Ishu za Madawa Tanzania mara 100 omba ukamatwe na polisi ila sio DCEA unapotea chap

Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.

DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.

Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
 
Huyo Lyimo kuna siku anatayakanyaga ya kina cartel
Aliejifanya mkuda kwenye meno ya tembo tena mzungu alipitiwa
Kwahiyo labda astaafu mapema, lakini bongo ya leo kuna kila aina ya mafia ila wako low key.
Oya dogo kobaz ole wenu nyie kobaz mumdhuru mchaga wetu mgalatia mwenzetu. Kanyooka mkristo safi. Mnamchukia kwasababu kawabana nyie kobaz wauza madawa mafisadi papa na wakwepa kodi.

Jagina Tanganian Kubwa la Maadui
 
Jamaa anaongea ukweli, kuna jamaa namfaham personally kabisa yuko ndani toka 2016 pamoja na utajiri alionao.
Kabisa wale jamaa wamemkamata maza mmoja ni supplier wa Gomba chuga na ni hawara wa kiongoz mstafu wa CCM.

Mama aliwapa bunda la kutosha walikataa na wakaleta na zao wakamwambia tukuongezee.
 
Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.

DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.

Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
Hilo la kukuchomekea watu limemkuta jamaa mmoja wa kijiji cha nakiu jirani na nanjilinji yeye dili zake ilikuwa Pembe za ndovu jamaa naweza kumlaumu kwa ufala wake yaani alishindwa kujenga watu ambao siku likimkuta wambebe wakati alikuwa na pesa ya kutosha kabisa....siku ya siku akadakwa na mzigo kumbe kijana mmoja wa kisukuma ambae alikuwa anamuamini sana kumbe aliletwa ili ammalize na kweli kapigwa miaka 20 mwaka juzi....huyo kijana wa kisukuma alikuja kwake kama mchunga yaani mzee akampandisha cheo ndani ya mwaka mmoja akaanza kumuhusisha dili zake kwa kigezo kwamba wasukuma ni wachapazi
 
Mbona wanachomoa na wao, sema hawa Jamaa wakimpata Rais asiecheka na yoyote basi ni wabaya kuliko hata Polisi, hawa Jamaa Wana watoa taarifa ambao huwezi hata kuwadhania, Yani unapandikiziwa mtu ambaye unamuamini Sana ndo mwishoni anakumaliza na ndio watu wa madawa wanavyokamatwa maana wanawachukulia poa Sana watu kama mademu zao, walinzi wa geti, wafagia nyumba , wadada wa kazi, sasa hawa Jamaa wanapiga mule mule kwenye mshono usioutarajia.

DCEA ni miongoni mwa Taasisi TZ hii zikiamua kutafuta taarifa zako wanazipata tena full Nafikiri wanashirikiana na forces wengine, maana watajua ratiba zako zote kama wakitaka, huwa ni siasa ndio zina compromise baadhi ya kazi zao.

Kuna mapapa wa madawa Tanzania hii wengine marehemu , wengine wako Hai but hawatowasahau hawa Jamaa, wakitumwa kazi halafu iwe hakuna Siasa wala njaa Hapa Katikati basi wanapita na wewe hawana huruma kabisa kmmke...
Jamaa ukiona wame ku Tag sehemu ujue tayari wana taarifa zako zote na wanaweza kukufuatilia hata miezi 6 siku wakija wanakujaga na Full details
 
Back
Top Bottom