Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

Wickama,

Nimechungulia hiyo bayana yako kiduchu,nimeipenda nawe ni hodari wa kuandika.

Sikiza,nakhis hoja zenu au huo upambe ujaribu kumfanzia huyo Nguruvi3 hapa haitosaidia kitu asilan!

Kama kweli uko objective na unatumia ustaarabu,nafikri utaona jinsi huyo jamaa yako anavyojaribu kurukaruka huku akitoka nje ya mada,ku-twist maneno na kubadili mwelekeo au mintaaraf ya Mada kila apatapo upenyo!

Si unaona jinsi Sheikh Mohamed Said anavyomjibu na kumthibitishia yakuwa si kweli hizo tuhuma za yule Muhaya Dr Kyaruzi,pia si kweli zile tuhuma yakuwa ati Sheikh Mohamed Said yumo/alikuwamo Bakwata na mangine mangi mno.

Tatizo alonalo huyo Nguruvi3,nafikri pia ni tatizo la Wakristo wengi mno khasa watokao mabara/mikoani na kulazimisha wawe ati "Watoto wa mjini"...kwa hiyo utaona wengi wao wanaishia na story za vijiweni/myth na kujifanza ati wao wanawajua sana Waislam au khabar za ndani kabisa za Waislam/Bakwata!? Kwi! Kwi! Kwi!

Jinsi ulivyoandika hapo juu na labda wewe binafsi kujihisi umebainisha jambo,haina neno maana hiyo ndo opinion yako na upeo wako wa kufikiri ulipogotea...na pia naona huyo Nguruvi3 kafurahi kiduchu!

Ayatollah Chamviga kesha kudadavulia kiungwana na kwa kadri ya uwezo wake,ni jambo jema alofanza...lakini mimi naungana na hoja/kauli alotoa Maulana Dr Kahtaan,na nairejea kwa unyambulisho kiduchu hapa chini!

Hiyo unayojaribu/mnayolazimisha kuichambua ni Tawhid,which covers Islamic Theology,Jurisprudence,Philosophy,Sufism as well as Islamic understanding of natural science.

Lakini kutokana na school of thoughts,hicho kipengele/majambo mnayolazimisha sisi hapa kuzungumza/kujadili na nyinyi,ni Makrooh.

Hata hivyo kuna Maulamaa wengi pia wanaenda mbali na kuthibitisha/kuyakinisha yakuwa ni Haram,na sababu watoayao ni kwa kuwa nyinyi Wagalatia/Wakristo aka msioamini;basi kuna baadhi ya masuala yanapojadiliwa nyinyi mnaingia baina ya Najsi...kwa hiyo ham-qualify sisi kujadili baadhi ya mambo nanyi. Na hapo mfanowe ni hayo mnayolazimisha ati sisi kujadili/kulumbana nanyi!?

Yaani kwa kifupi,yawezekana vipi Najsi ikaweza/iruhusiwe kuchambua na kupembua ati kipi ni Halal na ipi ni Haram...au yupi ni Muislam na yupi si Muislam!?

Lakini kama bado mngalipenda kuendelea na hizi "harakati"/hoja zenu humu Jf,tafadhali uwanja ni mweupe fungueni thread nyingine na nina hakika ndugu zangu walobobea kwenye haya masuala mazito ya Iman yetu watakuja kukunyambueni kwa utuvu...yupo hapa kama muonavyo Ayatollah Chamviga na Maulana Dr kahtaan,najua hao waili tu wakutosheni!?

Khalaf pia,mbona mnatupeleka nje ya mada wenzetu,kunani!?

Ina maana vishindo vyoote vile huo ndo ulokua "mtama" wenyewe wa huyo Nguruvi3!?

Jambo jingine la muhimu nakuzingatia;ni yakwamba pamoja na wewe kujaribu kulazimisha ati watu wampongeze yule Nyerere kwa kujiunga na Waislam kwenye ibada/Iman zao na kumuombea Mola,na ukajaribu kuonyesha ati kutokana na Ukatoliki wa Nyerere kwamba mambo fulani alikua "hafanyi"/"hayapendi"!? Kwi! Kwi! Kwi!

Nilishawahi kukwambia kitambo yakuwa, japokua wewe unatokea Tarime/Mara...lakini huyo Nyerere mimi binafsi namjua uzuri mno kukushinda mara elfu! Sababu nakhis,labda Nyerere uliekua ukimjua wewe ni yule wa kwenye magazeti na Radio,au sio!?

Kwa kifupi Nyerere,kwao ushirikina/uchawi ni jadi/asili yao! Kwa hiyo toeni/acheni hizo myth zenu,ati ooh! Nyerere alikua Mkatoliki safi na hapendi mambo ya Sangoma!? kwi! Kwi! Kwi! Unamjua Nyerere wewe!?

Unajua kwanini Mama yake Mzazi Nyerere alipewa jina la Mugaye!?...unajua jina lake la kwanza!?

Unajua kisa cha huyo Bi Mugaye alichomfanzia Baba yake Mzazi Nyerere na mpaka kumuua!?

