Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Wickama,
Nimechungulia hiyo bayana yako kiduchu,nimeipenda nawe ni hodari wa kuandika.
Sikiza,nakhis hoja zenu au huo upambe ujaribu kumfanzia huyo Nguruvi3 hapa haitosaidia kitu asilan!
Kama kweli uko objective na unatumia ustaarabu,nafikri utaona jinsi huyo jamaa yako anavyojaribu kurukaruka huku akitoka nje ya mada,ku-twist maneno na kubadili mwelekeo au mintaaraf ya Mada kila apatapo upenyo!
Si unaona jinsi Sheikh Mohamed Said anavyomjibu na kumthibitishia yakuwa si kweli hizo tuhuma za yule Muhaya Dr Kyaruzi,pia si kweli zile tuhuma yakuwa ati Sheikh Mohamed Said yumo/alikuwamo Bakwata na mangine mangi mno.
Tatizo alonalo huyo Nguruvi3,nafikri pia ni tatizo la Wakristo wengi mno khasa watokao mabara/mikoani na kulazimisha wawe ati "Watoto wa mjini"...kwa hiyo utaona wengi wao wanaishia na story za vijiweni/myth na kujifanza ati wao wanawajua sana Waislam au khabar za ndani kabisa za Waislam/Bakwata!? Kwi! Kwi! Kwi!
Jinsi ulivyoandika hapo juu na labda wewe binafsi kujihisi umebainisha jambo,haina neno maana hiyo ndo opinion yako na upeo wako wa kufikiri ulipogotea...na pia naona huyo Nguruvi3 kafurahi kiduchu!
Ayatollah Chamviga kesha kudadavulia kiungwana na kwa kadri ya uwezo wake,ni jambo jema alofanza...lakini mimi naungana na hoja/kauli alotoa Maulana Dr Kahtaan,na nairejea kwa unyambulisho kiduchu hapa chini!
Hiyo unayojaribu/mnayolazimisha kuichambua ni Tawhid,which covers Islamic Theology,Jurisprudence,Philosophy,Sufism as well as Islamic understanding of natural science.
Lakini kutokana na school of thoughts,hicho kipengele/majambo mnayolazimisha sisi hapa kuzungumza/kujadili na nyinyi,ni Makrooh.
Hata hivyo kuna Maulamaa wengi pia wanaenda mbali na kuthibitisha/kuyakinisha yakuwa ni Haram,na sababu watoayao ni kwa kuwa nyinyi Wagalatia/Wakristo aka msioamini;basi kuna baadhi ya masuala yanapojadiliwa nyinyi mnaingia baina ya Najsi...kwa hiyo ham-qualify sisi kujadili baadhi ya mambo nanyi. Na hapo mfanowe ni hayo mnayolazimisha ati sisi kujadili/kulumbana nanyi!?
Yaani kwa kifupi,yawezekana vipi Najsi ikaweza/iruhusiwe kuchambua na kupembua ati kipi ni Halal na ipi ni Haram...au yupi ni Muislam na yupi si Muislam!?
Lakini kama bado mngalipenda kuendelea na hizi "harakati"/hoja zenu humu Jf,tafadhali uwanja ni mweupe fungueni thread nyingine na nina hakika ndugu zangu walobobea kwenye haya masuala mazito ya Iman yetu watakuja kukunyambueni kwa utuvu...yupo hapa kama muonavyo Ayatollah Chamviga na Maulana Dr kahtaan,najua hao waili tu wakutosheni!?
Khalaf pia,mbona mnatupeleka nje ya mada wenzetu,kunani!?
Ina maana vishindo vyoote vile huo ndo ulokua "mtama" wenyewe wa huyo Nguruvi3!?
Jambo jingine la muhimu nakuzingatia;ni yakwamba pamoja na wewe kujaribu kulazimisha ati watu wampongeze yule Nyerere kwa kujiunga na Waislam kwenye ibada/Iman zao na kumuombea Mola,na ukajaribu kuonyesha ati kutokana na Ukatoliki wa Nyerere kwamba mambo fulani alikua "hafanyi"/"hayapendi"!? Kwi! Kwi! Kwi!
Nilishawahi kukwambia kitambo yakuwa, japokua wewe unatokea Tarime/Mara...lakini huyo Nyerere mimi binafsi namjua uzuri mno kukushinda mara elfu! Sababu nakhis,labda Nyerere uliekua ukimjua wewe ni yule wa kwenye magazeti na Radio,au sio!?
Kwa kifupi Nyerere,kwao ushirikina/uchawi ni jadi/asili yao! Kwa hiyo toeni/acheni hizo myth zenu,ati ooh! Nyerere alikua Mkatoliki safi na hapendi mambo ya Sangoma!? kwi! Kwi! Kwi! Unamjua Nyerere wewe!?
