Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

Ya mzee Baba ni siri, ukiyauliza unayakwa na vijana wake. Mficha maradhi
Yaani ni limejulikana half baba muongiza namfuata hadi chumbani asbh labda kama hana hadhi ya kuitwa baba

. Nagonga na mkalimani shampoo bb umeamua je vipi afya yako
 
.... CCM bana, si mnajinasibu mnakubalika nchi nzima sasa hivi, vipi tena mnatingishwa kidogo tu mnaanza kutetemeka!, eti taarifa za kiintelijensia, sababu ya zamani hii... hamjaisahau tu, hebu tafuteni sababu nyingine sasa!
 
.... hawa CCM come 2020 wataiba kura tu, hawana lolote, kumbe wepesi kama pamba!
 
.... eti kutakuwa na seminar hivyo askari wote watakuwa huko, duh!, seminar ya serikali za mitaa askari wote wakafanye nini huko?!, au nako intelijensia yenu imewaambia patakuwa na vurugu!
 
Uzuri polisi wameweka sababu za kuzuia huo mkutano

Cha ajabu sijaona hata mmoja humu akipinga hizo sababu kwa hoja
Ngoja nijishangae hata mimi mwenyewe kwa kukuunga mkono kwa kauli yako hii kwenye jambo hili!

Ni kweli kabisa usemayo, kwa maana hata siku moja Erythrocyte, Pantheraleo na wenzao wanaoweka mada kama hizi hapa JF, ni nadra sana wanaweka ushahidi ushahidi hapa JF kuonyesha kwamba mikutano ya CCM inaendelea nchini kote bila ya kizuizi chochote.

Kwa kuwa ushahidi huo haupo, nasi inatupasa kuamini kwamba CCM nao wanazuiwa kufanya mikutano kama hiyo kwa sababu zile zile walizotoa polisi na ukazisifu.
 
Kwa hili naungana na polisi, kama si muda wa kampeni kufanya mkutano ni kama anapiga kampeni vile, ila sasa wasiwe tu na double standard, kama wanamzuia huyu wa CDM wazuiwe na wa CCM wote. Ni vizuri tuwe na fair system ambayo kila mtu regardless ya chama au cheo awe under the same standard.
 
IRINGA MPYA DHANA ISIYO NA UHALISIA. KAMA KERO ZIMETATULIWA KWA NINI UOGOPE MWENZIO ASIJINADI??? KWA EVALUATION BORA INGEFAA ATUMIE HIKI KAMA KIPIMO.
 
Kwa hiyo polisi wanawahakikishia majambazi kuwa sasa Iringa mnaweza kufanya matukio yenu bila hofu maana polisi wote wapo wanalinda mitihani ya la saba, kidato cha pili na cha nne!!?
 
Halafu eti wanataka Zimbabwe iondolewe vikwazo, hakuna Mzungu yoyote kusikiliza Mwafrika yoyote. Weka vikwazo mpaka hao viongozi wakae kushoto.
 
Mi sielewagi hao wanaomsifia kila leo sijui wapoje na wanaishi wapi hadi kushindwa kuona ubabe mav wa jamaa.
 
Tupo kwenye foleni ya kuwekwa kizuizini wanajifanya hawamkubali M-USA na Mwingereza kwa sasa wanajipendekeza kwa waasimu wso(CHINA NA URUSI)
Halafu eti wanataka Zimbabwe iondolewe vikwazo, hakuna mzungu yoyote kusikiliza mwafrika yoyote mpuuzi. Weka vikwazo mpaka hao viongozi washenzi wakae kushoto.
 
Mikutano kila kona lakini kujiandikisha uchaguzi serikali za mitaa walitufuata mitaani na daftari la kujiandikisha sio sisi kuwafuata wao vituoni kuna uchaguzi hapo. Wana hali mbaya.
 
Wanafanya usajili wa kufa mtu
2193170_tapatalk_1571921669725.jpeg
 
Back
Top Bottom