakaidi ni vipi tuwalaumu police?

tunawalaumu police kutumia risasi pahali amapo hapakutakiwa kutumia risasi! au wewe kwa huo upeo wako finyu wa kufikiria unaona ni sawa kutumia risasi kuwatawanya raia, kwa kitu gani cha kutisha walichonacho raia pale mpaka watumie risasi, inamaana polisi wao wamepewa mafunzo kuwa watu wakigoma kutawanyika tumieni risasi kuwatawanya, inamaana wamekosa njia nyingine ya kutumia hapo,hali yakuwa tunaamini wanamafunzo ya kutosha na wao ni dola! lakini sikulaumu ni kaupeo kako kafinyu kakufikiria alafu tena ukakaweka kwenye ushabiki wa kichama ndo unafikia huku, mkuu uko duni sana kwenye kufikiria inaonesha!
 
Hapa magamba yanatisha watu wasiwe wanakwenda kwenye mikutano ya chadema ya kuwaamusha watu kutoka usingizini
 
this hurts me a lot! binadamu hawezi fanyiwa unyama huu. kweli jamani
 
Nani kafurahi kifo mie nimeuliza tu, hata siku moja siwezi kufuarahia mauaji, kwanza aliokufa sio mfuasi wa vyama vya siasa ni muandishi wa habari ushabiki utoke wapi.

Ritzi me nimeshakuelewa,,,,hasa hapo kwenye blue
 
Back
Top Bottom