Anajitahidi ila amalize salama tu, hawa cartel ni dunia nyingine sana, mpaka US anatangaza vita hasa ya mabomu na mandege kushambulia ni level zingine sana.
The level of violence hao cartel wanayofanya sio tu kuuza madawa, ni mpaka US wameaamua kuwa designated kama terrorist group ili iwape nguvu kisheria kuwakabili kama vitani