idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Kisaikolojia CHADEMA HAWALIAMINI JESHI LA POLISI NA WANAAMINI KUA LINAKANDAMIZA DEMOKRASIA,,,,POLISI NAO(NADHAN TANGU WAPO DEPO-CCP) NAO WAMESHAFUNDISHWA KUWA CHADEMA NI CJAMA CHA VURUGU,sasa hawa jamaa wanapokutana lazima vurugu zitokeee,,,,kila mtu hamuamini na hampendi mwenzie,,,,mfano kupigwa kwa wale wabunge wa mwanza polisi si walikua wakiangalia tu,na vurugu za wafuasi wa ccm Singida polisi si walikua wakiangalia tuu,na ndo hivi itakavokua siku zijazo,,,,mnakumbuka kova alisemaje????
mkuu tatizo polisi akili zao wanashikiwa na wakubwa wao hasa wanasiasa, hivyo kila anachoambiwa lazima afanye bila kuhoji. Sidhani kama polisi wanakichukia chadema maana wao wenyewe maisha yao ni ya ovyo sana na nyumba wanazoishi zinatia aibu ila kwa sababu akili zao wameshikiwa na ccm hawana jinsi zaidi ya kutii..!!!