Unajua Julius Nyerere alikua na miaka mingapi wakati Mama yake anakutana na Mzee Burito Nyerere kwenye kikao cha pombe nyumbani kwa Sangoma/Mchawi mwingine ambaye ndie aliekua rafikiye Bi Mugaye...yaani Mchawi mwenziwe!

Unajua Kwanini Nyerere mpaka anakufa alikua hamjui Baba yake Mzazi!? Au bado mpaka leo mnaamini ile myth ya kukaririshwa yakuwa yule Mzee wa watu maskini Burito Nyerere ndo Baba yake Mzazi!? kwi! Kwi! Kwi!

Unajua kwanini Mama yake Nyerere aliwafanya misukule wanae mwenyewe!? Unamjua yule Mzee Kiboko...ndugu yake Julius Nyerere aliekua chizi wa kutupwa akiishi/akifungiwa ndani pale Ikulu!?...siku nadra alizokua akitolewa nje,alikua kazi yake kubwa kurusha mawe na kuvunja magari ya Serikali yetu!

Unajua kwanini Julius Nyerere kwa kushirikiana na Mama yake aliamua kuwatoa misukule/muhanga wanae mwenyewe kama vile kina Madaraka Nyerere na wengineo!?

Unajua ugomvi/matatizo ya miaka kadhaa baina ya Mama Maria na Family ya Julius Nyerere khasa Mama yake Nyerere ulianzia wapi!?... Sababu ni ushirikina/uchawi wa Nyerere mwenyewe na Mama yake na family yoote!

Si unaona sasa baada ya "Mwalimu" na Mama yake kufariki ile misukule inavyowatafuna wenyewe kwa wenyewe,si unajua family takriban yoote ya Nyerere ni machizi!?

Na hata wale mnaowaona wana akili kiduchu,lakini ni kwa muda fulani tu!

Unakumbuka siku Mama Maria yalipomshinda akaamua kusema ukweli woote/kutoa dukuduku lake na kutwangana na Julius Nyerere pale Ikulu,mbele ya Mama yake Nyerere...maskini Mama Maria alisahau yakuwa yule mwenzie pamoja na yakuwa alikua ni mumewe,mshirikina aliekubuhu na mzandiki, lakini pia alikua ni Rais wa nchi.

Kwa kifupi hiyo siku,Nyerere aka "Baba Wa Taifa" alipigwa vibaya sana na kubiringishwa vibaya mno na Mama Maria,na kwa kuwa Julius Nyerere alikua tayari na pombe kichwani...matokeo yake akaamuru Mama Maria akamatwe na kutupwa nje ya nyumba/Ikulu.

Hatimae Mama Maria maskini, alichukuliwa na Land Rover za FFU...na gaguro alikwenda kuvalia Morogoro mjini nyumbani kwa Mzee Athuman Kabongo! Kwi! Kwi! Kwi!

Kwa kifupi Nyerere alikua ndie kinara wa ushirikina katika Viongozi woote hapo...ukitaka mpaka majina ya Waganga/Wachawi aka Masangoma wake wengi, mpaka wa huko kwenu Musoma/Butiama nitakuwekea hapa hapa.

Kwa hivi sasa naanzia na Mzaramo Mzee Mbange na Mzee Barinkebera wa pale Kanyigo/Bukoba!....hawa Wazee ndo waliokua Masangoma wakubwa wa Nyerere,na mwenyewe alikua akiwaheshimu na kuwathamini ushauri wao wa aina yoyote kuliko hata ushauri wa Baraza lake mwenyewe loote la Mawaziri!? Kwi! Kwi! Kwi! Afrika Bana!

Khalaf,wewe na huyo Nguruvi3,mnakuja hapa ati kutuaminisha yakuwa huyo Nyerere wenu alikua ni "Saint" fulani hivi wa Kikatoliki!? Kwi! Kwi! Kwi!

Hizi khabar zoote nilizokwambia hapa,kama ingalikua yule Mtoto wa Nyerere aliyemo humu Jf,Uncle Andrew nae hajachizika,labda ningemwomba aje hapa uone ninavyozungumza nae na kumnyambua...japo najua kuna mangi hata nae hayafahamu maskini itakua ni kama vile kumuonea bure tu!

Nataraji kwa leo hapa si haba!?

Tafadhalini
,turejeeni kwenye mada kama ilivyo.

Ahsanta.

Gombesugu;

Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?

shukran and enjoyed
 
Maulana Dr Kahtaan,

Asalaam Alaykum,Al Akhiy.

Wallahi,nilipokua sijakuona hapa jamvini,tayari nilishaanza kupata unyonge...maana leo sijacheka tangia asubuhi! Kwi! Kwi! Kwi!

Naona Ayatollah Chamviga katoa amri lile rungu letu ukabidhiwe wewe,maana Shariff Ritz yeye ana huruma kiduchu...lakini si unajua tukicheza na Mbwa tukitaingia nao misikitini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Nimecheka mpaka basi...kumbe yule Mlajana ni housegirl wa Muislam!? Kqi! Kwi! Kwi!

