'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Kutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.
Hivi unajua kama UNGA wajumbe takriban 124 walikataa kuitambua Hamas kama terror organization na wakaipigia kura Palestina iwe free state!?
Una hiyo habari!?
Ama unajiropokea tu!?
Baada ya kura palestina ni free state? 🤣 au alkasus inakulevya
 
Kutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.
Hivi unajua kama UNGA wajumbe takriban 124 walikataa kuitambua Hamas kama terror organization na wakaipigia kura Palestina iwe free state!?
Una hiyo habari!?
Ama unajiropokea tu!?
Kwahiyo Sasa hivi Palestina ni nchi huru kisa ilipigiwa au wewe ndiyo kilaza huna uelewa
 
Juzi Iran katwanga Mossad HQ.
Hiyo Iron Dome ilikuwa imeingia kwenye bunker kujificha?
Uzuri Israel halipagi Kwa kurusha makombora hafifu yasiyo na madhara akilenga anahakikisha Kuna mbwa mmoja anakufa, hebu tuonyeshe picha ya makao makuu ya mossad yakiwa yamelipuliwa na makombora ya hao magaidi
 
Sasa umejuaje kaumia wakati ameficha punguzeni porojo
Jiulize kwanini Israel ilizuia vyombo vya habari kuripoti ikiwemo Haaretz na Al-Jazeera!?
Lete hoja mazwazwa ni watu design yako Kwahiyo hapo unajiona umeandika point😁😁
Wewe hoja unazo!?
Ungekua una hoja usingekua unabwatuka kama mwantumu.
 
Uzuri Israel halipagi Kwa kurusha makombora hafifu yasiyo na madhara akilenga anahakikisha Kuna mbwa mmoja anakufa, hebu tuonyeshe picha ya makao makuu ya mossad yakiwa yamelipuliwa na makombora ya hao magaidi

Iran ina ubinadamu sana kiasi kwamba haitaki kuua hata mbwa, yenyewe inatwanga military assets tu
 
Kwahiyo Sasa hivi Palestina ni nchi huru kisa ilipigiwa au wewe ndiyo kilaza huna uelewa
Unaona ulivyo mpuuzi we jamaa?
Hivi unasoma kwa kuelewa!?
Madai yako si unasema Hamas magaidi ndio maana hata waarabu wenzao wanawatambua kama magaidi na hawawasaidii!?
Ndio nimetengua hayo madai yako,mataifa 124 yakiwemo ya waarabu yamekataa kuitambua Hamas kama terror organization na yamesapoti uhuru wa Palestina?
Do you know what does it mean geopolitically to Israel!?
 
Nadhani sasa baada ya kujionea udhaifu wa Iron Dome atakuwa hana hamu tena ya kuagiza kimeo hicho.

Dunia sasa imeoneshwa ukweli wa porojo za Israel na mabwana zake ni uongo mtupu.
Mwarabu kila wakipigwa utasikia wanawake na watoto swali walipokamuliwa mavi Nasrallah na yule wa hamas kule Iran waliokufa watoto wangapi na wanawake?
 
Yani kama sio iron dome hiyo miji ya Israel ingeshakuwa majivu, tangu October 7 Hamas wamerusha maroketi zaidi ya 7000, Bado kuna Hezbollah, Bado kuna Iran nawale magaidi wengine wa Yemen
Utofauti wanamgambo wanalenga kambi za jeshi na miundombinu ya jeshi ila Israel analenga raia.
Hayo maroketi ya Hamas yamelemaza wanajeshi 70,000 wa Israel.
 
Wiki sasa idf wanataka kuingia lebanon imeshindikana..na hapo nasrallah hayupo!
Kama unaongelea Lebanon ya kimbiji ni kweli hawajafika ila Lebanon yenyewe Hali ndio kama hii.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005-151104.jpg
    Screenshot_20241005-151104.jpg
    428.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241007-134016.jpg
    Screenshot_20241007-134016.jpg
    446.9 KB · Views: 3
Mwarabu kila wakipigwa utasikia wanawake na watoto swali walipokamuliwa mavi Nasrallah na yule wa hamas kule Iran waliokufa watoto wangapi na wanawake?
Unafananishaje mashambulizi aina mbili tofauti!?
Hassan Nasrallah alikua targeted yeye kama yeye.
Hao watoto wanauliwa Israel anapofanya collective punishment.
Juzi Hizbollah wamevamia mipaka ya Kiryat Shmona na kuua askari wa IDF ila cha ajabu Israel akaenda kulipua Beirut.
Sasa jiulize kwanini aache Hizbollah mpakani wanashambulia yeye alipue Beirut!?
 
Post za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓
Muislaer wa MUFINDI unapata shida sana, hao waliozui media zozote kutoa report au kusogelea
 
Back
Top Bottom