Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

Is it Logical kwa Mtu ambaye hana hata a,b,c's za Journalism kujifanya Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani hasa Afrika?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope?

Na kwanini hao hao Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) wanakubali kabisa Kufundwa na Mtu ambaye ni Mdhaifu mno Kielimu na hata Yeye pia Elimu yake ni dhaifu dhaifu?

Kama kweli anapenda Kufunda Tasnia za Watu mbona hawafundi Madaktari, Wahandisi, Wakandarasi na Wezi pamoja na Wachawi wengi waliomzunguka?
 
Journalism ni kudeal na 5W's na mara chache how. Taarifa yako ijibu What, who, where, when, why na how kisha kama inahitaji kubalance unaibalance taarifa.

Hii inasababisha kila mwenye smartphone na bando kufungua online media na huyo stenographer itakua kaona mbona kitu chepesi hiki. Acha nikae niwafundishe wanaoboronga.
 
Back
Top Bottom