Ndo maana,tangia siku ya mwanzo hapa jamvini kaja na kashfa,hasira na matusi mangi mno!? Kwi! Kwi!

Ahsanta.

alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuh,

al habib gombesugu wajua al akhiy hata ktk zile vita vya badri na handaq kulikuwa na wale negotiators kama kina Othman ibn affan na kina mughera r.a which in this case its you na kina sheriff Ritz na kuna wale wapiganaji ambao hawataki maongezi! kina Khalid bin walid na omar bin al khatab r.a.

sasa mimi napenda hizo nafasi za omar na Khalid r.a! teh teh teh teh !

hawa wachungwaji wakija macho juu wee niletee tu huku, nna bakora yangu hapa futi 7!!

ahsante habib lkareem.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3,

Huo "mtama" wako uko wapi jamaa yangu!?

Mimi tangia jana sijaenda kabisa kibaruani....yaani shughuli zangu zoote nafanzia hapa hapa nyumbani kusubiria huo "mtama" wako hapa na bado sijauona!?

Kwa taarifa yako nami nina gunia zima la "uwele" hapa...nasubiria umwage tu huo "mtama" wako na mimi niangushe hili "gunia la uwele" hapa jamvini,khalaf tuwaache njiwa wa Shariff Ritz na Wanajamvi wapembue wenyewe!

Ahsanta.
Mtama niliosema ni huu wa matambiko. Nilisema je wazee wote walikuwa Waislam na uthibitisho upo wapi? Nikaendelea kusema bbusara zimenizuia nisiende mbali na hapo.

Mungu mwema Ritz na Mohamed Said wakalileta kwa njia tofauti. Kwahiyo mtama sikumwaga ingawaje nilitaka wakanisadia wenyewe.

Rudi nyuma usome nyuzi kwa uangalifu sana utaelewa kuwa nilizungumzia suala hili, nikasema busara zinanizuia.
Njiwa wamefungulia naona wamerudi bandani maana mawe ni mazito.
gombesugu, wazee waliopigania uhuru waliongozwa na Uzalendo wao hata kama walikuwa au hawakuwa na imani zinazodhaniwa. Hawa wa matambiko ni sehemu ya hao wazalendo ambao wanavishwa joho tofauti na ukweli.
Swali nililouliza kuwa wote walikuwa waislam linaanza kupata jibu.

Jamani acheni haya mambo ya ku dissect society tuzungumzie wazee wetu kwa pamoja kama historia, tuzungumzie matatizo ya jamii kwa pamoja. Tuongozwe na weledi katika kujadili ili kuijenga jamii pamoja na si ushabiki wa kuivuruga jamii kwa mambo yasiyohitaji elimu ya chuo kikuu bali fikra, busara na hekma

Huu ndio mtama kwasababu umemwagwa na 'njiwa' hawausogelei kwa hekma bali kuurisha samadi.
Ni ukweli ambao mwenye akili akiutumia hoja za siku za usoni zitakufa kabla ya kuanza.
Ni mtama kwasababu metoa majibu
 
Gombesugu,

mimi nadhani content ya article yako ni bora nikabaki kama a very neutral by-stander nayo. Kwa sababu naamini masuala ulioibua especially mazazi ya Julius na witchcraft nayaona yananipa shida kuchangia. kwa vile nayaona kama ni too intrusive into a personal life ya mtu binafsi.

With regards

wickama
 
Gombesugu;

Wewe kwangu ni kama afande kwa hiyo nasema tuko pamoja tusonge mbele. Punguza jazba.... wewe vipi?

shukran and enjoyed
Ni njia za kufunika hoja nzito ya Tawasul na Matambiko.
Hakuna hoja ni kashfa, lakini muhimu ni kuwaonyesha wapi wapo wrong na kwasababu zipi kama unavyofanya.
Ukweli usimame kama ulivyo.

Mapenzi yasiongoze fikra, na wala ushabiki usibobee katika hekma. Nashukuru kwa darsa mujarabu na wala usitegemee utapata kauli njema kwa wanopinga ukweli, wenye akili wataziona tu kwasababu zinasimama zenyewe bila kishikizo au nguzo. Shukran
 
Nguruvi3.

Bora hauwezi kuuchambua Uislam sababu hujausoma wala hauelewi Uislam ni mfumo mzima wa maisha una mwongozo wake ambao ni Qur`an na Sunna, Uislam umekataza mambo mengi sana takutajia kwa uchache tu.

Uislam umekataza matambiko, kuchukuwa riba, kunywa pombe, kuzini, kufanya dhulma kwa yeyote, na mambo mengine haya yote niliyoyataja mtu ukiyafanya hayawezi kumtoa kwenye Uislam wake, narudi kwenye hoja yako ya matambiko na Nyerere amabayo wewe unaita mtama wale waliofanya matambiko huenda walifanya makosa kufanya vile lakini bado walikuwa ni Waislam, pata darsa hapa chini kuhusu Uislam na makosa.
TUBIA KWA MOLA WAKO TOBA YA KWELI.

Ewe mpenzi ndugu yangu-Allah atuwafikishe kupendana kwa ajili yake tu-Aamin. Ninakuusia kwa mapenzi ya imani ufahamu kwamba kuna mambo mengi yenye kuokoa ambayo ni wajibu kuupamba moyo wako kwa mambo hayo. Kwa msaada wa Allah ninakutajia baadhi ya mambo hayo yaliyo muhimu kabisa. Ewe ndugu yangu, ninakunasihi utambue kwamba mama wa mambo yenye kuokoa ni kutubia kwa Allah kutokana na madhambi yote. Fahamu kutaka toba ni amri ya Allah kwa waja wake walio dhaifu na wasioepuka kufanya dhambi. Allah amewaraghibisha waja wake kufanya toba kutokana na madhambi wayafanyayo na akawaahidi kuwapokelea toba yao. Akasema Allah Mola Mwenyezi: “...NA NYOTE TUBIENI KWA ALLAH, ENYI WAUMINI ILI MPATE KUFAULU”. [24:31]

Akasema tena: “ENYI MLIOAMINI! TUBUNI KWA ALLAH TOBA ILIYO YA KWELI, HUENDA MOLA WENU AKAKUFUTIENI MAOVU YENU NA KUKUINGIZENI KATIKA PEPO ZIPITAZO MITO MBELE YAKE...” [66:8] Akasema tena: “...HAKIKA ALLAH HUWAPENDA WANAOTUBU NA HUWAPENDA WANAOJITAKASA” [2:222] Akaongeza kusema: “LAKINI MWENYE KUTUBIA BAADA YA DHULMA YAKE NA AKATENDA WEMA, BASI ALLAH ATAPOKEA TOBA YAKE. HAKIKA ALLAH NI MWINGI WA KUSAMEHE (na) MWINGI WA KUREHEMU” [5:39] Akazidi kusema: “NAYE NDIYE ANAYEPOKEA TOBA ZA WAJA WAKE NA ANASAMEHE MAKOSA NA ANAYAJUA YOTE MNAYOYATENDA” [42:25]

Naye Bwana Mtume-Rehema na Amani zimshukie-anasema kuhusiana na suala zima la toba, tumsikilize: “Mwenye kutubia kutokana na dhambi aliyoifanya ni kama mtu asiye na dhambi”.

Bwana Mtume akazidi kutuambia: “Hakika Allah huukunjua mkono wake wakati wa mchana ili apate kutubia mkosa wa usiku. Na huukunjua mkono wake wakati wa usiku ili apate kutubia mkosa wa mchana (hufanya hivyo) mpaka litakapochomoza jua kutokea machweo (mazamio) yake”.
Kujiaminisha na adhabu ya Allah na kukata tamaa na rehema yake ni miongoni mwa madhambi makubwa, tahadhari na mawili haya ewe ndugu yangu uiokoe nafsi yako na hilaki. Kuwa baina ya khofu na matumaini na usighurike kwa Mola wako na wala usijijasirishe mbele yake kwani: “...HAKIKA MOLA WAKO NI MWEPESI WA KUADHIBU NA HAKIKA YEYE NI MWINGI WA KUSAMEHE (na) MWINGI WA KUREHEMU (kwa wale wanaorejea kwake)”. [6:165] Mpenzi ndugu yangu-Allah atusitiri-hebu na tukamilishe huku kuusiana kwetu mema na kukatazana maovu, kwa kuzizingatia kauli hizi za Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie:- ü “Lau muumini angelijua adhabu iliyoko kwa Allah asingeliitumai pepo yake ye yote. Na lau kafiri angeliijua rehema iliyoko kwa Allah asingekata tamaa ya pepo ye yote”. Ahmad-Allah amrehemu. ü “Allah ameumba rehema mia moja, akaiweka rehema moja (tu) baina ya viumbe wake warehemeane kwayo. Na tisini na tisa (zilizobaki) ziko kwa Allah”. Tirmidhiy-Allah amrehemu.
Nguruvi3, nadhani umesoma kidogo mafundisho ya Uislam wale wazee waliofanya matambiko ni haram kuwatoa kwenye Uislam wao.
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa kufikia kaanza kuandika povu lake!
Mnfnsssssss!
Unajua nyie wagalatia kinacho wasumbua ni kuanza siku na janaba!
Yesu kawafundisha muoge lkn hamtaki!
Sasa wewe mi nakushauri kaoge kwanza! Lbd akili itakaa sawa!
Tena usisahau kuoga josho kuu,
yaani JANABA!
au nikupe andiko? Manake nyie bila andiko lzm ligi!

Niombe andiko nikusaidie

Sijui ni nani kati yangu mimi na wewe anaetoa povu
Tatizo lenu mnadhani kila tatizo lenu limeletwa na Wakristo tu
Hamfikiririi zaidi ya hapo
Ndipo fikra zenu zilipoishia
Ndio maana kila bandiko lako ni lazima utaje Ugalatia au Yesu
Semeni nyongo hadi iwatoke na baada ya hapo bado mtaendelea kulala njaa,watoto wenu watafeli mitihani kwa kuwalazimisha kwenda madrasa tu,shule zenu zitaendelea kushika mkia kwenye viwango vya elimu
Mkiulizwa kwanini mnasema mfumo Kristo
Hakuna jipya!
 
