Kwamba kila mtu ana price Tag?
nakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhiKwamba kila mtu ana price Tag?
Kazi ya kuvusha wasomali na wa Ethiopia ina pesa sanawakati wa jpm nikapigiwa Simu usiku kuwa Kuna wasomali wapo 13 lengo waingie Mozambique ila mchongo umestukiwa kwahiyo wazee wametega kuanzia mchinga,lindi mjini hadi mnazi mmoja.. na jamaa uwezo wa kuwavusha Hana kwasababu utawala uliopo wa moto na wavushaji wengi wamepigwa mvua kweli kwasababu wakiunganishwa na ugaidi wa Mozambique...Nikamuhoji vipi bei wanalipaje akataja pesa ndefu inayovutia nikamchek mkubwa mmoja wa lindi jamaa anaogopa nikampa bei jamaa akachomoa kwa unyonge kabisa nikampa dili mtu mmoja mwenye heshima zake mjini na mkongwe wa dili chafu jamaa aliwafuta yeye mwenyewe aisee mbele ya vizuizi vyote vile
Mtu wa Systemsafi sana
Hahaha walikua njaa kali mkuunakumbuka mwaka 2021 niliendaga kulima mpunga sehemu za hifazi bonde la kilombero asa wakati wa kuvuna nikaita gari lite kupakia gunia usiku kumbe wamelisanukia mara paaa hao tukashindwa kukimbia basi wakatuweka kati hawataki maelewano ni stiki wanataka wapeleke gari kituoni kiongozi wao nikamuita pembeni nikampangilia nikafika bei tukaanza kucheka nao hadi wakawa wanasaidia kupakiza gunia wanasema pakieni haraka mtoe hii gari eneo la hifadhi
Hela ya halali ni ngumu sana lakini ni salamawakati wa jpm nikapigiwa Simu usiku kuwa Kuna wasomali wapo 13 lengo waingie Mozambique ila mchongo umestukiwa kwahiyo wazee wametega kuanzia mchinga,lindi mjini hadi mnazi mmoja.. na jamaa uwezo wa kuwavusha Hana kwasababu utawala uliopo wa moto na wavushaji wengi wamepigwa mvua kweli kwasababu wakiunganishwa na ugaidi wa Mozambique...Nikamuhoji vipi bei wanalipaje akataja pesa ndefu inayovutia nikamchek mkubwa mmoja wa lindi jamaa anaogopa nikampa bei jamaa akachomoa kwa unyonge kabisa nikampa dili mtu mmoja mwenye heshima zake mjini na mkongwe wa dili chafu jamaa aliwafuta yeye mwenyewe aisee mbele ya vizuizi vyote vile
walivyo kuwa wamekaza unaweza jua ndo mwisho wangu leo Kumbe hamna loloteHahaha walikua njaa kali mkuu
Jamaa alitoboaje? MzeeHela ya halali ni ngumu sana lakini ni salama
Omba yasikukuteHao jamaa ni wajinga sana juzi wamewahukumu madogo miaka 30 kwa kosa la kukutwa majani ya mgomba aina ya mirungi kilo mbili
Ni washamba wakubwaOmba yasikukute
Ina pesa sana aiseeKazi ya kuvusha wasomali na wa Ethiopia ina pesa sana
Bei zake zinaendaje mkuuIna pesa sana aisee
Ndie huyu au kaCopy na kupaste alafu hatoi shukrani kwa muunda content
Kama unakumbuka wakati fulani kulitokea ugaidi mikoa ya pwani ya Mozambique na hao jamaa walifika mpaka mtwara kijiji cha kitaya wakachinja na kuteka watu ambao hadi leo hawajarudi....sasa kulikuwa na doria za kijeshi mno mpakani na wakapiga marufuku watu kuvuka ....sasa pwani ya msumbiji vyakula wanategemea mtwara aisee watu wakawa wanatumia njia ya bahari kupeleka vyakula na huko wakipiga pesa balaa kwasababu watoto wa mama wengi wakiogopa....ila tulimpoteza mshkaji wetu mazinge wakati wapo kwenye boti kumbe askari wa majini wakawaotea wakawaomba wasimame wao wakapuuzia kwahiyo waanajeshi wakajua wale ni magaidi ndio wakawalipuaHela ya halali ni ngumu sana lakini ni salama
Thubutuuu,kuna mtu juzi tuu kakamatwa na coca ya kutosha na leo nimemuona mtaani.Jamaa wamenyooka sana kwenye kazi zao mkuu
Au mlokole Nzowa, alikuwa amenyooka balaa ila mpaka kesho analipia "unyoofu" wake.DCEA Wengi walitokea huko upolisi/Interpol
Kuna mtu alikua amenyooka kama Rogers Siyanga?(Yule ilikua ni hazina kubwa) Alichosukumiwa je??