TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Nakumbuka sana usemi wake" anyesafisha njia ya kupata madaraka kwa njia ya kalamu akiingia atajisafishia kwa njia ya risasi asitoke"

Ni kauli ya Waziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye ambayo inaendelea kuishi na kujidhihirisha kama kauli za kinabii.
 
kwani Tanzania hakuna vazi ambalo linamtambulisha mwanahabari akiwa ktk mazingira ya utata! kama vile VIKOTI vya PRESS, MEDIA au KITAMBULISHO KIKUBWA KIFUANI! polisi hawkumtambua hata wanasema aliekua anamtetea ilibidi yeye achukue zamana ya kumtambua na kuwajulisha wenzake kwamba huyu ni mwandishi wa habari! msininukuu vibaya sijamshutumu mtu yeyote wala chombo chochote! Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!
Mkuu una maana angekuwa na kitambulisho maalumu asnge uwawa?je kwenye suala la mauaji kuna uzito tofauti kati ya mwananchi wa kawaida na mwandishi wa habari?my take;kuuwa ni kuuwa tu,hata kama ukiuwa mtu mwenye lower economic status pia naye ana haki ya kuishi!
 
kuna siku itakuwa zamu ya wao na watoto wao hiyo ndio kawaida kwani wahenga walisema mtenda hutendwa, methali hii inasindkizwa na ushahidi wa kihistoria, ipo siku.
 
Wewe kenge huna aibu? Makalio yako yametawala ubongo wako. Arguments zako kama mtoto. ACHA UPUMBAFU NA USHABIKI WA KIJINGA, UTAOLEWA!

Wewe tukana tu. Lakini ukweli siku zote unauma.

Vipi chadema kila wanapopita vitokee vifo? hiki si chama ni balaa nchini. Hata wazee wetu walivyokuwa wanadai madaraka Umoja wa Mataifa hawakufanya hivyo, walifanya kisiasa.
 
Watu kama wewe Jeshini wanaitwa Maselule yasiyo na ufahamu na mambo ya kijeshi

Sasa unamaanisha hapo zilikuwa ni kazi za kijeshi? kwa hiyo kama umeamuwa kuwa mwanajeshi na kujitoa mhanga kwanini mlalamike na kwanini msichukuliwe hatua kwa uchochezi na kuuwa?

Chadema ni simply ma Terrorists. Wanajuwa kisiasa hawawezi kuchukuwa hii nchi hata wafanye nini, kwa hiyo sasa wameamuwa kwa kutimiza kauli yao kuwa hii "nchi haitotawalika", lakini na hapo tutawagaragaza vilevile. Wapenda amani tuko wengi sana, si nyinyi wajivuni wachache mnaopenda maisha kuliko kifo.
 
Bora E coli nafikiri wewe cryptococcal meniningitis inakusumbua sasa mkuu wewe kila kitu kinacho fanywa na magamba kibovu kwako kizuri kunahaja ya kuhoji uraia wako.

Wewe unachofanya kwenda kuuwa watu kwa kujidai kuwa wameuliwa na polisi unakiona hicho ni cha maana? Kachunguze ubongo wako kwa wataalam pale Muhimbili, wapo kazini, Ulimboka kazi ilimshinda.

Mie sio wa Kaskazini.
 
Wewe unachokitetea ni nini? huoni kwa macho yako? husikii kwa masikio yako?

Unaambiwa kila wanapokwenda chadema kunatokea vifo! sababu?
zomba msitufanye wajinga! vifo vinatokea kwa sababu askari wanaamua kuua watu wasio na hatia! Yawezekana wameagizwa kufanya hivyo ili kuchafua mikutano ya chadema. Watu waliokwenda kwenye mkutano bila silaha yoyote iweje walipuliwe na mabomu? Kwanini risasi zipigwe? Je wataka kutuambia ni hao viongozi wa chadema wenye kuita watu mkutanoni ndio wanao wafyatulia risasi watu walio itakia wito kwenda kuwasikiliza?

Mmeamua ionekane hivyo! Kuwa kila mikutano ya chadema inapofanyika kunatokea vifo. Ila inabidi mkumbuke we only live once, acheni kukatiza maisha ya watanzania kwa sababu za kuchafuana kisiasa. Hao wanaopigwa risasi hawarudi! Siasa zenu zisiwe sababu ya vifo vyetu! Jamani mbona tayari tuna sababu nyingi (hatuna hospitali za zenye madawa na vifaa, tumeshindwa kudhibiti malaria, kipindupindu kila msimu wa mvua, TB, ukimwi etc) zinazosababisha vifo kwa Watanzania ya nini kutuongezea vifo vya lazima kwa silaha za polisi?
 
Last edited by a moderator:
Kwani yeye ni mtoto wa chekechea adanganywe, akili yako mgando kama maziwa.Danganya uliozoea hivi umepitia JKT unajua impact ya risasi inayotoka ktk silaha kubwa.kama ungepitia jkt usingeandika huo uzembe

Kwani mnavyodanganywa na kuchangia fedha zinazokwenda kujengea majumba wachumba mnakuwa ni chekechea?
 
Wewe tukana tu. Lakini ukweli siku zote unauma.

Vipi chadema kila wanapopita vitokee vifo? hiki si chama ni balaa nchini. Hata wazee wetu walivyokuwa wanadai madaraka Umoja wa Mataifa hawakufanya hivyo, walifanya kisiasa.

NDIO MPANGO WA CHAMA CHENU MABWEGE nyie. Mmekosa hoja, mnaplan vifo kwenye mikutano ya chadema mwisho wa siku mpate AGENDA. KENGE WAKUBWA NYIE!
 
zomba msitufanye wajinga! vifo vinatokea kwa sababu askari wanaamua kuua watu wasio na hatia! Yawezekana wameagizwa kufanya hivyo ili kuchafua mikutano ya chadema. Watu waliokwenda kwenye mkutano bila silaha yoyote iweje walipuliwe na mabomu? Kwanini risasi zipigwe? Je wataka kutuambia ni hao viongozi wa chadema wenye kuita watu mkutanoni ndio wanao wafyatulia risasi watu walio itakia wito kwenda kuwasikiliza?

Mmeamua ionekane hivyo! Kuwa kila mikutano ya chadema inapofanyika kunatokea vifo. Ila inabidi mkumbuke we only live once, acheni kukatiza maisha ya watanzania kwa sababu za kuchafuana kisiasa. Hao wanaopigwa risasi hawarudi! Siasa zenu zisiwe sababu ya vifo vyetu! Jamani mbona tayari tuna sababu nyingi (hatuna hospitali za zenye madawa na vifaa, tumeshindwa kudhibiti malaria, kipindupindu kila msimu wa mvua, TB, ukimwi etc) zinazosababisha vifo kwa Watanzania ya nini kutuongezea vifo vya lazima kwa silaha za polisi?

Mtu anaeambiwa usifanye maandamano bado kakaa anakusanya watu unasema huyo hata hatia?

Morogoro alipigwa nondo na polisi?

Na huyu wa Iringa alifungwa bomu na kujitoa Mhanga na Polisi?

Na Josephine alivyojitia tomato sauce kujidai kapigwa na polisi arusha, alipakwa na polisi?

Nyie mnawadanganya hao hao wajinga wenzenu.

Viongozi wenu walishasema hii nchi "haitotawalika", sasa naona mmeanza kuleta mbinu za kuuwa na kusingizia Polisi.

Tumegundua ujanja wenu, na nyie mnaofata bila kuijiuliza, nawashangaa sana. Hivi hamjiulizi kwanini chadema tu wanapokusanyika wafe watu?
 
Dawa ni ndogo tu.....ni kuwafanya hawa polisi wawe ni "endangered specie" huku mitaani tunakokaa nao.
Wananchi tuwe tunawawinda kama tunavyowinda nyati. Vizia, piga, ua, tupa kule. Choma kama mishikaki!

Watashika adabu wash.enzi hawa!

ndugu zetu wengine
 
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu

Naionea huruma familia yako kwa mzigo walio nao..Ni lini uliona viongozi au wanachama wa Chadema wakiwa na silaha?labda nikukumbushe kwa ufupi tu,huenda posho unayolipa na NyinyiEmu(Chama Cha Mabwepande) zinakusahaulisha mengi..
1.NDAGO,IRAMBA,SINGIDA
Aliyeuawa aliuawa kwa mawe ambayo yalikuwa yanarushwa na wanachama wa NyinyiEmu waliotuma na Mwigulu,na tayari hilo limethibitisha.
CHADEMA HAIHUSIKI

2.MOROGORO
Bwana Ally alikufa kwa kupigwa risasi,risasi ambazo wanazo walinzi wenu dhaifu wanaofundishwa mbinu dhaifu za kuua tu.,
CHADEMA HAIHUSIKI.

3.NYOLOLO,IRINGA
Mwandishi huyu amekufa kwa risasi/bomu,vyote vikiwa ni mali ya polisi.,na kwa utashi wao mdogo wamekosa njia mbadala na wamekosa pa kwenda wakaona ni busara kwenda kuwavamia raia..
CHADEMA HAIHUSIKI.
CHADEMA HAIHUSIKI.
CHADEMA HAIHUSIKI..
 
NDIO MPANGO WA CHAMA CHENU MABWEGE nyie. Mmekosa hoja, mnaplan vifo kwenye mikutano ya chadema mwisho wa siku mpate AGENDA. KENGE WAKUBWA NYIE!

Hiyo agenda mnaitafuta nyie lakini kwa makosa makubwa sana ya kumwaga damu za watu. Msifikiri fujo hizi zitawafikisha "nchi ya ahadi".
 
Ujinga gani wa kujiuliza swali na kujijibu mwenyewe ulishaona wapi hiyo? we ni Polisi tu acheni kujitetea

kikubwa nikutambulika ujulikane pale upo kama nani, unafanya nini, kwa manufaa gani na yanani na utapatiwa msaada gani wa haraka pale utapohitajika! sasa kwani wale ni vichaa mpaka wote wamshambulie vile! na bomu la machozi halina mlipuko wakumtawanya utumbo vile na kumjerui officer mmoja!
 
Nadhani chadema ifutwe ili amani ya kifisadi iwepo.nimechooka na mauaji ya plisi killa siku kwa kisingizio cha kutekelleza wajibu wao kama mkuu wao waziri wa mambo ya ndani alivyowatetea kwa issue ya morogoro .

kwani wanaoua ni chadema? ACHA UJINGA WEWE.
 
Mtu anaeambiwa usifanye maandamano bado kakaa anakusanya watu unasema huyo hata hatia?

Morogoro alipigwa nondo na polisi?

Na huyu wa Iringa alifungwa bomu na kujitoa Mhanga na Polisi?

Na Josephine alivyojitia tomato sauce kujidai kapigwa na polisi arusha, alipakwa na polisi?

Nyie mnawadanganya hao hao wajinga wenzenu.

Viongozi wenu walishasema hii nchi "haitotawalika", sasa naona mmeanza kuleta mbinu za kuuwa na kusingizia Polisi.

Tumegundua ujanja wenu, na nyie mnaofata bila kuijiuliza, nawashangaa sana. Hivi hamjiulizi kwanini chadema tu wanapokusanyika wafe watu?

Sisiti kusema kuwa utawala wa CCM ni hatari zaidi ya utawala wa kikoloni..Vyote vinafanana kwa kila kitu.,tofauti ni moja tu.,ule ulikuwa wa wazungu na hawa ni wenzetu..Jana,CCM wamezindua kampeni kule Bububu.,wao ruhusa walimwomba nani?Ni lini CHADEMA wameomba ruksa wakapewa bila masharti?
Tatizo liko palepale.,demokrasia ndiyo falsafa yetu.,na tutaendelea kuiamini daima..Wananchi tunatambua ukweli,na haki ya kukusanyika,iwe kisiasa,kijamii au kitamaduni ni yetu sote..HATURUDI NYUMA!
 
Back
Top Bottom