Sa wakurdi wapo wapi? Ethopia au Iraq, Syria, iran na Turkey na hao wa kururdi wengi tu wanaongea kiarabu.
Ki ujmla Ibrahim na watoto zake Ismail na Ishaq hawakuwa warabu, wala wayahudi, walijifunza lugha zao kwa sababu ya mama zao na sehemu walizo ishi.
Ndio mana Qur'an ilisema Ibrahim sio Myahudi wala Mkristo kama wanavyo dai Wayahudi na Wakristo ni Muislam. Qur'an haikusema pia Ibrahim ni Mwarabu umeona hapo.
Watu hawataki kufahamu ni nini mana ya Uislam, wanadhani Uislam ni Uarabu 😄
Uislam mana yake wewe ni kujisalimisha kwa Mungu aliye umba vitu vyote na dini hio hio moja tu.
Watu wanauliza kwanini Qur'an ilishuka kiarabu, hawataki kuelewa inasemekana kiarabu ndio lugha ilio tumiwa mbinguni na Mungu kumfahamisha Adam vitu. Hio lugha ndio utaiongea ukifika kwenye maisha ya badaye pale kaburini au kwenye siku ya hesabu zako kule mbele ya Mungu, wengine wanadhani pale kaburini hakuna maisha.
Msije kunivamia hapa kusema unahakika ni 💯 hio ndio lugha itatumika sina uhakika ila inasemekana vile, inaweza kuwa kweli au uwongo sababu Mungu ndio kacreated hizi lugha tunazo ongea. Yeye anaweza kusema hata tuongee kichaga kule why not na ukakiongea.