TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Kisaikolojia CHADEMA HAWALIAMINI JESHI LA POLISI NA WANAAMINI KUA LINAKANDAMIZA DEMOKRASIA,,,,POLISI NAO(NADHAN TANGU WAPO DEPO-CCP) NAO WAMESHAFUNDISHWA KUWA CHADEMA NI CJAMA CHA VURUGU,sasa hawa jamaa wanapokutana lazima vurugu zitokeee,,,,kila mtu hamuamini na hampendi mwenzie,,,,mfano kupigwa kwa wale wabunge wa mwanza polisi si walikua wakiangalia tu,na vurugu za wafuasi wa ccm Singida polisi si walikua wakiangalia tuu,na ndo hivi itakavokua siku zijazo,,,,mnakumbuka kova alisemaje????

mkuu tatizo polisi akili zao wanashikiwa na wakubwa wao hasa wanasiasa, hivyo kila anachoambiwa lazima afanye bila kuhoji. Sidhani kama polisi wanakichukia chadema maana wao wenyewe maisha yao ni ya ovyo sana na nyumba wanazoishi zinatia aibu ila kwa sababu akili zao wameshikiwa na ccm hawana jinsi zaidi ya kutii..!!!
 
Dah ndo wametoka kumhesabu hivi karibuni na leo wamemuua.
 
nimeisikia kwenye Star tv na TBC tujuzeni watu wa Iringa ilikuwaje
 
Kweli policcm ina fanya kazi yake!
Hawa polisi lakini si tuna kaa nao huku mtaani?!kwa nini tusi anze piga hawa mapimbi!aaaaah
 
Mie siandiki kitu leo. Ila ninachukua mda kumtafakari yule ***** aliyesema ana degree ya sheria.
.

hahahahaaa,,,,labda wanasheria wangetuambia je,,,,kusome degree za sheria ni kigezo cha kuua?????
 
Siaminikinachoendelea kwenye vituo vya TV. Zaidi ya habari vague zilizotolewa na channel 10 hakuna kituo kingine kilichodiriki kurusha tukio la vurugu za Nyololo zilizopelekea mwandishi mwenzao kuuawa. Hivi hawa waandishi hawajui kuwa kesho ni wao? Shame on you all!

Star tv pia wameonyesha mkuu ila sio kwa kirefu......wamesema wataleta habari zaidi kwenye taarifa zao zijazo.
 
Mnyika alikua sahihi kabisa kwa kauli yake ya mambo yaliyosababisha tufikie hapa,"UPUUZI NA UDHAIFU" c.c.m iko katika hatua za mwisho za uhai wake,uzuri hata mwandishi wa Tbccm ameripoti bila kificho kua Cdm hawakua katika mkutano wa hadhara bali walikua wakipita vijijini katika matawi kuimarisha chama jambo ambalo waliruhusiwa,wananchi kumuona Dr Slaa kipenzi chao wakawa wanakimbilia kumuona,polisi kuona hvyo wakaanza kutumia mabavu na mpaka kusababisha kifo!what a shame!
 
Rip comred mwangosi! Umefia nchi yako. This is now m4c 4 real
 
Kweli policcm ina fanya kazi yake!
Hawa polisi lakini si tuna kaa nao huku mtaani?!kwa nini tusi anze piga hawa mapimbi!aaaaah

Na hii ndio dawa yao.....yaani wananchi tuanze kuua kila police tunaemuona.
 
Polisi wetu hawajawahi pigana vita hata siku moja, hivyo nguvu ya masomo yao kivitendo wanaijaribia kwenye mikutano ya Chadema.

RPC majuzi alisema anawakaribisha Chadema Iringa....Je hilo lilikuwa karibisho la umwagaji damu isiyo na hatia? Kama hiyo haitoshi, iweje polisi waanzishe fujo kwenye ofisi uza Chadema?....ngoja kidogo....wanachama wamekaa chini kuashiria amani katika ofisi ya chama chao, kwanini mabomu yatumike?

Majukumu ya makamanda wa polisi mikoa ni yapi?

Kwa kauli ya RPC wa Iringa ya "kuwakaribisha" Chadema mkoani kwake halafu mauaji yatokee in hatari. Na katika moja ya utekelezaji wa majukumu ya kijeshi kwa raia wake, haswa kabla ya kutokea "janga" kama hili ni:

1. Kushauri- Je jeshi la polisi lilipata wapi nguvu ya ushauri kuhusu Chadema? Waziri wa mambo ya ndani aliagiza ushauri kutolewa na RPC, na kwa njia gani? Wa kufanya mikutano au kutofanya? Walitekeleza jukumu la kushauri pale ilipobidi?Lini?Wapi?Wajumbe ni akina nani?

