Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

Kwenye mifumo hii ya kielektroniki utakamatwa tu, iwe leo au kesho kutwa. Records zinakuwepo na hazifutiki hata kama umejidanganya na kuzifuta kwenye simu yako.
Ubaya wa E-Money inaacha trails kwa hio lazma watai trace mpaka Exit point tu😅 watakudaka hata kama ulitumia vitambulisho feki wako ulioshirikiana nao watakuchoma tu
 
Nilikuwa nadharau Iringa kumbe wana uwezo wa kuwa na hata billion 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…