FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ushahidi ni historia yao tangu mauaji aliyofanya ZombeMkuu ziliibwa ngapi na walizogawana polisi ni ngapi? Unao ushahidi kusupport ur claim?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi ni historia yao tangu mauaji aliyofanya ZombeMkuu ziliibwa ngapi na walizogawana polisi ni ngapi? Unao ushahidi kusupport ur claim?
Hiyo njia wewe umeitumia?Wapuuzi hao wanaibaje hela kizembe hivyo? siwangeniambia niwape njia iliyo nyooka wangepiga pesa washangae
Labda kilometa sifuriHarrier 72M
😂,nimewaza ningekua polisi ningepita na hizo mil 900Sijawahi kusikia wameokoa zote. Lazima wapate za kubrashia au nasema uongo
[emoji23],nimewaza ningekua polisi ningepita na hizo mil 900
Kwenye mifumo hii ya kielektroniki utakamatwa tu, iwe leo au kesho kutwa. Records zinakuwepo na hazifutiki hata kama umejidanganya na kuzifuta kwenye simu yako.
Itakuwa ile new model mayai😂Harrier 72M
Ubaya wa E-Money inaacha trails kwa hio lazma watai trace mpaka Exit point tu😅 watakudaka hata kama ulitumia vitambulisho feki wako ulioshirikiana nao watakuchoma tuKwenye mifumo hii ya kielektroniki utakamatwa tu, iwe leo au kesho kutwa. Records zinakuwepo na hazifutiki hata kama umejidanganya na kuzifuta kwenye simu yako.
Nami nimewaza kijinga hivyo hivyo, ama wangemshiriisha Mhindi, wasingekamatwa. Hao jamaa wanajua sana ku circumvent mifumo.Wangemshirikisha mchagga hata mmoja kwenye dili lao wasingekamatwa 😁
Mkuu unashangaa kwamba hakuna harrier ya bei hiyo? Ipo tena hapo wamepunguza beiNimeshangaa sana
Ipo mkuu wala usishangaeHarrier 72M
Nilikuwa nadharau Iringa kumbe wana uwezo wa kuwa na hata billion 2Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Allan L. Bukumbi ametoa ripoti ya matukio kadhaa ikiwemo lililohusisha wizi wa zaidi ya Shilingi Bilioni mbili mkoani humo.
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za kitanzania kiasi cha TSh 2,129,856,000= mali ya kampuni ya SELCOM PAYTECH LIMITED ambapo wakala wa Selcom aitwaye TYSON KASISI wa mkoani Iringa kupitia huduma ya ‘Selcom Pay’ isivyo halali alihamisha fedha kwenda nambari mbalimbali za simu na kisha kuchukuliwa taslimu kupitia wakala wa huduma za kifedha za mitandao mbalimbali ya simu pamoja na akaunti za Benki.
Wizi wa fedha hizo ulifanyika kwa njia ya mtandao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa, Dar es Salaam na Morogoro kati ya tarehe 9 Novemba 2021 hadi 27 Novemba 2021 baada ya wakala huyo TYSON KASISI kufanikiwa kuchezea mfumo wa kieletroniki wa ‘Selcom Pay’ unaomilikiwa na Kampuni ya SELCOM PAYTECH LIMITED.
Wakala huyo kwa njia ya udanganyifu alianza kujitumia fedha pamoja na kuwatumia watu wengine na kwa kushirikiana na genge lake la uhalifu walifanikiwa kuiba kiasi hicho cha TSh 2,129,856,000=.
Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limefanikiwa kukamata (Kuokoa) fedha taslimu kiasi cha TSh 956,974,000= kutoka kwa watuhumiwa na washiriki wa uhalifu huo ambao walipokea sehemu ya fedha hizo kwa ajili ya kuzificha katika maeneo mbalimbali ikiwemo makazi na shambani.
Aidha, kiasi cha fedha za kitanzania TSh 121,215,783= zimezuiliwa katika moja ya benki za biashara mkoani Iringa ikiwa ni mazalia ya uhalifu.
Upelelezi uliofanyika mpaka sasa umebaini kuwa genge la uhalifu na wizi wa fedha za Selcom uliongozwa na watu watatu ambao ni TYSON KASISI, PATRICK CHALAMILA na EVARISTO CHALAMILA ambao wamebainika kuwa wanufaika wakuu wa uhalifu huo.
Halikadhalika, mali ambazo ni mazalia ya uhalifu zimekamatwa na kuhifadhiwa ikiwa ni magari manne (4) yenye thamani ya TSh 303,000,000= ambayo ni;
i. SCANIA yenye jina la mtuhumiwa PATRICK CHALAMILA kwa thamani ya Sh 128, 000,000=.
ii. MITSUBISH FUSO usajili namba T 796 DXV yenye jina la mtuhumiwa TYSON KASISI kwa thamani ya Sh 75,000,000=.
iii. TOYOTA HARRIER usajili namba T 719 DXX yenye jina la mtuhumiwa TYSON KASISI kwa thamani ya Sh 72,000,000=.
iv. NISSAN JUKE usajili namba T 605 DXV yenye jina la mtuhumiwa PATRICK CHALAMILA kwa thamani ya Sh 28,000,000=.
Pia imekamatwa gari Toyota IST yenye namba za usajili T 576 DRN mali ya PATRICK CHALAMILA lililotumika kufanikisha uhalifu kwa kusafirisha fedha za wizi kutoka Madibira Wilayani Mbarali na Ilula Wilayani Kilolo kwenda kuzificha Kilombero mkoani Morogoro.
Ushahidi uliokusanywa mpaka sasa umetosha kuwafikisha watuhumiwa kumi (10) Mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili kwa makosa ya Kuongoza Genge la Uhalifu na Kujipatia Fedha kwa njia ya Udanganyifu.
Aisee.Ushahidi ni historia yao tangu mauaji aliyofanta Zombe
Sio 72M tu, ipo harrie hadi ya 150M. Unafikiri harrier ya 2020 itauzwa sawa na ya 2004??Harrier 72M
Ushamba mzigo.Nimeshangaa sana
Yes, kuna toyota harrier model ya 2015 inazidi hio 72m kutegemea na condition ya gari.. So nahisi alkuwa na harrier ya 2015Harrier 72M
M ma ya kubandua kwenye karatasi siyo used za kwenye yadi za uchocho.Harrier 72M