2. Kuonya- Kwa maelekezo ya hapo namba moja, Je kulikuwa na dalili yeyote ya uvunjifu wa amani uliolilazimisha jeshi hilo kutoa onyo kwa raia kuacha kukusanyika? kwa nini onyo hilo litolewe na mtu asiye na mamlaka husika kama kweli kulikuwa na sababu stahiki ya onyo.

3. Kamata- Kwani polisi walijaribu kumkamata yeyote katika kusanyiko hilo kwa kosa gani? Kwa nini kuwe na kipigo ambacho ni kinyume na agizo la kukamata?

IGP anafanya nini? Ana kazi au amekaa pale "IKULU" yake akiangalia TV jinsi vijana wake wanavyotumiwa vibaya na chama cha "MWENYEKITI". Analo tamko gani la adhabu za kijeshi dhidi ya matumizi mabaya ya silaha ambazo vijana wake wamekabidhiwa?
 
Mungu hana time ya kumtetea wala kumlipa mpumbavu.Yani mimtu inaambiwa isubili mpaka tar 8 yenyewe inatumia nguvu,sasa leo haina dola inaleta vita sasa ikipata dola sii nchi haitakalika?

mpumbavu wewe,tena punguani kabisa.
Rip mwagosi
 
Bado nasisitiza tuwe na jukwaa la matusi kwajili ya kupunguza.stress haiwezekani tuendelee na ujinga huu wa polisi shenzi zao narudia tena.kwa.kumaanisha
 
Naogopa tu kufungiwa kama sivyo ningekutukana tusi ambalo usingelisahau mpaka siku unakwenda kaburini!!! Ila kuna ukweli kwamba unafikiria kwa kutumia masaburi!!!

Tiba
We ndio bwimbwi kweli,unanitishia kutukana? wakati kama kungekuwa na mashindano ya dunia nchi yangu ningeipatia medali ya dhahabu kila mwaka.Ninakuruhusu tukana nione pumzi yako.
 
Siaminikinachoendelea kwenye vituo vya TV. Zaidi ya habari vague zilizotolewa na channel 10 hakuna kituo kingine kilichodiriki kurusha tukio la vurugu za Nyololo zilizopelekea mwandishi mwenzao kuuawa. Hivi hawa waandishi hawajui kuwa kesho ni wao? Shame on you all!
 
Siaminikinachoendelea kwenye vituo vya TV. Zaidi ya habari vague zilizotolewa na channel 10 hakuna kituo kingine kilichodiriki kurusha tukio la vurugu za Nyololo zilizopelekea mwandishi mwenzao kuuawa. Hivi hawa waandishi hawajui kuwa kesho ni wao? Shame on you all!

Mkuu Nyenyere, it's sad... na ni hawa hawa jamii inawatambua na kudhani wana upeo fulani, wanamchi wana rely kwao kwa taarifa..leo hii mwandishi mwenzao(kiitaaluma) wanashindwa kumtambua..nina wasi wasi kama wanafamilia, na kama wanazo sijui wanafamilia na ndugu wanawachukuliaje...but as you said mkuu, leo hawa kesho wao, who knows?.. it's inhuman, disgusting and definately not fair.
 
Kweli policcm ina fanya kazi yake!
Hawa polisi lakini si tuna kaa nao huku mtaani?!kwa nini tusi anze piga hawa mapimbi!aaaaah

mkuu punguza jazba......ukifanya hivyo kutakuwa hakuna tofauti kati yako na wao
 
Mpaka dakika hii , hatujaona hiyo taarifa ya mauaji yaliyofanywa na Police ! Why? Why?.
 
poleni wana chadema wote Iringa,Ukombozi utafika tuu..! Ndio jeshi letu la polisi hilo Mungu yu pamoja nasi "RIP MWANAHARAKATI"
 
Mambo mawili yanatakiwa kufanyika ili kumaliza hili tatizo.
1.Askari wote walio husika washitakiwe,RPC asimamishwe kazi,IGP asimamishwe kazi.
2.Chadema ifutwe.
 
Habari Tbc, kweli Daudi amefariki. Mazingira yameelezwa kuwa wakati polisi walipo vamia mkutano wa CDM ambapo wananchi ndo walikusanyika walipo mwona Dr. Slaa. CDM walikuwa wakijenga chama ngazi za vijiji na kata kwa kuongea na viongozi wa ngazi hizo. Daudi alikuwa ktk eneo hilo kuchukua habari, ndiposa moja ya mabomu ya machozi yaliyokuwa yakirushwa na polisi ilipo mdondokea Daudi na kumjeruhi tumboni. Source:TBC HABARI SAA MBILI. USIKU. R.I.P DAUDI, MPAMBANAJI, MUNGU AFARIJI FAMILIA YAKE WAKATI HUU MGUMU.
 
Back
Top Bottom