Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Dhambi ya kuua democrasia itamwandama. Tuna mfumo wa vyama vingi kwa zaidi ya miaka 20; Ni utamaduni na mfumo wa maisha wa watu. Mawazo mbadala ni muhimu kwa checks and balance na ustawi wa taifa.
 
Namuunga mkono Rais kwenye mambo ya mendeleo sio kwenye kubana upinzani, kubana uhuru wa vyombo vya habari na kuvunja katiba naomba nieleweke.
 
Back
Top Bottom