Mtama niliosema ni huu wa matambiko. Nilisema je wazee wote walikuwa Waislam na uthibitisho upo wapi? Nikaendelea kusema bbusara zimenizuia nisiende mbali na hapo.

Mungu mwema Ritz na Mohamed Said wakalileta kwa njia tofauti. Kwahiyo mtama sikumwaga ingawaje nilitaka wakanisadia wenyewe.

Rudi nyuma usome nyuzi kwa uangalifu sana utaelewa kuwa nilizungumzia suala hili, nikasema busara zinanizuia.
Njiwa wamefungulia naona wamerudi bandani maana mawe ni mazito.
gombesugu, wazee waliopigania uhuru waliongozwa na Uzalendo wao hata kama walikuwa au hawakuwa na imani zinazodhaniwa. Hawa wa matambiko ni sehemu ya hao wazalendo ambao wanavishwa joho tofauti na ukweli.
Swali nililouliza kuwa wote walikuwa waislam linaanza kupata jibu.

Jamani acheni haya mambo ya ku dissect society tuzungumzie wazee wetu kwa pamoja kama historia, tuzungumzie matatizo ya jamii kwa pamoja. Tuongozwe na weledi katika kujadili ili kuijenga jamii pamoja na si ushabiki wa kuivuruga jamii kwa mambo yasiyohitaji elimu ya chuo kikuu bali fikra, busara na hekma

Huu ndio mtama kwasababu umemwagwa na 'njiwa' hawausogelei kwa hekma bali kuurisha samadi.
Ni ukweli ambao mwenye akili akiutumia hoja za siku za usoni zitakufa kabla ya kuanza.
Ni mtama kwasababu metoa majibu
Nguruvi3,

Huu ndiyo mtama amabao ulikuwa unauficha teh teh teh!!! hebu msome Nyerere hapa chini.
Julius Kambarage Nyerere: Baadhi yetu mtakumbuka safari moja jamaa wa Kenya, hawa akina Tom Mboya (marehemu) walishitakiwa. Tukasema tuwasaidie. Tuwasaidie vipi? Tukasema tufunge. Tukaomba nchi nzima kufunga siku hiyo. Tufunge! Tukafunga. Hakuna kula. Na siku ya kufunga tulikuwa na mkutano Bagamoyo. Tukaenda huko. Tukafanya mkutano hadi saa 12 jioni.

Baada ya mkutano tukaenda nyumbani kwa Mzee Mohamed Ramia (marehemu). Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Mimi nikamuuliza mzee: Sheikh, una Aspro? Akajibu: Kwa nini unataka Aspro? Nikajibu kuwa kichwa kinaniuma kwelikweli. Akasema subiri.

Tulisubiri hadi saa ya kufuturu.
Tukafuturu vizuri. Mzee Ramia akaniuliza: bado unataka Aspro? Nikajibu kichwa sasa hakiumi. Kumbe ilikuwa njaa.

Nawaelezeni haya kwa sababu huko tulikotoka, tulishikamana sana. Tulishirikiana sana na wazee."'
Hapa chini msome Nyerere maneno yake halafu jiulize kwa nini kila wakati Nyerere alikuwa akisema mimi Mkirsto peke yake wengine wote Waislam.
Julius Kambarage Nyerere:Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni (Dar es Salaam). Akasema: Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza. Wanakutaka usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.

Tulipomaliza wakasema kuna dua pia za wazee wao. Basi wakanitoa nje. Tukatoka. Zilipomalizika zilikuwa za
Korani
Hebu malizia hapa chini wasome wazee wa Dar es Saalam jinsi walivyokuwa na mapenzi na Nyerere.
Julius Kambarage Nyerere: Miezi minne baada ya kuanza kazi Pugu nikawa ninakuja Dar es Salaam, kwa mguu; kila Jumamosi. Baadaye wazee wakanipa baiskeli nikawa ninakuja mjini kukutana na wenzangu; kufanya mikutano.
Halafu anatokea mpuuzi mmoja anasema Nyerere alikuwa anabagulia, teh teh teH!!!
 
Swali linabaki kuwa je, hayo yalifanywa na Waislam? Je, kulikuwa na makundi ya Twasul na makundi ya matambiko? Hapo ndipo tunahitaji kufahamiana[/FONT][/SIZE]

Mr Nguruvi,
Ibada kama kufunga, na tawasul (dua), au hata dua za kuomba kupitia watu maarufu hazikumsumbua Nyerere kwa sababu hata wakatoliki wanazifanya kupitia kina Mama Maria na baadhi ya watakatifu wa kanisa lao (ni utaratibu wao). Lakini aliyo-eleza Julius ya kule Bagamoyo??? kama kuzika kondoo na vitu kama hivyo ndivyo vilimkwaza kwa vile catholics just don't do that. Haya masuala ya matambiko ni baadhi ya mambo yaliyowapandisha chat sana ndugu zetu wa Answar Sunna kwa vile wamesimama kuyapiga vita sana katika jamii za kiislamu. Nadiriki kusema kwa sasa yanaenda yakipungua sana kadri waislamu wanavyotenga mila hizi na shughuli nzima za dini. Wakati wa wakoloni na kina Julius si ajabu mambo haya yalikuwa ya kawaida. Mengine yalikuwa na mizizi asilia ya kikabila zaidi ya dini.

