Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
693
Reaction score
889
1571927799367.png
1571927810629.png


Zaidi.soma:


 
It makes no sense. Mbunge anataka kufanya mkutano na watu wake waliomchagua anazuiwa! Mbona sijaona wabunge wa chama tawala wakizuiwa? IGP alipaswa kuanza na haya ikiwa anataka kuonyesha kuwa jeshi analoliongoza ni 'apolitical' na lina weledi.
 
Inaoneka wewe ni mgeni na siasa za bongo, subiri ukiwa mwenyeji utaelewa nini kinachoendelea vingenevyo wewe ni mmoja wao ndio maana unajifanya na wewe hamnazo ili mradi watoto wako anaenda chooni.
Uzuri polisi wameweka sababu za kuzuia huo mkutano

Cha ajabu sijaona hata mmoja humu akipinga hizo sababu kwa hoja
 
Jana hapa nilikomenti nikasemaa ajiandae kupokea barua ya kuzuia leo yametimia sasa
View attachment 1243258View attachment 1243260

Zaidi.soma:


 
Hizo taarifa walizotoa police ni za kweli kabisa usipingane nao.

Ukweli ni huu, historia ni mwalimu
1. Akwolina
2. Mwangosi
3. Olasiti Arusha Tena kanisani
4. Mawazo
5. Tundu lissu

Kubali yaishe
 
Back
Top Bottom