Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

Unaniletea stori za Zanzibar.

Mbona huko pako, wazi hicho ni kisiwa cha MATAEPELI na WANAFIKI.
Wewe kweli ni mlugaluga

1785533716367.png
 
Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
Mtu akitaka kujiunga na dcea anapitia njia zipi?
Nina mdogo wangu anapenda sana kazi yao.
 
Kama ana nia kweli ya kujiunga na DCEA, njia nzuri ni kufuatilia matangazo rasmi ya ajira yanapotolewa na DCEA au kupitia Sekretarieti ya Ajira (PSRS). Vigezo hutegemea nafasi husika, hivyo ni vizuri awe na elimu na sifa zinazotakiwa. Kama anapenda sana hiyo kazi, amfuatilie matangazo mara kwa mara na ajitayarishe mapema. 🙏🙏🙏
 
Dcea hawatoi matangazo kupitia PSRS, wanatumia kamfumo kama wa Teeth kupata watumishi wake.
 
DCEA hawatoi matangazo ya ajira kupitia PSRS kama ilivyo kwa taasisi nyingi. Wao wana mfumo wao wa kuajiri watumishi, unaofanana kwa kiasi na mfumo unaotumiwa na TAKUKURU. Hivyo mtu anayelenga DCEA ni vizuri kufuatilia njia na matangazo yao rasmi.

....🙏
 
Mkuu umejibu kama Ai
Ila asante
 
Huyo Lyimo kuna siku anatayakanyaga ya kina cartel
Aliejifanya mkuda kwenye meno ya tembo tena mzungu alipitiwa
Kwahiyo labda astaafu mapema, lakini bongo ya leo kuna kila aina ya mafia ila wako low key.
Times have changed bro hala aretas lyimo sio office guy, from TISS to DCEA.. si rahis

its seems this time ana baraka za wakuu
 
Hili suala la mtu anakamatwa na bangi gunia au mirungi anapigwa nyundo 30 si haki kwa kweli.
Vijana wengi wanakuja kutoka age goo!!
Ujana ni sehemu ya kufanya makosa na ndio maana kuna msemo wa Bado kijana huyo ataacha akikua , adhabu inatakiwa iwe hata chini ya miaka 5 na isizidiii .
 
Times have changed bro hala aretas lyimo sio office guy, from TISS to DCEA.. si rahis

its seems this time ana baraka za wakuu
Anajitahidi ila amalize salama tu, hawa cartel ni dunia nyingine sana, mpaka US anatangaza vita hasa ya mabomu na mandege kushambulia ni level zingine sana.
 
Back
Top Bottom