mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Mzee wa Riverside yeye usajili wake bado?Wanafanya usajili wa kufa mtuView attachment 1245016
Kina kaka technically Praise teamMi sielewagi hao wanaomsifia kila leo sijui wapoje na wanaishi wapi hadi kushindwa kuona ubabe mav wa jamaa.
Ulitaka afanye nini?Msajili wa Vyama yupo kimya .
Kitambo tu ila afya mgogoroMzee wa Riverside yeye usajili wake bado?
Akili ndogo hiyo hujui kazi ya msajili wa vyama?Ulitaka afanye nini?