Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

doubt kabisa shetani-ishmael-mtume mudi-islam-muslims-jehanamu
 
Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
 
Na ndio alileta dini ya kislam waislam na lugha ya kiarabu sasa jichanganye uchanganyike
 
doubt kabisa shetani-ishmael-mtume mudi-islam-muslims-jehanamu
"Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa" Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa
 
Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
Huo si ni wivu wa kike tu,una umri gani,huwajui wanawake!?..hawawapendi watoto wa wanawake wenzao
 
Huo si ni wivu wa kike tu,una umri gani,huwajui wanawake!?..hawawapendi watoto wa wanawake wenzao
Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
19 Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake IsakaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
21 agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.

Ishmaeli ni toto la kishetani la nje ambalo halikuwa na baraka yoyote ile ya agano la Mungu zingatia neno baraka ya agano sawa?. Isaka alikuwa na baraka ya agano, tena agano la milele na ndiyo maana from Ibrahim to Isaka mpaka anapatikana Yesu aliye mkombozi wa ulimwengu.
Sasa nenda kwa Ishmael picha linaanza
Kwanza kazaliwa na mjakazi,
Pili yeye na mama yake wakafukuzwa kwa kufanya dhihaka, udhihirisho wa tabia za kishetani huo.
Tatu akapotelea jangwani
Na ndiyo maana Ishmael huwezi kuta historia yake yoyote ile in details kwenye bible maana ni uzao wenye kusudi la shetani ulioingilia mpango wa Mungu. Na ndiyo maana nyie wafuasi wa mudi Ishmael ni kipenzi chenu pendwaaaa kama ambavyo unavyompamba pamba hapa.
 
Ibrahimu alipokufa Isaka alipewa urithi wake na Ishmael alipewa urithi wake

Hakukuwa na ugomvi kuhusu urithi baina ya Ndugu hao Watoto. Pitia vitabu vya Yashari au Jubilee upate elimu
 
"Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa" Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa
 
Ibrahimu alipokufa Isaka alipewa urithi wake na Ishmael alipewa urithi wake

Hakukuwa na ugomvi kuhusu urithi baina ya Ndugu hao Watoto. Pitia vitabu vya Yashari au Jubilee upate elimu
Wewe acha porojo za masjid ubwabwa. Inasemwa kwamba Ismael alishatimuliwa na mama yake kitambo na walitokomea huko jangwani sasa huo urithi huyo Ismael alikuja kupewa lini..❓
 
We nani anaye kuambia Ibrahim alikuwa Myahudi? Nabii Ibrahim alikuwa anaongea lugha ya Syriac na mtu wa kwanza kufunzwa kuongea kiarabu ni Adam, hio ni lugha ambaye alifunzwa na Mungu.

Hapa duniani mtu wa kwanza katika ma Prophet kuongea kiarabu ni Ismaily aliongea kiarabu akiwa na umri wa miaka 10, alijifunza kutoka kwa makabila kutokea Yemen na ndio hapo badaye akaowa mwarabu, kina kedar ndio wakawa wanaongea kiarabu lakini ukifata back ground haswa sio Ishaq myahudi wala Ismail ni mwarabu wameongea tu hizo lugha. Ibrahim hana hata shombo ya Kiyahudi bora hata mseme anashombo ya kiarabu .

Mtoto anaweza jifunza lugha ya mama yake ndio ikawa lugha yake badala ya lugha ya baba yake.
 
Qur'an 3.67 Abraham was neither a Jew nor a Christian; he submitted in all uprightness1 and was not a polytheist.
Ni kweli wakati wa Abraham hizi dini zilizoletwa na wanadamu zilikuwa bado kabisa kufikiriwa kwamba zingekuja.
 
Sio kweli, Abraham na waarabu ni mbalimbali kabisa labda hata wakurdi angalau angalau.
 
Ni kweli wakati wa Abraham hizi dini zilizoletwa na wanadamu zilikuwa bado kabisa kufikiriwa kwamba zingekuja.
Hapana dini ilikuwepo tokea wakati Shetani alipo pewa Mtihani na Mungu wa kumsujudia Adam, akakataa.

Kama vile ukristo wa paulo na uislam, ukristo ni ushetani na uislam ni dini ya haki.
 
Sio kweli, Abraham na waarabu ni mbalimbali kabisa labda hata wakurdi angalau angalau.
Sa wakurdi wapo wapi? Ethopia au Iraq, Syria, iran na Turkey na hao wa kururdi wengi tu wanaongea kiarabu.

Ki ujmla Ibrahim na watoto zake Ismail na Ishaq hawakuwa warabu, wala wayahudi, walijifunza lugha zao kwa sababu ya mama zao na sehemu walizo ishi.

Ndio mana Qur'an ilisema Ibrahim sio Myahudi wala Mkristo kama wanavyo dai Wayahudi na Wakristo ni Muislam. Qur'an haikusema pia Ibrahim ni Mwarabu umeona hapo.

Watu hawataki kufahamu ni nini mana ya Uislam, wanadhani Uislam ni Uarabu πŸ˜„

Uislam mana yake wewe ni kujisalimisha kwa Mungu aliye umba vitu vyote na dini hio hio moja tu.

Watu wanauliza kwanini Qur'an ilishuka kiarabu, hawataki kuelewa inasemekana kiarabu ndio lugha ilio tumiwa mbinguni na Mungu kumfahamisha Adam vitu. Hio lugha ndio utaiongea ukifika kwenye maisha ya badaye pale kaburini au kwenye siku ya hesabu zako kule mbele ya Mungu, wengine wanadhani pale kaburini hakuna maisha.

Msije kunivamia hapa kusema unahakika ni πŸ’― hio ndio lugha itatumika sina uhakika ila inasemekana vile, inaweza kuwa kweli au uwongo sababu Mungu ndio kacreated hizi lugha tunazo ongea. Yeye anaweza kusema hata tuongee kichaga kule why not na ukakiongea.
 
Ukisikia religious dogma basi ndio hiyo na wewe imekuingia vilivyo na ili uingiwe na kuikubali imani ya dini basi sharti kuu lazima ukubali kuwa mjinga na hiyo ndio labda waarabu wanasema ujisalimishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…