mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Mtu anaeambiwa usifanye maandamano bado kakaa anakusanya watu unasema huyo hata hatia?
Morogoro alipigwa nondo na polisi?
Na huyu wa Iringa alifungwa bomu na kujitoa Mhanga na Polisi?
Na Josephine alivyojitia tomato sauce kujidai kapigwa na polisi arusha, alipakwa na polisi?
Nyie mnawadanganya hao hao wajinga wenzenu.
Viongozi wenu walishasema hii nchi "haitotawalika", sasa naona mmeanza kuleta mbinu za kuuwa na kusingizia Polisi.
Tumegundua ujanja wenu, na nyie mnaofata bila kuijiuliza, nawashangaa sana. Hivi hamjiulizi kwanini chadema tu wanapokusanyika wafe watu?
Tafadhali sana zomba hebu nenda taratibu usianze kunitukana kwa kutetea kwako ccm! Unadhani mie ninafurahia unayoyaandika? Mbona sijakutukana? Hata mie naweza sana kutukana lakini sioni sababu ya kutukana kwenye masuala ya msingi kama haya! Hata ugeuze maneno kwa namna gani ukweli utabaki kuwa ukweli! Vyombo vya dola vinatumika kuua raia wasio na makosa kwa kutetea maslahi ya wanasiasa waliopo madarakani! Hatutanyamaza katika kulipinga hilo!