Nina brother wangu JW yupo uko ..wale jamaa task force yao wamechanganya kila idara umo..kuna JW,TIS,POLISI na idara nyingine ..wakikubananisha uchomoki mzee wanakuwa wapo full details ..aliniadhitia kuwa kuna mission moja iyo ilikuwa ya kumchunguza PAPA na Taikon wa ngada mchezo umechezwa Papa kajaa mazima wakambananisha na mzigo picha linaanza jamaa alitoa m600 cash in dollar chap yani yaishie pale pale jamaa wapoozwe ugumu unakuja kuwa mmetoka vitengo tofauti alafu amjuani na amuaminiani kila mtu anamuona mwenzake snitch balaa likawa apo kuna polisi mmoja akajilipua akasema tuchukueni izi hela uyu tukimpeleka black site atapiga simu uyu atachomoka walikuwa watu 6 ..wakajilipua kila mtu 100m wakapotea wakamuachia papa mzigo wake wakampa dk10 mzigo upotee na yeye asionekane kama miezi 2 awe low key