Mmh lymo akikumaliza ujuwe umeisha,na anakukamata nankidhibiti ubaoni no kuchomekeana
Nakumbuka wakati wa nzowa,getini kwake alipelekewa gari kama zawadi tu akalichomoa
Binafsi nlishakutana sana nzowa.a,kuna mtu nlikuwa namjuwa alikuwa mtu wa mipango,nzowa akawa ananiambia hivi yule jamaa anafanya mitkasi zile au nkamwambia mzee yule ashaaachaaa sahv ni mkulima tu muda tu
Kuna siku nzowa akamtimbia jamaa akamkuta jamaa yuko bize na mashamba tu 😄
Tukirudi kwenye mada,ukitimbiwa na polisi wao watachukua pesa tu
Ila wakija kitengo lazima wakungoeeee
Ova