Gwambogo
Member
- Jul 20, 2026
- 40
- 37
Kwanini ulimuita kiongozi wao pembeni ili umpangilie? Ulikua na mihadarati kwenye hilo gari?nakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi