marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Yaani huu ukimya wetu wananchi ndio unawafanya wazidi kuua kila kukicha......na wataendelea kuua sana manake washatuona mazumbukuku......wanajua tutasema tutachoka na maisha yataendelea kusonga! Inauma sana asee yaani sana marejesho! Tusubiri tuone huo mshikamano kama upo basi!
Hivi bado Tanzania ni nchi ya AMANI?Ni matumaini yangu kwamba,haya yote yanayofanywa kwa Uonevu yatafikia kikomo!!!
Last edited by a moderator: