Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

Kwa wizi walioufanya ilikuwa lazima wakamatwe tu..
Labda wangekimbia nchi, sasa wao wakaendelea kuzunguka Iringa hapo hapo, ila lazima walipewa confidence na watu wa ndani ya kampuni hao ndo wamekula nao, hiyo fraud kubwa sana..watu wahamishe pesa zote hizo alafu sio siku moja?
 
Badala ya kuongeza usimamizi imara kwenye hela zinazokusanywa tunaongeza wigo wa kulipa kodi kila siku matokeo yake ndo haya pesa nyingi zinaibiwa kwenye miradi na haimaliziki inayomalizika haina viwango vinavyotakiwa
Deni linaongezeka kwa kasi nani wakutuokoa Tanzania.
 
IMG_20220211_155703.jpg

Leo nmeona habari ya polisi kufanya uchunguzi wa watu fulani waliopiga Ela Selcome kiasi Cha bilioni 2, na polisi kufanikiwa kuzikamata kama bilioni 1 Hivi.
Mimi sioni umuhimu wa polisi kukaa na kuzunguka na fedha zote hizo kwa Zaidi ya miezi miwili...badala yake wangezitransfer hizo Ela ziwe za kielectronic Ili hizo cash ziendelee kutumia kwenye mzungungo. Coz nachokiona kukaa na hizo fedha zote Kuna risk kubwa sana...risk ya kuibwa, kuwa na panya, majanga ya moto n.k na pia inaongeza gharama kwenye kuzilinda...iwapo zisingekuwa cash hakuhitaji sana ulinzi kuzilinda kuliko ilivyo sasa..au wadau mnasemaje.
 
Walikosea sehemu ndogo sana.
Wamefanya makosa mengi, Kuhamisha kwenda benki, hilo kosa la Kwanza, kujihamishia kwenda kwenye namba zao binafsi, ilitakiwa kabisa wakishapiga hivo kwanza wanazipoza wanaziweka kwenye bitcoin wallet zoote, kule amna udubwasha zinakua safe na private kabisa.
Wangetafta mchaga mmoja hapo wangewin deal. [emoji16][emoji16]
 
Kwa wizi walioufanya ilikuwa lazima wakamatwe tu..
Labda wangekimbia nchi, sasa wao wakaendelea kuzunguka Iringa hapo hapo, ila lazima walipewa confidence na watu wa ndani ya kampuni hao ndo wamekula nao, hiyo fraud kubwa sana..watu wahamishe pesa zote hizo alafu sio siku moja?
Sio kibongo bongo, technolojia ni finyu saana. Hapo wangekua smart wasingekamatwa hata mmoja, traces zote za ushahidi wanafuta, mkwanja wanaingiza kwenye bitcoin wallet, apo inakua imeishaa hakuna mbwa atakaeweza kujua.
 
Kweli mbongo bana anapenda starehe!
Pesa yoooooooote hiyo ya nini?
SCANIA!!!? Kwa kweli ndio maana Wazungu wanatudharau sana.
 
Back
Top Bottom