GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Baada ya kura palestina ni free state? 🤣 au alkasus inakulevyaKutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.
Hivi unajua kama UNGA wajumbe takriban 124 walikataa kuitambua Hamas kama terror organization na wakaipigia kura Palestina iwe free state!?
Una hiyo habari!?
Ama unajiropokea tu!?
Endelea kujifariji 😁😁😁
Zitazuwia nini babu,mrusi kavurugwaIron dome zinafaa sana tu kuwepo hapo Ukraine ila tatizo gharama zake za uendeshaji ni kubwa mno.
T14 Armata
ADUI WA UKRITSTO WALIO MUUA YESU WETU WANAPIGIKA
View attachment 3117531
🚨🚨🚨One person was killed and nine others were injured in an armed attack at a bus station in the city of Beersheba in Israel🚨🚨🚨
Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺
🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺
Lete hoja mazwazwa ni watu design yako Kwahiyo hapo unajiona umeandika point😁😁We zwazwa unabwatuka nini?
Kwahiyo Sasa hivi Palestina ni nchi huru kisa ilipigiwa au wewe ndiyo kilaza huna uelewaKutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.
Hivi unajua kama UNGA wajumbe takriban 124 walikataa kuitambua Hamas kama terror organization na wakaipigia kura Palestina iwe free state!?
Una hiyo habari!?
Ama unajiropokea tu!?
Uzuri Israel halipagi Kwa kurusha makombora hafifu yasiyo na madhara akilenga anahakikisha Kuna mbwa mmoja anakufa, hebu tuonyeshe picha ya makao makuu ya mossad yakiwa yamelipuliwa na makombora ya hao magaidiJuzi Iran katwanga Mossad HQ.
Hiyo Iron Dome ilikuwa imeingia kwenye bunker kujificha?
Jiulize kwanini Israel ilizuia vyombo vya habari kuripoti ikiwemo Haaretz na Al-Jazeera!?Sasa umejuaje kaumia wakati ameficha punguzeni porojo
Wewe hoja unazo!?Lete hoja mazwazwa ni watu design yako Kwahiyo hapo unajiona umeandika point😁😁
Yani kama sio iron dome hiyo miji ya Israel ingeshakuwa majivu, tangu October 7 Hamas wamerusha maroketi zaidi ya 7000, Bado kuna Hezbollah, Bado kuna Iran nawale magaidi wengine wa YemenZitazuwia nini babu,mrusi kavurugwa
Uzuri Israel halipagi Kwa kurusha makombora hafifu yasiyo na madhara akilenga anahakikisha Kuna mbwa mmoja anakufa, hebu tuonyeshe picha ya makao makuu ya mossad yakiwa yamelipuliwa na makombora ya hao magaidi
Unaona ulivyo mpuuzi we jamaa?Kwahiyo Sasa hivi Palestina ni nchi huru kisa ilipigiwa au wewe ndiyo kilaza huna uelewa
Mwarabu kila wakipigwa utasikia wanawake na watoto swali walipokamuliwa mavi Nasrallah na yule wa hamas kule Iran waliokufa watoto wangapi na wanawake?Nadhani sasa baada ya kujionea udhaifu wa Iron Dome atakuwa hana hamu tena ya kuagiza kimeo hicho.
Dunia sasa imeoneshwa ukweli wa porojo za Israel na mabwana zake ni uongo mtupu.
Utofauti wanamgambo wanalenga kambi za jeshi na miundombinu ya jeshi ila Israel analenga raia.Yani kama sio iron dome hiyo miji ya Israel ingeshakuwa majivu, tangu October 7 Hamas wamerusha maroketi zaidi ya 7000, Bado kuna Hezbollah, Bado kuna Iran nawale magaidi wengine wa Yemen
Urusi ni dhaifu mno kwa Sasa kuliko kabla ya VitaZitazuwia nini babu,mrusi kavurugwa
Kama unaongelea Lebanon ya kimbiji ni kweli hawajafika ila Lebanon yenyewe Hali ndio kama hii.Wiki sasa idf wanataka kuingia lebanon imeshindikana..na hapo nasrallah hayupo!
Kambi za hizbullah zinafahamika kama kambi za Israel?Israel analenga kuua
Hizbollah analenga miundombinu akikwepa kuua raia.
Kuna kitu nakiangalia kwenye hii vita naanza kuelewa shetani kajambia wapi
Unafananishaje mashambulizi aina mbili tofauti!?Mwarabu kila wakipigwa utasikia wanawake na watoto swali walipokamuliwa mavi Nasrallah na yule wa hamas kule Iran waliokufa watoto wangapi na wanawake?
Lebanon kusini inapakana na israel, israel hajaingia lebanon acha kujipa moyo,anapiga kwa ndege,haya mambo ya propaganda tuliyaona gazaKama unaongelea Lebanon ya kimbiji ni kweli hawajafika ila Lebanon yenyewe Hali ndio kama hii.
AI au recording inafanyika mbali na tukio!?Hizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Muislaer wa MUFINDI unapata shida sana, hao waliozui media zozote kutoa report au kusogeleaPost za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