Lakini TO HIS CREDIT haikumvunjia urafiki wala mshikamano na wazee hawa. Yeye nadhani alipima NIA yao na kwamba walitumia the only resources they had, hizo dua. Nadhani Yeye aliona kupitia shughuli hizo bado watabaki wamoja.

Ndio maana ya kusema alikuwa pia ana adabu na ustahmilivu. Kumbuka huyu ana Masters degree ya kwanza kati ya wazalendo wa Kitanganyika, lakini angalia alivyojishusha mbele ya watu kama wazee hawa. No wonder alivuna.

Kumbuka suala la Tom Mboya wa Kenya walipokuwa na madhila huko kwao na akamjulisha Julius naye akaripoti kwa wazee hao hao, soma majibu yao. poor fellows walifanya ibada ya KUFUNGA. Nadhani ndipo Julius alikunywa maji mchana baada ya kubanwa na njaa. Look here, maji walimpa lakini wao walikomaa hadi jioni yake. Ndivyo walivyoishi.

Nguruvi et al... Swali ni hili, kilichowaletea uhuru waafrika anzia Ghana hadi South Sudan ni dini zao au Uzalendo wao? Maana kwa sasa tunasubiria nchi mpya huru zifuatazo; Dar-fur toka iliyobakia kama Sudan; Somaliland toka Somali ya sasa.

Hivi TANU ilipounga mkono juhudi za POLISARIO, PALESTINE, ni kwa sababu wale ni waislamu au ni kwa sababu wanataka kuwa huru? Majeshi ya Tanzania yamelaumiwa kumuondoa Idd Amin kwa kuhusishwa na masuala ya dini, Juzijuzi huko visiwa vya Ngazija??? yalifanya hayo hayo na kuirudisha serikali iliyokuwapo lakini NO lawama. Sasa yapo Eastern Congo. Mbona Hakuna lawama? au vile commander in chief sio Julius?

Kuna swali moja hatujaligusa kila tujadili. Upo ushahidi wa Julius kuwatafuta kina Sykes na TAA ili kufanya siasa za kumng'oa mkoloni tangu akiwa Makerere. Jee kuna ushahidi kuwa kanisa lilimlazimisha ajiunge na hawa waswahili kudai uhuru? au ilikuwa majaliwa yake binafsi?[/QUOTE] Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.
ndugu zetu wa Answar Sunna
Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?
Kumbuka suala la Tom Mboya wa Kenya walipokuwa na madhila huko kwao na akamjulisha Julius naye akaripoti kwa wazee hao hao, soma majibu yao. poor fellows walifanya ibada ya KUFUNGA. Nadhani ndipo Julius alikunywa maji mchana baada ya kubanwa na njaa. Look here, maji walimpa lakini wao walikomaa hadi jioni yake. Ndivyo walivyoishi.
Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.
Julius Kambarage Nyerere:Baadhi yetu mtakumbuka safari moja jamaa wa Kenya, hawa akina Tom Mboya (marehemu) walishitakiwa. Tukasema tuwasaidie. Tuwasaidie vipi? Tukasema tufunge. Tukaomba nchi nzima kufunga siku hiyo. Tufunge! Tukafunga. Hakuna kula. Na siku ya kufunga tulikuwa na mkutano Bagamoyo. Tukaenda huko. Tukafanya mkutano hadi saa 12 jioni.

Baada ya mkutano tukaenda nyumbani kwa Mzee Mohamed Ramia (marehemu). Hapa ndipo tulikuwa tumefikia. Mimi nikamuuliza mzee: Sheikh, una Aspro? Akajibu: Kwa nini unataka Aspro? Nikajibu kuwa kichwa kinaniuma kwelikweli. Akasema subiri.

Tulisubiri hadi saa ya kufuturu. Tukafuturu vizuri. Mzee Ramia akaniuliza: bado unataka Aspro? Nikajibu kichwa sasa hakiumi. Kumbe ilikuwa njaa.

Nawaelezeni haya kwa sababu huko tulikotoka, tulishikamana sana. Tulishirikiana sana na wazee."'
Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.
Kuna swali moja hatujaligusa kila tujadili. Upo ushahidi wa Julius kuwatafuta kina Sykes na TAA ili kufanya siasa za kumng'oa mkoloni tangu akiwa Makerere. Jee kuna ushahidi kuwa kanisa lilimlazimisha ajiunge na hawa waswahili kudai uhuru? au ilikuwa majaliwa yake binafsi?
Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.
Julius Kambarage Nyerere:Hivyo ndivyo tulivyofanya. Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.

Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA?
Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.

