Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Mambo mengine bwana! Kwa hiyo kwa maoni yako maeneo ya Jerusaleem na Tela Aviv hayana umuhimu?

Usiku huu nimeangali kwenye TV jinsi Iron Dome zilivyo zidiwa na maroketi ya wapalestina - yaani aibu tupu, mbwembwe zote za kuipigia debe na propaganda uchwara kwamba Iron DOME ndio baba lao kumbe wapi? Nilishangaa zilipo rushwa roketi tano Tela Aviv - Dome ikadhibiti moja tu nne zikapenya - sasa wanakuja na visingizio eti roketi za kipalestina wamezifanyia marekebisho zinaruka parallel na aridhi hazichukui mtindo wa ki-projectile hivyo si rahisi kuonekana kwenye scanning radar ili system ifanye mahesabu ya uhakika wapi pa kuzi-intercept - nilipo sikia kisingizio hicho cha Wayahudi nilicheka sana na kuwasikitikia, nikajua hapo Iran imekwisha wapa mbinu na wafunzo Wapalestina jinsi ya kuwazidi kete Waisrael.

Usiku huu tena nikaona matela yamebeba vifaru kwenda Gaza eti kuwamaliza wapiganaji wa kipalestina wanao rusha roketi, yaani mara hii Israel imekwisha sahau vifaru vyake vilivyo teketezwa huko Lebanon 2016 baada ya kuingia kichwa kichwa huko, hawakuamini macho yao, leo hii tena mjinga huyu Natenyahu anataka Wayahudi wapate balaa nyingine tena kwa kuvamia Gaza - hataki kuondoka madarakani anag'ang'ania kama luba - anaogopa kushtakiwa akiondoka madarakani - vita hii ndio itamumaliza kisiasa - akumbuke kwamba vita hii wapalestina hawapo peke yao huko Gaza,watasaidiana na kundi la Hezibolla,Wairan, Syria, Wa Lebanon na Waturuki,yaani dalili zinaonyesha Wapalestina wamejipanga kweli kweli ku-deal na ujeuri wa Natenyahu na genge lake vilivyo, wamefikia hatua ya kuvurumisha mpaka roketi za masafa marefu yenye uwezo wa kusababisha uharibifu mkubwa sana sana, nimeona kwenye TV live madhara ya makombora hayo si mchezo, Israel hisipo kuwa makini this time around watakuja kuaibika.
Mkuu hakuna kitu kigumu kama kupigana na jeshi lisilojulikana yaani unapigana kwa kukisia kisia tu ila Israel atashinda hii vita
 
Hiyo Iron dome yenyewe ikipigwa ndio itapendeza zaidi.
Kuna zilizo pigwa na suicide drones za Hamas, nyingine kwa kutumia RPGs - inaelekea Wairan wamewapatia mafunzo wana mgambo wa Kipalestina jinsi ya ku-deal na Iron DOME - moja ya mbinu ambayo ni effective ni kurusha roketi zenye aluminium foils kwenye warhead zake, sasa Iron DOME ikizilipua angani hiyo inasababisha foils kutawanyika hewani matokeo yake mawimbi ya Radar inayo scan na kuongozea intercepting missiles za Iron DOME yana scatter ie kuwa diffused, therefore Iron DOME inakuwa blinded temporarily mpaka foils zinapo pungua hewani na hapo ndipo wanamgambo wa Hamas wana cease window of opportunity ya wakati Iron DOME ikiwa imepofushwa na Aluminium foil za Wapalestina kuvurumisha roketi salvos kwenda Israel - a very clevel ploy.
 
Mfano kama Misri na Jordan kusingekuwa na vibaraka wa Marekani na Israel kukawa kuna viongozi wanaowaunga mkono wenzao wa Palestina wakafungua ile mipaka basi Israel ingepotea katika kipindi kifupi sana.
Walishawahi kujaribu walipigwa wakachakaa hawana hamu tena au wewe husomi historia?
 
Kuna zilizo pigwa na suicide drones za Hamas, nyingine kwa kutumia RPGs - inaelekea Wairan wamewapatia mafunzo wana mgambo wa Kipalestina jinsi ya ku-deal na Iron DOME - moja ya mbinu ambayo ni effective ni kurusha roketi zenye aluminium foils kwenye warhead zake, sasa Iron DOME ikizilipua angani hiyo inasababisha foils kutawanyika hewani matokeo yake mawimbi ya Radar inayo scan na kuongozea intercepting missiles za Iron DOME yana scatter ie kuwa diffused, therefore Iron DOME inakuwa blinded temporarily mpaka foils zinapo pungua hewani na hapo ndipo wanamgambo wa Hamas wana cease window of opportunity ya wakati Iron DOME ikiwa imepofushwa na Aluminium foil za Wapalestina kuvurumisha roketi salvos kwenda Israel - a very clevel ploy.
Sasaivi maroketi yanapenya sana telaviv
 
Mkuu hakuna kitu kigumu kama kupigana na jeshi lisilojulikana yaani unapigana kwa kukisia kisia tu ila Israel atashinda hii vita
Ni kweli mkuu, lakini looking back now hata Wayahudi wenyewe walianza hivyo hivyo kwa kutumia mbinu za hit and run wakati Taifa la Kipalestina likiwa chini ya ukoloni wa Uingereza, waarabu/wapalestina pamoja na maofisa wa Uingereza walikuwa wanawindwa na Wanamgambo wa Kiyahudi wa kundi la Shembet na kuuwawa, wayahudi wanalipuwa kwa mabum ya kutega kwenye Mahoteli ya kitalii na kumbi za starehe zilizo kuwa zinamilikiwa na matajiri wa Kiingereza group hiyo ya wapigania uhuru wa Kiyahudi walikuwa wanaongozwa na Manekhim Begin ambaye baadae alikuja kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Israel kwenye miaka ya1970s.

Sasa angalia unafiki na uzabazabina wa western media ulivyo, magaidi wa kiyahudi waliokuwa wanaongozwa na Manekhim Begin huko Palestina kabla ya mwaka 1948 wanasifiwa kwamba walikuwa ni wapigania uhuru na sio magaidi,lakini Wapalestina wakitumia mbinu hizo hizo kupinga udhalimu, ukoloni/occupation wa Wayahudi kwenye aridhi ya Wapalestina basi wanapachikwa jina la kigaidi na sio wapigania uhuru!! Kinacho sikitisha zaidi, kuna baadhi ya waswahili wana support udhalimu wa kizayuni by 100%.
 
[emoji599][emoji599][emoji599]#BREAKING
Abu Ubaida: After the bombing of the civilian tower in Gaza, residents of Tel Aviv and the center must stand on one leg and wait for our earthquake response
 
[emoji599][emoji599][emoji599]#BREAKING
Abu Ubaida: After the bombing of the civilian tower in Gaza, residents of Tel Aviv and the center must stand on one leg and wait for our earthquake response
Mkuu, wanamgambo wa Hamasi kuna kitu wanaji amini si bure. I suspect wanamiliki makombora hatari yanayo fanana na yale yaliyo vurumishwa na Iran kwenda kushambulia kambi mbili za kijeshi za USA huko Iraq - Dunia ilishuhudia uharibifu mkubwa uliyo sababishwa na makambora hayo hatari yanayo undwa Iran.

Sasa kama Iran imekwisha wapa wana mgambo wa Kipalestina makombora hayo pamoja na mafunzo , ni wazi wanamugambo wakihamua kuyavurumisha makombora hayo kwenda kwenye critical cities nchini Israel - hilo likitekelezwa basi binafsi nina uhakika operation hiyo itawatia akili Wazayuni ili watambuwe kwamba hawawezi kuendelea kuonea Wapalestina with impunity 4 ever.
 
Halaf kilichonishangaza leo yamepenya makombora mengi Telaviv ndio maana Israel inazodi hasira kupiga majengo
 
Direct impacts in tel aviv earlier on. IDF’s has moved iron dome to high value assets, as we assessed they would do 3 days ago, which means they’re either having a technical problem or running low on [emoji573]. Significantly higher # of interceptions in tel aviv https://t.co/SRaTUMD6Ci
 
Uko Israel mkuu??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nyie ndo wale mnaingizwa kwenye vikundi vya ugaidi rahisi tu, yaani wacha tu! [emoji115] [emoji23]
Kwani gaidi ni nani? Ata mandela aliitwa gaidi, leo hii unatetea upuuzi huko ardhi ya Palestina huku ukilalamika ccm wanavunja haki za binaadamu kwa kuteka watu na kuingiza watu kwenye viroba

Unatakiwa ukiwa unafumbia macho uovu uwe kwa [emoji817] au kama ukiwa na roho mbaya uwe [emoji817] au nyinyi ndio wale mnaosaliti chama pinzani kwa sababu ya maslahi yenu?? Acha udini mzeee, Israel haikujui ww wala dini yao haikuhusu inakutambua ww kama nyani pori
 
Kuna zilizo pigwa na suicide drones za Hamas, nyingine kwa kutumia RPGs - inaelekea Wairan wamewapatia mafunzo wana mgambo wa Kipalestina jinsi ya ku-deal na Iron DOME - moja ya mbinu ambayo ni effective ni kurusha roketi zenye aluminium foils kwenye warhead zake, sasa Iron DOME ikizilipua angani hiyo inasababisha foils kutawanyika hewani matokeo yake mawimbi ya Radar inayo scan na kuongozea intercepting missiles za Iron DOME yana scatter ie kuwa diffused, therefore Iron DOME inakuwa blinded temporarily mpaka foils zinapo pungua hewani na hapo ndipo wanamgambo wa Hamas wana cease window of opportunity ya wakati Iron DOME ikiwa imepofushwa na Aluminium foil za Wapalestina kuvurumisha roketi salvos kwenda Israel - a very clevel ploy.
Wenzetu wanatumia bongo zao ipasavyo sie sasa
 
Kuna kifaru kimepigwa kombora sasaivi
IMG_20210515_155839.jpg
 
#BREAKING: Multiple barrages of rockets are fired by the #PIJ & #Hamas from #Gaza at multiple towns in south of #Israel https://t.co/O7c32RBRlG

Pia hisasaivi kutoka chanzo cha Israel, inaonyeshea Iron Dome inakataa kudaka makombora
 
Kwani gaidi ni nani? Ata mandela aliitwa gaidi, leo hii unatetea upuuzi huko ardhi ya Palestina huku ukilalamika ccm wanavunja haki za binaadamu kwa kuteka watu na kuingiza watu kwenye viroba

Unatakiwa ukiwa unafumbia macho uovu uwe kwa [emoji817] au kama ukiwa na roho mbaya uwe [emoji817] au nyinyi ndio wale mnaosaliti chama pinzani kwa sababu ya maslahi yenu?? Acha udini mzeee, Israel haikujui ww wala dini yao haikuhusu inakutambua ww kama nyani pori
Sawa, nenda basi kawasaidie wenzio Hamas kuuwa raia wa Israel, sababu inaonekana wao kuuliwa ndo raha yako, sio watu wale kama hao wapalestina!?
 
#BREAKING: Multiple barrages of rockets are fired by the #PIJ & #Hamas from #Gaza at multiple towns in south of #Israel https://t.co/O7c32RBRlG

Pia hisasaivi kutoka chanzo cha Israel, inaonyeshea Iron Dome inakataa kudaka makombora
Labda kuna sapraiz km ile ya hizbullah inaonyesha wateule wameshusha bom mpaka wamechoka na bado wanaume wanarusha rocket km hakuna kilichotokea
 
Tatizo watu hawajui israel inavyo lindwa na high tech.

Kombola la hamasi likirushwa mambo mawili yanatokea.

1. Alarm ambayo inapigwa kuwa taarifu wananchi kwamba wana sekunde 30 ya kujificha. Israel vituo vyote vya mabasi ni shelter , na kila nyumba in chumba kimoja ambacho ni shelter. Sehemu zote public zina maeneo ambayo ni shelter hivo hata kama bom litafika madhara ni madogo sana.

2. IRON DOME: Pamoja na alarm kutoa taarifa , huu mtambo wenyewe una fanya analysis, kama kombola linaelekea kwenye makazi ya watu, basi unatuma missile kudestroy kombola toka gaza lakini kama kombola la hamasi linatua kwenye empty space basi iron dome inatulia tuu.

Hivyo unavo sikia hamasi wametuma makombola 1000 unaweza kuta labda moja tuu ndio bahati mbaya limetua kwenye makazi ya watu bila kuzuiwa.

Hivyo fujo za hamasi ni kuwatesa tuu watu wa gaza kwa sababu hakuna shelter wala fefense system yeyote .
 
Back
Top Bottom