Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Wameogopa mafuriko.Mwenyekiti wao anafanya kampeni kila siku alianzia rukwa,katavi,kusini ikaishia ruangwa
 
Hili linchi limekuwa la hovyo sana, watu wamechoka mpaka wameamua kumtua mshua moshi, lakini hataki kuelewa we muache kuna siku atatumiwa upepo utamvurumisha mpaka chato,
Tunakusubiri
 
TATIZO SIO POLISI TATIZO LIPO KWA WANANCHI WANAOGOPA KUDAI HAKI KWA NGUVU ZOTE MPAKA MAMLAKA ZA AJABU ZIKAE SAWA
Mabosi wao ndio wanufaika wa uwepo wa ccm hawa wa chini ni kutii maagizo watake wasitake nature ya kazi yao ni kutii amri na sio kureason.Ingekuwa ni ya kureason Akwilini,Mwangosi,Allen, wasingeuwawa.
 
Mimi nikajua na mbwembwe zote za kupost matangazo ya picha ya mkutano huo tayari ashapata kibali kutoka polisi kumbe zilikuwa Ni shibe tu..Wachungaji wengine bhana hovyo Sanaa hawatakiwi hata kuaminika kwa uongo na uzushi wa namna hii. Watanzania mtakuwa wa kushikwa makalio Hadi lini maana sasaiv kila anaejisikia kuongea upuuzi wake anaongea na wapumbavu Wachache wasiojipa mda wa kutafakari wanafuata hizo pumba. Haya Sasa Kazi kwenu baada ya Zitto na kigogo2014 kuwashika matako yenu kaja mchungaji naye mpeni tu awashikeshike naye kipindi Cha mpito naye kipite Kama kilivyopita Cha Zitto
 
Hizo taarifa walizotoa police ni za kweli kabisa usipingane nao.

Ukweli ni huu, historia ni mwalimu
1. Akwolina
2. Mwangosi
3. Olasiti Arusha Tena kanisani
4. Mawazo
5. Tundu lissu

Kubali yaishe
Taarifa ni za kweli? Polisi hupewa taarifa ya mkutano ili watoe ulinzi. Ni ajabu Polisi wakidai kwamba kuna habari za kiintelejensia kwamba wapo watu waliojiandaa kufanya vurugu. Kwanza wakiwa na hizo taarifa ndiyo vizuri ili wawadhibiti hao waleta vurugu na mkutano ufanyike.
 
CCM yetu mpya hii....yaani tukisikia CDM inafanya mkutano basi tunahaha...ni tunaogapa balaa!! Police, yaani kuanzia CCM makao makuu wote ni kukimbizana huku na kule...kuhakikisha CDM hawapati airtime na wananchi...yaani hawa CDM ni balaa wanashambulia kama nyigu....dawa yao kuwanyima mikutano tuone..!!
 
Mbona makada wengine wanaachiwa wanafanya siasa?
tapatalk_1571936975101.jpeg
 
Back
Top Bottom