pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 693
- 889
Hata mm pia...Nilijua tu
CCM imekufa hivi sasa tunapambana na Polisi na watekajiWangemwachia tu afanye huo mkutano wake.
Kwahiyo mikutano ya upinzani tuu ndio yenye sababu lkn ya ccm haina sababuUzuri polisi wameweka sababu za kuzuia huo mkutano
Cha ajabu sijaona hata mmoja humu akipinga hizo sababu kwa hoja
Uzuri polisi wameweka sababu za kuzuia huo mkutano
Cha ajabu sijaona hata mmoja humu akipinga hizo sababu kwa hoja
View attachment 1243258View attachment 1243260
Zaidi.soma:
Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia
MSIGWA TENA! Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa Kibunge katika viwanja vya Mwembetogwa tarehe 26/10/2019. Kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni Kama mbunge wako , nitasikiliza kero, maoni na ushauri kabla ya kwenda kwenye mkutano wa bunge, litakalo anza...www.jamiiforums.com
Wangemwachia tu afanye huo mkutano wake.
Unakumbuka jana coment yangu nilisemaje?Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Wangetumbuliwa woteWangemwachia tu afanye huo mkutano wake.