Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Actualy us hawajataka ku deal nao kikamilifu, ilq sio kwamba wameshindwa … us deals na baadhi ya hao cartel in exchangeAnajitahidi ila amalize salama tu, hawa cartel ni dunia nyingine sana, mpaka US anatangaza vita hasa ya mabomu na mandege kushambulia ni level zingine sana.