Unashangaa nini? Nenda pale Toyota LTD, Harrier mpya 0 km ya 2022 inauzwa 140 milioniHarrier 72M
New modelHarrier 72M
hakikaWamethubutu na wameweza
Myebusi rudi nyumbani,nchi imefunguka hii..Nilikuwa nadharau Iringa kumbe wana uwezo wa kuwa na hata billion 2
Mkaldayo nitarudi after 8 years when al be 20Myebusi rudi nyumbani,nchi imefunguka hii..
Ila yeye ndie angewaibia wenzie😁Wangemshirikisha mchagga hata mmoja kwenye dili lao wasingekamatwa 😁
Kwamba hao jamaa hawajatumia hata shilingi mia tangu mwezi Novemba 2021 hadi juzi Februari 9?
InflatedToyota Harrier ya million 72, ikoje hiyo??.
Kuzitakatisha hizo pesa ndo kuliko wafanya wakamatwe...!Hawa wamekamatwa kizembe, sio Kuiba hela Kizembe.
Wametumia akili sana mpaka kuzitakatisha hizo hela. Kutoka E money kuja kuwa pesa taslimu zote hizo sio kazi rahisi.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wamefanya makosa mengi, Kuhamisha kwenda benki, hilo kosa la Kwanza, kujihamishia kwenda kwenye namba zao binafsi, ilitakiwa kabisa wakishapiga hivo kwanza wanazipoza wanaziweka kwenye bitcoin wallet zoote, kule amna udubwasha zinakua safe na private kabisa.Walikosea sehemu ndogo sana.
Sio kibongo bongo, technolojia ni finyu saana. Hapo wangekua smart wasingekamatwa hata mmoja, traces zote za ushahidi wanafuta, mkwanja wanaingiza kwenye bitcoin wallet, apo inakua imeishaa hakuna mbwa atakaeweza kujua.Kwa wizi walioufanya ilikuwa lazima wakamatwe tu..
Labda wangekimbia nchi, sasa wao wakaendelea kuzunguka Iringa hapo hapo, ila lazima walipewa confidence na watu wa ndani ya kampuni hao ndo wamekula nao, hiyo fraud kubwa sana..watu wahamishe pesa zote hizo alafu sio siku moja?