- Thread starter
- #101
Hi biashara unaambiwa ukianza ni ngumu sana kuachaHiyo biashara ya kuvusha wa Ethiopia na wasomali inahusisha watu wengi sana tena vigogo
Hi biashara unaambiwa ukianza ni ngumu sana kuachaHiyo biashara ya kuvusha wa Ethiopia na wasomali inahusisha watu wengi sana tena vigogo
EthiopiaWaethiopia wanavushwa kwenda wapi?
Omba wasikupateWanahangaika na underdogs….big fish wapo mzigoni….maigizo
Sa nyingine unaweza kufunguka na bado wakakuonja vile vile 😄😄Kuna muda ni bora ufunguke mapema kuliko ukaze upewe kibano halafu ufunguke
Kwa hizi saili za siku hizi za baba kantuma..? Nani mzalendo..?Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono.
DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.
Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
Baba kanituma zipo toka enzi za mwalimuKwa hizi saili za siku hizi za baba kantuma..? Nani mzalendo..?
😄😄😄😄😄wakaleta na zao wakamwambia tukuongezee.
Ni sawa lakini zilikuwa chache sana hivi unajua historia ya shule ya azania na wakuu wa shule waliopita pale au wewe ni gen z wa 2002...?Baba kanituma zipo toka enzi za mwalimu
Mkuu wale Jamaa wanao watu very professional, kazi zao ni za Field halafu zina tabu na dhuruba Baba kantuma wanao lakini siyo wengi...Kwa hizi saili za siku hizi za baba kantuma..? Nani mzalendo..?
Wale Jamaa wakiamua kufanya kazi na kama hakuna siasa wanafanya kweli kazi.Hilo la kukuchomekea watu limemkuta jamaa mmoja wa kijiji cha nakiu jirani na nanjilinji yeye dili zake ilikuwa Pembe za ndovu jamaa naweza kumlaumu kwa ufala wake yaani alishindwa kujenga watu ambao siku likimkuta wambebe wakati alikuwa na pesa ya kutosha kabisa....siku ya siku akadakwa na mzigo kumbe kijana mmoja wa kisukuma ambae alikuwa anamuamini sana kumbe aliletwa ili ammalize na kweli kapigwa miaka 20 mwaka juzi....huyo kijana wa kisukuma alikuja kwake kama mchunga yaani mzee akampandisha cheo ndani ya mwaka mmoja akaanza kumuhusisha dili zake kwa kigezo kwamba wasukuma ni wachapa kazi.
Watu wa dili chafu wana machale sana asee, jamaa hakupaswa kujiaminiWale Jamaa wakiamua kufanya kazi na kama hakuna siasa wanafanya kweli kazi.
Uchawi pia unachangiaWatu wa dili chafu wana machale sana asee, jamaa hakupaswa kujiamini
Wengi sio wepesiUchawi pia unachangia
Ukifunguka mapema hawakugusi tena ukiwa unahojiwa na afisa mwenye cheo chake ila ukihojiwa na vichawa utapapaswaSa nyingine unaweza kufunguka na bado wakakuonja vile vile 😄😄
Upo sahihi kuna sehemu niliwahi kufika Tanzania hii kuna mtu ana ng'ombe 2000+ katikati ya pori tengefu hata pt wala game hawajui 😂😂😂 na wanapita hapo kwenye doria mara kwa maraUchawi pia unachangia
Wale Jamaa wakiamua kufanya kazi na kama hakuna siasa wanafanya kweli kazi.
Chawa hata ufunguke mapema lazima akutoe lock ndio furaha yaoUkifunguka mapema hawakugusi tena ukiwa unahojiwa na afisa mwenye cheo chake ila ukihojiwa na vichawa utapapaswa
Pesa ni ngumu sana baadae wakiwa matajiri wakubwa wanakuambia siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza MunguWengi sio wepesi
Ndio maana wale hawapo kundi moja na wahalifu wengine, udhaifu wao ni wanawake na kuwaamini Sana watu wanao hustle kama wao.Watu wa dili chafu wana machale sana asee, jamaa hakupaswa kujiamini
Dogo wakisukuma alikua Afisa?Pesa ni ngumu sana baadae wakiwa matajiri wakubwa wanakuambia siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu
Hili neno ni pana sanasiri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu