Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle


Gombesugu;

Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?

shukran and enjoyed
 

alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuh,

al habib gombesugu wajua al akhiy hata ktk zile vita vya badri na handaq kulikuwa na wale negotiators kama kina Othman ibn affan na kina mughera r.a which in this case its you na kina sheriff Ritz na kuna wale wapiganaji ambao hawataki maongezi! kina Khalid bin walid na omar bin al khatab r.a.

sasa mimi napenda hizo nafasi za omar na Khalid r.a! teh teh teh teh !

hawa wachungwaji wakija macho juu wee niletee tu huku, nna bakora yangu hapa futi 7!!

ahsante habib lkareem.
 
Last edited by a moderator:
Mtama niliosema ni huu wa matambiko. Nilisema je wazee wote walikuwa Waislam na uthibitisho upo wapi? Nikaendelea kusema bbusara zimenizuia nisiende mbali na hapo.

Mungu mwema Ritz na Mohamed Said wakalileta kwa njia tofauti. Kwahiyo mtama sikumwaga ingawaje nilitaka wakanisadia wenyewe.

Rudi nyuma usome nyuzi kwa uangalifu sana utaelewa kuwa nilizungumzia suala hili, nikasema busara zinanizuia.
Njiwa wamefungulia naona wamerudi bandani maana mawe ni mazito.
gombesugu, wazee waliopigania uhuru waliongozwa na Uzalendo wao hata kama walikuwa au hawakuwa na imani zinazodhaniwa. Hawa wa matambiko ni sehemu ya hao wazalendo ambao wanavishwa joho tofauti na ukweli.
Swali nililouliza kuwa wote walikuwa waislam linaanza kupata jibu.

Jamani acheni haya mambo ya ku dissect society tuzungumzie wazee wetu kwa pamoja kama historia, tuzungumzie matatizo ya jamii kwa pamoja. Tuongozwe na weledi katika kujadili ili kuijenga jamii pamoja na si ushabiki wa kuivuruga jamii kwa mambo yasiyohitaji elimu ya chuo kikuu bali fikra, busara na hekma

Huu ndio mtama kwasababu umemwagwa na 'njiwa' hawausogelei kwa hekma bali kuurisha samadi.
Ni ukweli ambao mwenye akili akiutumia hoja za siku za usoni zitakufa kabla ya kuanza.
Ni mtama kwasababu metoa majibu
 
Gombesugu,

mimi nadhani content ya article yako ni bora nikabaki kama a very neutral by-stander nayo. Kwa sababu naamini masuala ulioibua especially mazazi ya Julius na witchcraft nayaona yananipa shida kuchangia. kwa vile nayaona kama ni too intrusive into a personal life ya mtu binafsi.

With regards

wickama
 
Gombesugu;

Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?

shukran and enjoyed
Ni njia za kufunika hoja nzito ya Tawasul na Matambiko.
Hakuna hoja ni kashfa, lakini muhimu ni kuwaonyesha wapi wapo wrong na kwasababu zipi kama unavyofanya.
Ukweli usimame kama ulivyo.

Mapenzi yasiongoze fikra, na wala ushabiki usibobee katika hekma. Nashukuru kwa darsa mujarabu na wala usitegemee utapata kauli njema kwa wanopinga ukweli, wenye akili wataziona tu kwasababu zinasimama zenyewe bila kishikizo au nguzo. Shukran
 
Nguruvi3.

Bora hauwezi kuuchambua Uislam sababu hujausoma wala hauelewi Uislam ni mfumo mzima wa maisha una mwongozo wake ambao ni Qur`an na Sunna, Uislam umekataza mambo mengi sana takutajia kwa uchache tu.

Uislam umekataza matambiko, kuchukuwa riba, kunywa pombe, kuzini, kufanya dhulma kwa yeyote, na mambo mengine haya yote niliyoyataja mtu ukiyafanya hayawezi kumtoa kwenye Uislam wake, narudi kwenye hoja yako ya matambiko na Nyerere amabayo wewe unaita mtama wale waliofanya matambiko huenda walifanya makosa kufanya vile lakini bado walikuwa ni Waislam, pata darsa hapa chini kuhusu Uislam na makosa.
Kujiaminisha na adhabu ya Allah na kukata tamaa na rehema yake ni miongoni mwa madhambi makubwa, tahadhari na mawili haya ewe ndugu yangu uiokoe nafsi yako na hilaki. Kuwa baina ya khofu na matumaini na usighurike kwa Mola wako na wala usijijasirishe mbele yake kwani: “...HAKIKA MOLA WAKO NI MWEPESI WA KUADHIBU NA HAKIKA YEYE NI MWINGI WA KUSAMEHE (na) MWINGI WA KUREHEMU (kwa wale wanaorejea kwake)”. [6:165] Mpenzi ndugu yangu-Allah atusitiri-hebu na tukamilishe huku kuusiana kwetu mema na kukatazana maovu, kwa kuzizingatia kauli hizi za Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie:- ü “Lau muumini angelijua adhabu iliyoko kwa Allah asingeliitumai pepo yake ye yote. Na lau kafiri angeliijua rehema iliyoko kwa Allah asingekata tamaa ya pepo ye yote”. Ahmad-Allah amrehemu. ü “Allah ameumba rehema mia moja, akaiweka rehema moja (tu) baina ya viumbe wake warehemeane kwayo. Na tisini na tisa (zilizobaki) ziko kwa Allah”. Tirmidhiy-Allah amrehemu.
Nguruvi3, nadhani umesoma kidogo mafundisho ya Uislam wale wazee waliofanya matambiko ni haram kuwatoa kwenye Uislam wao.
 
Last edited by a moderator:

Sijui ni nani kati yangu mimi na wewe anaetoa povu
Tatizo lenu mnadhani kila tatizo lenu limeletwa na Wakristo tu
Hamfikiririi zaidi ya hapo
Ndipo fikra zenu zilipoishia
Ndio maana kila bandiko lako ni lazima utaje Ugalatia au Yesu
Semeni nyongo hadi iwatoke na baada ya hapo bado mtaendelea kulala njaa,watoto wenu watafeli mitihani kwa kuwalazimisha kwenda madrasa tu,shule zenu zitaendelea kushika mkia kwenye viwango vya elimu
Mkiulizwa kwanini mnasema mfumo Kristo
Hakuna jipya!
 
Nguruvi3,

Huu ndiyo mtama amabao ulikuwa unauficha teh teh teh!!! hebu msome Nyerere hapa chini.
Hapa chini msome Nyerere maneno yake halafu jiulize kwa nini kila wakati Nyerere alikuwa akisema mimi Mkirsto peke yake wengine wote Waislam.
Hebu malizia hapa chini wasome wazee wa Dar es Saalam jinsi walivyokuwa na mapenzi na Nyerere.
Julius Kambarage Nyerere: Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.
Halafu anatokea mpuuzi mmoja anasema Nyerere alikuwa anabagulia, teh teh teH!!!
 
Swali linabaki kuwa je, hayo yalifanywa na Waislam? Je, kulikuwa na makundi ya Twasul na makundi ya matambiko? Hapo ndipo tunahitaji kufahamiana[/FONT][/SIZE]

Mr Nguruvi,
Ibada kama kufunga, na tawasul (dua), au hata dua za kuomba kupitia watu maarufu hazikumsumbua Nyerere kwa sababu hata wakatoliki wanazifanya kupitia kina Mama Maria na baadhi ya watakatifu wa kanisa lao (ni utaratibu wao). Lakini aliyo-eleza Julius ya kule Bagamoyo??? kama kuzika kondoo na vitu kama hivyo ndivyo vilimkwaza kwa vile catholics just don't do that. Haya masuala ya matambiko ni baadhi ya mambo yaliyowapandisha chat sana ndugu zetu wa Answar Sunna kwa vile wamesimama kuyapiga vita sana katika jamii za kiislamu. Nadiriki kusema kwa sasa yanaenda yakipungua sana kadri waislamu wanavyotenga mila hizi na shughuli nzima za dini. Wakati wa wakoloni na kina Julius si ajabu mambo haya yalikuwa ya kawaida. Mengine yalikuwa na mizizi asilia ya kikabila zaidi ya dini.

Lakini TO HIS CREDIT haikumvunjia urafiki wala mshikamano na wazee hawa. Yeye nadhani alipima NIA yao na kwamba walitumia the only resources they had, hizo dua. Nadhani Yeye aliona kupitia shughuli hizo bado watabaki wamoja.

Ndio maana ya kusema alikuwa pia ana adabu na ustahmilivu. Kumbuka huyu ana Masters degree ya kwanza kati ya wazalendo wa Kitanganyika, lakini angalia alivyojishusha mbele ya watu kama wazee hawa. No wonder alivuna.

Kumbuka suala la Tom Mboya wa Kenya walipokuwa na madhila huko kwao na akamjulisha Julius naye akaripoti kwa wazee hao hao, soma majibu yao. poor fellows walifanya ibada ya KUFUNGA. Nadhani ndipo Julius alikunywa maji mchana baada ya kubanwa na njaa. Look here, maji walimpa lakini wao walikomaa hadi jioni yake. Ndivyo walivyoishi.

Nguruvi et al... Swali ni hili, kilichowaletea uhuru waafrika anzia Ghana hadi South Sudan ni dini zao au Uzalendo wao? Maana kwa sasa tunasubiria nchi mpya huru zifuatazo; Dar-fur toka iliyobakia kama Sudan; Somaliland toka Somali ya sasa.

Hivi TANU ilipounga mkono juhudi za POLISARIO, PALESTINE, ni kwa sababu wale ni waislamu au ni kwa sababu wanataka kuwa huru? Majeshi ya Tanzania yamelaumiwa kumuondoa Idd Amin kwa kuhusishwa na masuala ya dini, Juzijuzi huko visiwa vya Ngazija??? yalifanya hayo hayo na kuirudisha serikali iliyokuwapo lakini NO lawama. Sasa yapo Eastern Congo. Mbona Hakuna lawama? au vile commander in chief sio Julius?

Kuna swali moja hatujaligusa kila tujadili. Upo ushahidi wa Julius kuwatafuta kina Sykes na TAA ili kufanya siasa za kumng'oa mkoloni tangu akiwa Makerere. Jee kuna ushahidi kuwa kanisa lilimlazimisha ajiunge na hawa waswahili kudai uhuru? au ilikuwa majaliwa yake binafsi?[/QUOTE] Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.
ndugu zetu wa Answar Sunna
Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?
Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.
Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.
Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.
Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.
Panaposumbua ni kama ifuatavyo. Tafadhali changieni mawazo;
a; Chifu Mareale ni miongoni mwa wafadhili wakubwa sana wa Julius kipindi hicho pia, Jee ni sawa kusema mchango wa Mareale (na wengine kama yeye) ndio mchango wa madhehebu yao ya dini?
Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?
Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?
Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.
Kumbuka huyu ana Masters degree ya kwanza kati ya wazalendo wa Kitanganyika, lakini angalia alivyojishusha mbele ya watu kama wazee hawa. No wonder alivuna.
Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...
 
Kwa dhati kabisa nasema sipo hapa kujadili imani za watu na haujawa utamaduni wangu. Sijadili maadiko matakatifu kwasababu inahitaji hekima na busara kufanya hivyo.

Ninachoweza kukijadili ni kile kilichopo katika jamii. Narudia tena kusema kuwa sijui kama Matambiko na Uislam vinawiana vipi. Muhimu ni kufahamu kuwa vyote viwili vilifanyika. Hakuna sababu ya kuwa na sura mbili katika jambo wala sababu ya kuwatenga watu kwa kile wanachokiamini.

Endapo kufanya matambikoni sehemu ya Uislam sina cha kuchangia. Nilichosema ni kile alichokisema Wickama kwamba uhuru ni process iliyoshirikisha makundi yakiwa na mbinu mbali mbali.
Ni makosa kuyatenga makundi hayo na kutoa umiliki kwa kundi moja tena kwa njia za imani.

Wanaofanya hivyo wamekosa hoja na ni hao hao husema wenzao wanaamini masanam kwa udhaifu wa hoja.
Linapokuja hili la matambiko ni hao hao wanasema hiyo siyo shirki wamesahau ni kufur na aliye kufur ni kafir. Hapo ndipo embarassment ilipo kwa Mohamed na team yake. Msilete hoja msizoziangalia kutoka kona zote. Embarassment big time.

Haiwezekani ukawa na double standard huku ukisema unachokisimamia ni haki.
Leo utasikia Bakwata ni makafir, wakati huo huo utasikia kutambika hakumuondoi mtu kwenye Uislam! Alaa, hapa inakuwaje!

Anayway ninachotaka kusema ni kuwa lazima watu waongozwe kwa weledi na fikra.
Matatizo tuliyo nayo hayatokani na Uhuru, majina ya watu, Nyerere n.k. Ni matatizo tunayoishi nayo kila siku na lazima tuwe wamoja katika kuyatafutia ufumbuzi.Pesa za conseravation ya Kazimzumbwi zimetafunwa, tunalumbana kwa mambo ya majina ya bara bara n.k.

Tunalipishwa kodi za simcard wakati mkutano mmoja zimetafunwa bilioni 8.
Hatusemi hayo tumeelekeza akili zetu katika mambo yasiyolisaidia taifa.

Tumeelekeza akili zetu kwatika kufuata watu wenye masilahi yao wengine wakiwa kazini kutafuta mlo kwa machapisho yao.

Nimehoji kwanini kuwepo na tofauti kati ya mtu wa Machame/Kibohehe na yule wa Mkuranga/Ikwriri kama wote ni waathirika wa Bakwata! Hakuna mwenye jibu kwasababu ukweli ni tatizo tunalo sasa na si historia.

Hata tukibadili na kuandika vitabu mamia hilo halija solve tatizo la kukosekana kwa walimu Mkuranga. Hatujadili kwanini shule iwe na mwalimu mkuu msaidizi mwanafunzi wa form 3 tunaorodhesha kitanda alicholala Nyerere, if this is not insanity I don't know what it is.

Na mwisho, elimu si kusoma maandishi au kuzungumza lugha. Elimu ni maarifa mtu anayoyapata kwa kusoma na kuzungumza. Lazima watu waachane na utumwa wa fikra wa kujiona bora kwasababu tu anajua kutukana kwa kiingereza au kiarabu. Lazima tuelewe mazingira vema na jinsi ya kuyakabili.

Hoja zinajengwa kwa hoja, utamaduni wa matusi ni sehemu muhimu sana ya elimu ya mjinga yoyote duniani.
Unaposhindwa kutetea hoja na hutaki kujifunza unag'ang'ania kile usichokijua ni ufinyu wa busara na hekima.

Mambo ya dunia yaachwe yawe ya dunia, kufunga akili zetu kwa ushabiki ndiko kunapelekea embarrassment kama hii.Nasema mtama wa matambiko, dua na wazee should be a lesson to you guys.
Ninyi kama sehemu ya jamii yenye weledi lazima mthibitishe hivyo siyo kuwa chanzo cha embarassment.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3.

Naona bado unarusha ngumi hewani, teh teh teh.

Unasema haupo kujadili imani za watu wakati huo huo unawatoa watu kwenye Uislam kwa sababu wamefanya matambiko teh teh teh tumeishakuambia ni haram kumtoa mtu kwenye Uislam kisa kafanya makosa.

Makafiri wapo hata ndani ya Uislam sijui wewe kafiri unalichukuliaje.

Hayo mengine ni yako, haya lete mtama mpya.

Wewe kila kukicha unatoa darsa la Uislam leo unajitoa ufahamu eti siyo kawaida yako kujadii imani teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.

Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?

Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.

Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?

Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?

Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.

Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...[/QUOTE]

Shukran sana Ritz. Naona umesaidia sana, na haitakuwa na maana kuchafua kazi uliyoifanya. Haina haja. Anzisha hoja na wewe. GOOD JOB, EDITING NZURI.
 
Nguruvi3 na Wickama mtakuwa mmepata darasa zuri la Ritz wala sina la kuongeza labda nisisitize tu kuwa hao wazee wakiislamu wataendelea kuwa walipigania uhuru wa taifa lao kama wazalendo na waislamu ila kwa makusudi Nyerere kwa chuki zake aliamua kuwafuta katika historia ya taifa hili. Kuwazungumzia wazee wetu waliosahaulika katika historia ya nchi hii tutaendelea na itakuwa ndio njia nzuri ya kuwaenzi. Wala kuwazungumzia hakutuzuii kujadili mambo mengine yakitaifa yanaendelea sasa na mengineyo. Tunamheshimu mzee Mohamed Said kwa kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya hata kama una muita mwenye kujitafutia kupitia njia unayoiona wewe ni ya kilaghai.
Akhsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.

Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?

Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.

Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?

Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?

Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.

Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...[/QUOTE]

Shemeji Ritz;

1. Dawa ya deni ni kulipa, sio kubisha kuwa "wewe unanidai vibaya". Usikwepe Hoja za article kwa sentesi za "glass ya maji" wewe angalia SPIRIT YA UJUMBE kisha kita hoja zako huko.

2. maswali mengine unayotaka uambiwe maana ya maneno au vikundi fulani hiyo ni kazi ya internet search engines. Jimwage GOOGLE kwa raha zako.

3. Soma vizuri kilichoandikwa. Nilikuusia tangu threads ya Yericko (....)kuwa hujipi muda wa kupitia jambo vizuri. Paper ya Dr Ziddy ina hayo masuala ya masheikh kuteseka na hadi misukosuko ya bakwata, ipo free online lakini sio kazi yangu kuweka link. Ni kazi ya search engines. Nimempa hint Ustadh Chamviga kama mchango kwa article yake nzuri. Zingatia Chamviga hakuniuliza kwanini waligombana. Alisema baada ya uhuru Julius aliwageuka..... ndiyo maana ya kumwelekeza hiyo paper, naamini zipo nyingine. Tusaidie pia.

4. Mtu kukosea wakati anaandika article ni jambo la kawaida na wala halizui ugomvi labda uwe na ushahidi kuwa kosa lile ni la makusudi ili KUFICHA au KUPOTOSHA wasomaji. huna haja ya kutumia "deragatory response" kwa mwandishi aliyekosea juu specific details na huku una uwanja wa kuwaelimisha watu kuwa the correct version ni hii. Isitoshe mwandishi kugundua aliacha jambo huwa ni kawaida. Shukran lakini kwa masahihisho yako.

5. Ukijibu au kusaidia kitu bakia kwenye swali mama. Chamviga aliuliza juu ya Masheikh kuwekwa magerezani. Nilimjibu kama alivyouliza, mfano wa Mara niliutumia kumjulisha wapo pia non-moslems walioonja kizuizini under Nyerere. Pima kama mifano yako ya kina Mapalala inamsaidia Chamviga katika swali lake la msingi. Umekomaa kuhusu kujua au kutojua kwangu kuwa fulani (haswa kama ni maarufu) aliwekwa kizuizini enzi za Nyerere kunanipa kilema gani katika jamii? Hiyo data huwa kuna ofisi wanakusanya (human rights groups) na ukiitaka unapewa. Its not a big deal. Sasa tatizo ni nini? Kwani hapo ulipo unajua gereza la Butimba Mwanza au Karanga Moshi yana wafungwa wangapi wenye mimba hadi mwezi jana? suppose nikukushangaa?

6. Navyojua mimi Nyerere alikuwa wa kwanza kuwa na a Masters Degree katika waafrika wa Tanganyika Sijakataa kuwa nchi haikuwa na wenye degree. Hapa ni Masters naongelea. Pinga hoja. Ama kuhusu kujishusha ni kwamba hata Abdul Sykes alijishusha sana kwa wazee, ila hakuwa na Masters degree.

7. Nimekusikia ukisema kuwa WAKIRISTO WENGI wako nyuma ya BAKWATA. Awali nilidhani wakiristo ni adui wa Taasisi zote za Kiislamu. Huenda wana sababu. Nashauri wasiliana na Baraza la Kikristo la Tanzania kupata majibu stahiki.

8. Masuala ya kina Mareale yalishajadiliwa tangu wakati wa uzi wa Yericko, sina haja ya kuyarudia.
 
Kwanza kabisa sijui kwanini mnaniwekea maneno mdomoni kila uchao. Jamani pambaneni na hoja zangu na si kutafuta uchonganishi. Hayo maneno niliyo bold hakuna mahali nimetaja Mohamed Said.

Pili, hakuna tabu historia ikiandikwa hata mara alfu, lakini basi ifanywe hivyo candidly with integrity.
Flip flops and embelishment should not be entertained.

Kuwazungumzia wazee wetu ni jambo jema lakini si ku dissect society.
The discussion(s) should be civil without injecting incendiary or derogatory words.
 
ha ha ha ha. for god sake, you are so impressive.
 

Chamviga unaweza usiamini;
Lakini M\Mungu atakulipa sana kwa huo ujasiri wako ulioutumia kuandika sentesi number 2. Ndio kiini cha ujumbe wangu. Nakuheshimu sana kwa maneno haya. Mzee MS ana wasomaji wake na soko lake na wala sijawahi kupata tatizo na TANU kuzaliwa Burma au Mwananyamala kisha kuandikishwa rasmi Dar. Wala hainisumbui kusikia Nyerere kuomba matango au kabichi hapo sokoni Kariokoo. Sigara hazitajwi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…