Nilipelekwa na Kasela Bantu - ambaye naye aliteleza-teleza na hatunaye hapa (kwenye mkutano). Kasela Bantu alikuwa mwalimu mwenzangu. Tulifundisha pamoja Milambo. Nilipokuja Dar es Salaam, nikakuta anafanya kazi Redio (Tanganyika Broadcasting Corporation). Ni Kasela Bantu aliyenipeleka kwa Sykes.
Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.
Panaposumbua ni kama ifuatavyo. Tafadhali changieni mawazo;
a; Chifu Mareale ni miongoni mwa wafadhili wakubwa sana wa Julius kipindi hicho pia, Jee ni sawa kusema mchango wa Mareale (na wengine kama yeye) ndio mchango wa madhehebu yao ya dini?
Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?
Ama kuhusu kauli yako ya viongozi wa kiislamu kuwekwa magerezani baada ya uhuru ni jambo la kusikitisha. Mimi sizijui sababu kwa sababu hawa walikuwa ni watu wa karibu na Julius wakati wa mapambano. Tafuta paper ya Dr Issa Ziddy...... EAMWS. Utapata hint.
Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?
Ama hoja yako kuhusu Bakwata, mimi sina undani wa masuala haya ya Bakwata. Na wala sijui kama lazima uifuate Bakwata. Nachojua kwa sasa ni kama Super market. Taasisi Kibao. Kama Bakwata wanakuboa, tafuta Taasisi (Dar, Moro etc) inayokidhi moyo wako dumu huko. Vipi ujipe maradhi ya bure!!!
Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.
Kumbuka huyu ana Masters degree ya kwanza kati ya wazalendo wa Kitanganyika, lakini angalia alivyojishusha mbele ya watu kama wazee hawa. No wonder alivuna.
Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...
 
Nguruvi3.

Bora hauwezi kuuchambua Uislam sababu hujausoma wala hauelewi Uislam ni mfumo mzima wa maisha una mwongozo wake ambao ni Qur`an na Sunna, Uislam umekataza mambo mengi sana takutajia kwa uchache tu.

Uislam umekataza matambiko, kuchukuwa riba, kunywa pombe, kuzini, kufanya dhulma kwa yeyote, na mambo mengine haya yote niliyoyataja mtu ukiyafanya hayawezi kumtoa kwenye Uislam wake, narudi kwenye hoja yako ya matambiko na Nyerere amabayo wewe unaita mtama wale waliofanya matambiko huenda walifanya makosa kufanya vile lakini bado walikuwa ni Waislam, pata darsa hapa chini kuhusu Uislam na makosa.

Kujiaminisha na adhabu ya Allah na kukata tamaa na rehema yake ni miongoni mwa madhambi makubwa, tahadhari na mawili haya ewe ndugu yangu uiokoe nafsi yako na hilaki. Kuwa baina ya khofu na matumaini na usighurike kwa Mola wako na wala usijijasirishe mbele yake kwani: "...HAKIKA MOLA WAKO NI MWEPESI WA KUADHIBU NA HAKIKA YEYE NI MWINGI WA KUSAMEHE (na) MWINGI WA KUREHEMU (kwa wale wanaorejea kwake)". [6:165] Mpenzi ndugu yangu-Allah atusitiri-hebu na tukamilishe huku kuusiana kwetu mema na kukatazana maovu, kwa kuzizingatia kauli hizi za Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie:- ü "Lau muumini angelijua adhabu iliyoko kwa Allah asingeliitumai pepo yake ye yote. Na lau kafiri angeliijua rehema iliyoko kwa Allah asingekata tamaa ya pepo ye yote". Ahmad-Allah amrehemu. ü "Allah ameumba rehema mia moja, akaiweka rehema moja (tu) baina ya viumbe wake warehemeane kwayo. Na tisini na tisa (zilizobaki) ziko kwa Allah". Tirmidhiy-Allah amrehemu.
Nguruvi3, nadhani umesoma kidogo mafundisho ya Uislam wale wazee waliofanya matambiko ni haram kuwatoa kwenye Uislam wao.
Kwa dhati kabisa nasema sipo hapa kujadili imani za watu na haujawa utamaduni wangu. Sijadili maadiko matakatifu kwasababu inahitaji hekima na busara kufanya hivyo.

Ninachoweza kukijadili ni kile kilichopo katika jamii. Narudia tena kusema kuwa sijui kama Matambiko na Uislam vinawiana vipi. Muhimu ni kufahamu kuwa vyote viwili vilifanyika. Hakuna sababu ya kuwa na sura mbili katika jambo wala sababu ya kuwatenga watu kwa kile wanachokiamini.

Endapo kufanya matambikoni sehemu ya Uislam sina cha kuchangia. Nilichosema ni kile alichokisema Wickama kwamba uhuru ni process iliyoshirikisha makundi yakiwa na mbinu mbali mbali.
Ni makosa kuyatenga makundi hayo na kutoa umiliki kwa kundi moja tena kwa njia za imani.

Wanaofanya hivyo wamekosa hoja na ni hao hao husema wenzao wanaamini masanam kwa udhaifu wa hoja.
Linapokuja hili la matambiko ni hao hao wanasema hiyo siyo shirki wamesahau ni kufur na aliye kufur ni kafir. Hapo ndipo embarassment ilipo kwa Mohamed na team yake. Msilete hoja msizoziangalia kutoka kona zote. Embarassment big time.

