Chilemba wamela pamputi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 544
- 598
Kama mnaubavu fanyeni sasa.
Wenyewe fikra zao ziliwatuma wakizuia mikutano ya upinzani ndio vyama vitajifia kumbe ndio wamevirutubisha. Maana wananchi wana hamu ya kusikia mawazo mbadala wamechoshwa na majigambo kila kukicha utadhani hizo pesa za kununulia ndege zinatoka kwenye account ya Lumumba=======
Taarifa na tangazo la kufanya mkutano;
![]()
Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia
MSIGWA TENA! Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa Kibunge katika viwanja vya Mwembetogwa tarehe 26/10/2019. Kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni Kama mbunge wako , nitasikiliza kero, maoni na ushauri kabla ya kwenda kwenye mkutano wa bunge, litakalo anza...www.jamiiforums.com
Afanye nini?Aingie barabarani watu wauawe na happy trigger soldiers?Akamatwe afunguliwe kesi akimbizane na mahakama miaka minne ijayo?Safi sana, upinzani lazima ubadili hii tabia ya kuombaomba mambo ambayo ni haki yao kisheria. They should force to practice their right. Mikutano ya kisiasa polisi wanapewa taarifa tu na sio kuwaomba kibali. Imagine simply Msigwa amepigwa stop na kweli amebaki tu kupost barua ya katazo la polisi really?
Taarifa ni za kweli? Polisi hupewa taarifa ya mkutano ili watoe ulinzi. Ni ajabu Polisi wakidai kwamba kuna habari za kiintelejensia kwamba wapo watu waliojiandaa kufanya vurugu. Kwanza wakiwa na hizo taarifa ndiyo vizuri ili wawadhibiti hao waleta vurugu na mkutano ufanyike.
Yeye wanamng'oa meno ili aache kusambaza uongo kumhusu Rais wetu mchapakazi mtetea wa wanyonge JPM. Wanasema safari hii asirudi kula sikukuu za mwishoni mwa mwaka 2019.Mtamfanya nini? Mnataka kumng’oa kucha kama mlivyomfanya Ben Saanane?
Wao si Mungu na December baadhi wanaweza kuwa wame RIPYeye wanamng'oa meno ili aache kusambaza uongo kumhusu Rais wetu mchapakazi mtetea wa wanyonge JPM. Wanasema safari hii asirudi kula sikukuu za mwishoni mwa mwaka 2019.
Hawajasema kuwa wao ni Mungu! Pole kama ni ndugu yako!Wao si Mungu na December baadhi wanaweza kuwa wame RIP
Why are yo so defensive if the man is doing right?Hawajasema kuwa wao ni Mungu! Pole kama ni ndugu yako!
What do you want me to be? The same question to you! Why are you so destructive to your country as if you are not a citizen of this country??Why are yo so defensive if the man is doing right?
So why all these threats on people who speak out their minds?What do you want me to be? The same question to you! Why are you so destructive to your country as if you are not a citizen of this country??
Polisi uchwaraZidumu fikra za mwenyekiti wa chama [emoji1491]
Mbuzi wewe!Hizo taarifa walizotoa police ni za kweli kabisa usipingane nao.
Ukweli ni huu, historia ni mwalimu
1. Akwolina
2. Mwangosi
3. Olasiti Arusha Tena kanisani
4. Mawazo
5. Tundu lissu
Kubali yaishe
I lakini mzee baba anaendelea je na mapumziko ni vzr tukapesa updateZidumu fikra za mwenyekiti wa chama 💪🏾
Most of them are used to be fraudsters! Nowdays the President is against fraudsters thus why they hate him!So why all these theats on people who speaks out their minds?
Ya mzee Baba ni siri, ukiyauliza unayakwa na vijana wake. Mficha maradhiI lakini mzee baba anaendelea je na mapumziko ni vzr tukapesa update