Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

Ishmael alizaa Maseyidi (watoto) 12 ambao ndio Waarabu wa leo. Eneo lao la umiliki ni kuanzia Saudi Arabia kuelekea Ashuru na mashariki ya Misri

Umetiririka vizuri toka mwanzo nimesoma nikakuelewa ila mwishoni umekuja ukaharibu.

Kuanzia kusema "Ibrahimu alimrithisha urithi Isaka peke yake" na mpaka ulipomalizia, ni umeharibu.

Umeshindwa kuweka wazi ilikuwaje alimrithisha ISAKA peke yake, ila Biblia ina eleza hilo.
Biblia haielezi kila kitu.
 
Huyo ishmael alizaa na nani? Kama hajiri alitoka misri na unasema ishimaiel aliyezaliwa na hajiri ndiye alizaa waarabu wa leo sasa hao wamisri waliomzaa hajir hawakuendelea na uzazi hadi kumsubir ishimael ndo azae waarabu wa leo?
 
FaizaFoxy, Wairan, Wamedi(Iraq) Waashuru ( Syria) hao sio waarabu. Na sikatai kuwa zipo jamii na jamaa au makabila ya waarabu yanayoishi katika mataifa hayo. Ni kama hapa Tanzania kuna waarabu lakini huwezi sema Watanzania ni waarabu. Pia wapo machotara waliozaliwa.

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu umeongea Point sana Yaani Umeongea bila kuwa na ubaguzi wa aina yoyote tunapenda watu walioelimika waanze kuongea hivi sio kubebwa na mihemko....

Japo sijajua 🤣🤣 Faizafox ni Taifa la waarabu wa wapi?
 
Huyo ishmael alizaa na nani? Kama hajiri alitoka misri na unasema ishimaiel aliyezaliwa na hajiri ndiye alizaa waarabu wa leo sasa hao wamisri waliomzaa hajir hawakuendelea na uzazi hadi kumsubir ishimael ndo azae waarabu wa leo?
Wamisr hawakuwa Waarabu
 
Faiza ni mlokole wa kiislamu
Mkuu Mada nzuri sana japo kiuhalisia Wapalestina sio waarabu..

Archaeologic and genetic data support that both Jews and Palestinians came from the ancient Canaanites, who extensively mixed with Egyptians, Mesopotamian, and Anatolian peoples in ancient times
Huu Ni uongo mkuu muwe mnajaribu kuwa mnasoma..
Hivi ndo vitu tusome , tuelewe ama tupinge kwa Hoja .

Siyo ile mitusi ya kila kukicha humu jukwaani.
Safi sana umetoa ushauri mzuri sana
Ishmael hakuwa baba wa waarabu maana hakuwa mwarabu why?

Yakobo alizaa na mwanamke wa kimisri ambaye kwa mujibu wa vitabu misri ni mwana wa ham (ukoo wa jamii ya watu weusi) hivyo basi hata mtoto aliyezaliwa kutoka kwa ibrahimu ambaye nae race yake ina utata(si mwarabu si mzungu) hivyo ishmael lazima angekuwa Afro-Asiatic, mujue kuwa misri ya kale sio hii ya leo inayokaliwa na majizi mapandikizi kutoka uarabun, misri ya kale ilikuwa ardhi isiyo na watu weupe.

Hivyo basi mwana wa Yakobo si mwarabu na si baba wa waarabu na hakuitwa ishmael kwakua hana Asili wala , uhusika na watu wa Asia.

Qur'an imeharibu sana historia ya babu zetu kwa kuiba na kuweka ktk vitabu vyao vyenye stori za kubuni.

Someni vizuri na muelewe hizo dini tumepigwa, tumefundishwa vitu vingi vya uongo.

Mwarabu asili yake haihusiki na huyo ishmael wa mchongo, Yakobo hausiki na uzao wa waarabu wala jamii ya hao waisrael wa uongo hapo middle east.

Siku si nyingi mtakuja kugundua ushenzi wa hizi dini zilizoharibu mfumo wa maisha kwa kuwapandikiza uongo+chuki.

Mkuu umeongea Uhalisia na kwa hisia Sana Upate baraka kuendelea kutetea ukweli wanaoufumbia macho watu...
 
Mkuu Mada nzuri sana japo kiuhalisia Wapalestina sio waarabu..

Huu Ni uongo mkuu muwe mnajaribu kuwa mnasoma..

Safi sana umetoa ushauri mzuri sana

Mkuu umeongea Uhalisia na kwa hisia Sana Upate baraka kuendelea kutetea ukweli wanaoufumbia macho watu...
Ukweli WA asili Yao ni ipi wewe uliyesoma.
 
No doubt kabisa kwamba shetani-ishmael-mtume mudi-islam-muslims-jehanamu
"Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa" Mwanzo 17:20 Kwa upande wa Ishmaeli, nimekusikia: hakika nitambariki, nitamfanya awe na uzao mwingi na nitaongeza sana idadi yake. Atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kubwa. | Neno: Bibilia Takatifu (NEN) | Pakua Programu ya Biblia Sasa
 
Sara akamwona yule mwana wa Hajiri Mmisri, ambaye alimzalia Ibrahimu, anafanya dhihaka.
10 Kwa hiyo akamwambia Ibrahimu, Mfukuze mjakazi huyu na mwanawe, maana mwana wa mjakazi hatarithi pamoja na mwanangu, Isaka.
11 Na neno hilo lilikuwa baya sana machoni pa Ibrahimu, kwa ajili ya mwanawe.
12 Mungu akamwambia Ibrahimu, Neno hili lisiwe baya machoni pako, kwa ajili ya huyo mwana, na huyo mjakazi wako. Kila akuambialo Sara, sikiza sauti yake, kwa maana katika Isaka uzao wako utaitwa.
Ibrahimu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akimtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
 
Biblia yako inasema Mungu alimbariki Ishmael na kumfanya kuwa na uzao mwingi,we umemuita shetani mlaaniwa,sijui unafuata kitabu gani!?..chuki humchoma aliyeihufadhi,yaani kisa Ishmael kahusishwa na waarabu na mtume ni mwarabu,basi umebeba mimba ya chuki,pole sana, Ibrahim alikua mtu wa ur ya ukaldayo,Iraq ya Leo,yaani Ibrahim na Saddam Hussein wanatoka nchi moja
 
Back
Top Bottom