Unajua kwanini Mama yake Mzazi Nyerere alipewa jina la Mugaye!?...unajua jina lake la kwanza!?
Unajua kisa cha huyo Bi Mugaye alichomfanzia Baba yake Mzazi Nyerere na mpaka kumuua!?
Unajua Julius Nyerere alikua na miaka mingapi wakati Mama yake anakutana na Mzee Burito Nyerere kwenye kikao cha pombe nyumbani kwa Sangoma/Mchawi mwingine ambaye ndie aliekua rafikiye Bi Mugaye...yaani Mchawi mwenziwe!
Unajua Kwanini Nyerere mpaka anakufa alikua hamjui Baba yake Mzazi!? Au bado mpaka leo mnaamini ile myth ya kukaririshwa yakuwa yule Mzee wa watu maskini Burito Nyerere ndo Baba yake Mzazi!? kwi! Kwi! Kwi!
Unajua kwanini Mama yake Nyerere aliwafanya misukule wanae mwenyewe!? Unamjua yule Mzee Kiboko...ndugu yake Julius Nyerere aliekua chizi wa kutupwa akiishi/akifungiwa ndani pale Ikulu!?...siku nadra alizokua akitolewa nje,alikua kazi yake kubwa kurusha mawe na kuvunja magari ya Serikali yetu!
Unajua kwanini Julius Nyerere kwa kushirikiana na Mama yake aliamua kuwatoa misukule/muhanga wanae mwenyewe kama vile kina Madaraka Nyerere na wengineo!?
Unajua ugomvi/matatizo ya miaka kadhaa baina ya Mama Maria na Family ya Julius Nyerere khasa Mama yake Nyerere ulianzia wapi!?... Sababu ni ushirikina/uchawi wa Nyerere mwenyewe na Mama yake na family yoote!
Si unaona sasa baada ya "Mwalimu" na Mama yake kufariki ile misukule inavyowatafuna wenyewe kwa wenyewe,si unajua family takriban yoote ya Nyerere ni machizi!?
Na hata wale mnaowaona wana akili kiduchu,lakini ni kwa muda fulani tu!
Unakumbuka siku Mama Maria yalipomshinda akaamua kusema ukweli woote/kutoa dukuduku lake na kutwangana na Julius Nyerere pale Ikulu,mbele ya Mama yake Nyerere...maskini Mama Maria alisahau yakuwa yule mwenzie pamoja na yakuwa alikua ni mumewe,mshirikina aliekubuhu na mzandiki, lakini pia alikua ni Rais wa nchi.
Kwa kifupi hiyo siku,Nyerere aka "Baba Wa Taifa" alipigwa vibaya sana na kubiringishwa vibaya mno na Mama Maria,na kwa kuwa Julius Nyerere alikua tayari na pombe kichwani...matokeo yake akaamuru Mama Maria akamatwe na kutupwa nje ya nyumba/Ikulu.
Hatimae Mama Maria maskini, alichukuliwa na Land Rover za FFU...na gaguro alikwenda kuvalia Morogoro mjini nyumbani kwa Mzee Athuman Kabongo! Kwi! Kwi! Kwi!
Kwa kifupi Nyerere alikua ndie kinara wa ushirikina katika Viongozi woote hapo...ukitaka mpaka majina ya Waganga/Wachawi aka Masangoma wake wengi, mpaka wa huko kwenu Musoma/Butiama nitakuwekea hapa hapa.
Kwa hivi sasa naanzia na Mzaramo Mzee Mbange na Mzee Barinkebera wa pale Kanyigo/Bukoba!....hawa Wazee ndo waliokua Masangoma wakubwa wa Nyerere,na mwenyewe alikua akiwaheshimu na kuwathamini ushauri wao wa aina yoyote kuliko hata ushauri wa Baraza lake mwenyewe loote la Mawaziri!? Kwi! Kwi! Kwi! Afrika Bana!
Khalaf,wewe na huyo Nguruvi3,mnakuja hapa ati kutuaminisha yakuwa huyo Nyerere wenu alikua ni "Saint" fulani hivi wa Kikatoliki!? Kwi! Kwi! Kwi!
Hizi khabar zoote nilizokwambia hapa,kama ingalikua yule Mtoto wa Nyerere aliyemo humu Jf,Uncle Andrew nae hajachizika,labda ningemwomba aje hapa uone ninavyozungumza nae na kumnyambua...japo najua kuna mangi hata nae hayafahamu maskini itakua ni kama vile kumuonea bure tu!
Nataraji kwa leo hapa si haba!?
Tafadhalini,turejeeni kwenye mada kama ilivyo.
Ahsanta.
Gombesugu;
Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?
shukran and enjoyed