Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

Mimi kazi yangu ilikuwa ni kuwapokea na kuwahifadhi muda huo tunaandaa mazingira ya kuwavusha boda na ukiona hii movie imeungua ujue kuna mtu karukwa kwenye mgao
Nikweli Dili zozote za magumashi macho kuona yeyote huwa ana madhara kwahiyo lazima uwe nae pamoja....kuna Dili lilipigwa kwa ufundi sana wahuni walifungua maghala wakaiba tani nyingi sana za sulphur .. walinzi wote walilazwa usingizi wahuni wakapeleka chanja mbili na zote zikashibishwa mzigo chakushangaza msako ulipigwa miezi Minne bilabila....mchonga funguo akamsimulia mchepuko ndio dili likasanuka aisee Kuna brother wangu ndie alikuwa miongoni mwao sema kilichokambeba ni chawa wa tajiri murji
 
Huyo mchonga funguo ni wa kunyonga hafai hata bure
 
Huyo Lyimo kuna siku anatayakanyaga ya kina cartel
Aliejifanya mkuda kwenye meno ya tembo tena mzungu alipitiwa
Kwahiyo labda astaafu mapema, lakini bongo ya leo kuna kila aina ya mafia ila wako low key.
TZ haina Mafia.

Ina watoa rushwa tu.

Kungekuwa na Mafia, kina Rostam wasingekuwa wanaficha pesa nje ya nchi.
 
Kuna dogo ndio alikuwa anaanza kuuza ngada.... wakamdaka, katika mahojiano akaanza kuleta ubishi... wale majamaa walimletea chupa ya sprite akalie, jamaa alivyoona na kizibo hakijatolewa, alisema kila kituuuu 😂 😂 😂
Kuna muda ni bora ufunguke mapema kuliko ukaze upewe kibano halafu ufunguke
 
Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap na hawachukui hata 100 yako mbovu.
Uongo ingekuwa hivyo matumizi ya mihadarati isinge shuhudiwa kws viwango vinavyoonekana ama nguvu zimewekwa kwenye unga kwa kiasi,na akina sunka na hizo cocaine,,mirungibangi,heroine zikiachwa zisambae na kuiharibu jamii kwa manufaa ya madon? Wa enzi hizi mpya za hoya hoya?
 
Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono.

DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.

Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
 
nakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi
Mchwa umtaangazie zipo mbao tamu za kutafuna utegemeenini akatae au akubali?
 
Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.

DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.

Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
 
Back
Top Bottom