TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Mtu anaeambiwa usifanye maandamano bado kakaa anakusanya watu unasema huyo hata hatia?

Morogoro alipigwa nondo na polisi?

Na huyu wa Iringa alifungwa bomu na kujitoa Mhanga na Polisi?

Na Josephine alivyojitia tomato sauce kujidai kapigwa na polisi arusha, alipakwa na polisi?

Nyie mnawadanganya hao hao wajinga wenzenu.

Viongozi wenu walishasema hii nchi "haitotawalika", sasa naona mmeanza kuleta mbinu za kuuwa na kusingizia Polisi.

Tumegundua ujanja wenu, na nyie mnaofata bila kuijiuliza, nawashangaa sana. Hivi hamjiulizi kwanini chadema tu wanapokusanyika wafe watu?

Tafadhali sana zomba hebu nenda taratibu usianze kunitukana kwa kutetea kwako ccm! Unadhani mie ninafurahia unayoyaandika? Mbona sijakutukana? Hata mie naweza sana kutukana lakini sioni sababu ya kutukana kwenye masuala ya msingi kama haya! Hata ugeuze maneno kwa namna gani ukweli utabaki kuwa ukweli! Vyombo vya dola vinatumika kuua raia wasio na makosa kwa kutetea maslahi ya wanasiasa waliopo madarakani! Hatutanyamaza katika kulipinga hilo!
 
sijamaanisha hivyo! unajua in the real sense yeye daudi alikua mwana habari n wanahabari wanalindwa hata vitani so angekua na kitu ch kumuidentify kama yupo kazini na uwepo wake ukawa officially nahisi isingefikia pale ilipofikia!
 
Polisi wa Tanzania wanahitaji mafunzo zaidi kwani hawajui hata umuhimu wa waandishi wa habari. Waandishi wa habari wanaheshimiwa hata kwenye vita iwe kwenye habari za kisiasa????
 
We ndio bwimbwi kweli,unanitishia kutukana? wakati kama kungekuwa na mashindano ya dunia nchi yangu ningeipatia medali ya dhahabu kila mwaka.Ninakuruhusu tukana nione pumzi yako.

Naona unanitafutua BAN. Bahati nzuri niko makini, naipenda JF siwezi kukubali kufungiwa kwa ajili ya kujibizana na mchumia tumbo kama wewe!!!!

Tiba
 
Tafadhali sana zomba hebu nenda taratibu usianze kunitukana kwa kutetea kwako ccm! Unadhani mie ninafurahia unayoyaandika? Mbona sijakutukana? Hata mie naweza sana kutukana lakini sioni sababu ya kutukana kwenye masuala ya msingi kama haya! Hata ugeuze maneno kwa namna gani ukweli utabaki kuwa ukweli! Vyombo vya dola vinatumika kuua raia wasio na makosa kwa kutetea maslahi ya wanasiasa waliopo madarakani! Hatutanyamaza katika kulipinga hilo!

Ujinga sio matusi, ni sifa. Halafu neda post yako namba 773 uone hilo neno kalianzisha nani?

Useme wewe nikikujibu useme nakutukana? au una sifa ya kusahau?
 
Huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!
 
sijamaanisha hivyo! unajua in the real sense yeye daudi alikua mwana habari n wanahabari wanalindwa hata vitani so angekua na kitu ch kumuidentify kama yupo kazini na uwepo wake ukawa officially nahisi isingefikia pale ilipofikia!

Ndugu yangu ugumu hapo kwa wewe unatoka wapi?Polisi mmoja aliyejeruhiwa alikuwa anawazuia wenzie wasimpige
kwa sababu anamfahamu ni mwandishi wa habari,lakini wenzie wakafanya walichokifanya,hivyo si kweli kuwa walimuua
bila kujua kuwa ni mwandishi wa habari,la hasha walijua fika kuwa wanaua mwandishi wa habari"
 
ukweli ni kwamba siku zote,damu ya mtu haipotei tazama morogoro polisi waliua wakasema cdm,sasa kwa akili ya kawaida hebu tizama askari aliyeelekeza mtutu tumboni kwa mwandishi.swali je ni mwananchi aliyerusha bomu kama kamanda anavyosema wote pale wangekufa mimi sijui tafakari
 
Hallow,

Nami nimesikitishwa sana na taarifa za msiba wa mwandishi maarufu wa Channel Ten Ndg yangu na rafiki yandu Daudi Mwangosi ambaye nilikuwa naye mpaka alfajiri ya jana akionekana ni mtu mwenye furaha sana.

Najaribu kutafakari haki itatendekaje katika kuchunguza chanzo cha kifo cha mwanahabari huyu. nasema hivi kwasababu ni jeshi la Polisi linatuhumiwa kuwa limetumia nguvu kuzidi kiasi hadi kupelekea kifo cha mwanahabari huyo na jeshi hilohilo ndo linafanya uchunguzu wa kifo hicho. Hivi unatarajia kutoa taarifa ambazo hazia mlengo mmoja?

Nafikiri kulikuwa na umuhimu wa kuwepo na chombo huru cha kufanya utafiti huu ili haki iweze kutendeka
 
Haya ni matokeo ya kuwa na polisi wasiojua wajibu wao. Tumefika pabaya. Nchi inakoelekea haitatawalika. Naiona 'Somalia' mlangoni.
 
Hallow,

Nami nimesikitishwa sana na taarifa za msiba wa mwandishi maarufu wa Channel Ten Ndg yangu na rafiki yandu Daudi Mwangosi ambaye nilikuwa naye mpaka alfajiri ya jana akionekana ni mtu mwenye furaha sana.

Najaribu kutafakari haki itatendekaje katika kuchunguza chanzo cha kifo cha mwanahabari huyu. nasema hivi kwasababu ni jeshi la Polisi linatuhumiwa kuwa limetumia nguvu kuzidi kiasi hadi kupelekea kifo cha mwanahabari huyo na jeshi hilohilo ndo linafanya uchunguzu wa kifo hicho. Hivi unatarajia kutoa taarifa ambazo hazia mlengo mmoja?

Nafikiri kulikuwa na umuhimu wa kuwepo na chombo huru cha kufanya utafiti huu ili haki iweze kutendeka

Sioni haja ya kufanya uchunguzi wa kitu ambacho kiko wazi. Aliyeua anafahamika, alivyoua inafahamika na sababu ya kuua inafahamika (kunyamazisha umma unaohoji kuporwa haki yake ya maisha yenye utu). Sasa uchunguzi wa nini?
 
Sasa kama waliambiwa watawanyike wao wakakaidi ni vipi tuwalaumu police?
Mkuu, Hivi unaweza kutoa sababu kwanini wananchi wapewe amri ya kutakiwa watawanyike kama hawajavunja sheria? Kwani nchi sasa imekuwa inaongozwa kijeshi? Is there a marshall law now in Tanzania?
Hilo tawi dogo la kijiji cha Mufindi linawanyima usingizi Polisi?
Hao wananchi walikuwa wanapigana au kulikua na vurugu zozote pale?

Na kama wananchi wakikataa kutawanyika waka kaa chini ndiyo wapige mwandishi wa habari risasi tena in close range namna hiyo? Are you OK?
 
Ujinga sio matusi, ni sifa. Halafu neda post yako namba 773 uone hilo neno kalianzisha nani?

Useme wewe nikikujibu useme nakutukana? au una sifa ya kusahau?

Kama ujinga ni sifa basi na zikurudie mara dufu!
 
Huwezi ukawa na nchi kila siku watu wanaandamana!

Mkuu tayari tunayo mbona? wewe uko wapi? Tanzania hii hii?
Yaani umesahau mara hii? tena maandamano sasa hivi siyo ya Chadema tu bali na waalimu, vijana wa vyuo, watoto wa hata wa shule za msingi walianza hivi majuzi, madaktari na subiri yataongezeka maana dawa ya kuyamaliza si nguvu za mtutu wala mabwepande. Mimi naamini hivyo sijui wewe.
 
Amefariki dunia Daudi Mwangosi RIP my friend my brother Daudi

Wanasema vita haina macho! Najiuliza kama ilikuwa vita au ni kisasi kilichopangwa kutokana na kazi ya marehemu?! PUMZIKA KWA AMANI BABA YANGU, NA MUNGU AIPE NGUVU FAMILIA YETU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU!
 
waandishi wa habari wakiwa makazini kuna kitu wanavaa kujionyesha kua wao ni waandishi wa habari? alafu pia waandishi wa habari ndio sumu ya serikali pia kwa sababu wanaandika habari mbaya kuhusu serikali na chama so lazim waelewe na wao watakua ni targets.
 
Samahani kama sikuelewa, habari ni kuwa amepigwa risasi au ameuawa kwa kupigwa risasi? Tuache utani, yote si mema, lakini tafadhali tusiandike maneno mazito kama hayo wakati hatujapata taarifa zaidi za hali yake. Sina neno lolote mkuu Royals, ila naomba kabla hatujajua kilichotokea kwa dhati tusikimbilie kuandika R.I.P! Mkuu marejesho ameuliza Vipi hali yake? Naomba mwenye habari zaidi atupatie.
Marehemu ameuawa na Bomu dogo linalotumika kuvunjia vizuizi kama makofuli, milango ama kitu kinachofanana na hivyo. MABOMU HAYO HUWA NAYO MAPOLISI NA HUYATUMIA KAMA MHALIFU AMEJIFICHA AMA KUJIFUNGIA SEHEMU AMBATO KATIKA HALI YA KAWAIDA NI VIGUMU KUVUNJA KWA NYUNDO AMA CHUMA hivyo polisi wakati wanaenda eneo hilo walikuwa wamejihami na mabomu hayo.

NA INASEMEKANA KUWA MAREHEMU ALIKUW ANA UGOMVI NA MAPOLISI WA ENEO HILO PAMOJA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI AMBAO WALILALAMIKA KUWA HUYO JAMAA ALIHUSIKA KATIKA KUKIPA CHADEMA UMAARUFU KWA KURIPOTI HABARI ZA CHADEMA NA KUACHA ZA CCM

hivyo kwa haraka haraka WALIOHUSIKA KUMUUA MAREHEMU NI POLISI KWA KUSHIRIKIANA NA CCM
 
Back
Top Bottom