Haiwezekani ukawa na double standard huku ukisema unachokisimamia ni haki.
Leo utasikia Bakwata ni makafir, wakati huo huo utasikia kutambika hakumuondoi mtu kwenye Uislam! Alaa, hapa inakuwaje!

Anayway ninachotaka kusema ni kuwa lazima watu waongozwe kwa weledi na fikra.
Matatizo tuliyo nayo hayatokani na Uhuru, majina ya watu, Nyerere n.k. Ni matatizo tunayoishi nayo kila siku na lazima tuwe wamoja katika kuyatafutia ufumbuzi.Pesa za conseravation ya Kazimzumbwi zimetafunwa, tunalumbana kwa mambo ya majina ya bara bara n.k.

Tunalipishwa kodi za simcard wakati mkutano mmoja zimetafunwa bilioni 8.
Hatusemi hayo tumeelekeza akili zetu katika mambo yasiyolisaidia taifa.

Tumeelekeza akili zetu kwatika kufuata watu wenye masilahi yao wengine wakiwa kazini kutafuta mlo kwa machapisho yao.

Nimehoji kwanini kuwepo na tofauti kati ya mtu wa Machame/Kibohehe na yule wa Mkuranga/Ikwriri kama wote ni waathirika wa Bakwata! Hakuna mwenye jibu kwasababu ukweli ni tatizo tunalo sasa na si historia.

Hata tukibadili na kuandika vitabu mamia hilo halija solve tatizo la kukosekana kwa walimu Mkuranga. Hatujadili kwanini shule iwe na mwalimu mkuu msaidizi mwanafunzi wa form 3 tunaorodhesha kitanda alicholala Nyerere, if this is not insanity I don't know what it is.

Na mwisho, elimu si kusoma maandishi au kuzungumza lugha. Elimu ni maarifa mtu anayoyapata kwa kusoma na kuzungumza. Lazima watu waachane na utumwa wa fikra wa kujiona bora kwasababu tu anajua kutukana kwa kiingereza au kiarabu. Lazima tuelewe mazingira vema na jinsi ya kuyakabili.

Hoja zinajengwa kwa hoja, utamaduni wa matusi ni sehemu muhimu sana ya elimu ya mjinga yoyote duniani.
Unaposhindwa kutetea hoja na hutaki kujifunza unag'ang'ania kile usichokijua ni ufinyu wa busara na hekima.

Mambo ya dunia yaachwe yawe ya dunia, kufunga akili zetu kwa ushabiki ndiko kunapelekea embarrassment kama hii.Nasema mtama wa matambiko, dua na wazee should be a lesson to you guys.
Ninyi kama sehemu ya jamii yenye weledi lazima mthibitishe hivyo siyo kuwa chanzo cha embarassment.
 
Naona bado unarusha ngumi hewani, teh teh teh.

Unasema haupo kujadili imani za watu wakati huo huo unawatoa watu kwenye Uislam kwa sababu wamefanya matambiko teh teh teh tumeishakuambia ni haram kumtoa mtu kwenye Uislam kisa kafanya makosa.

Makafiri wapo hata ndani ya Uislam sijui wewe kafiri unalichukuliaje.

Hayo mengine ni yako, haya lete mtama mpya.

Wewe kila kukicha unatoa darsa la Uislam leo unajitoa ufahamu eti siyo kawaida yako kujadii imani teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Mr Nguruvi,
Ibada kama kufunga, na tawasul (dua), au hata dua za kuomba kupitia watu maarufu hazikumsumbua Nyerere kwa sababu hata wakatoliki wanazifanya kupitia kina Mama Maria na baadhi ya watakatifu wa kanisa lao (ni utaratibu wao). Lakini aliyo-eleza Julius ya kule Bagamoyo??? kama kuzika kondoo na vitu kama hivyo ndivyo vilimkwaza kwa vile catholics just don't do that. Haya masuala ya matambiko ni baadhi ya mambo yaliyowapandisha chat sana ndugu zetu wa Answar Sunna kwa vile wamesimama kuyapiga vita sana katika jamii za kiislamu. Nadiriki kusema kwa sasa yanaenda yakipungua sana kadri waislamu wanavyotenga mila hizi na shughuli nzima za dini. Wakati wa wakoloni na kina Julius si ajabu mambo haya yalikuwa ya kawaida. Mengine yalikuwa na mizizi asilia ya kikabila zaidi ya dini.

Lakini TO HIS CREDIT haikumvunjia urafiki wala mshikamano na wazee hawa. Yeye nadhani alipima NIA yao na kwamba walitumia the only resources they had, hizo dua. Nadhani Yeye aliona kupitia shughuli hizo bado watabaki wamoja.

Ndio maana ya kusema alikuwa pia ana adabu na ustahmilivu. Kumbuka huyu ana Masters degree ya kwanza kati ya wazalendo wa Kitanganyika, lakini angalia alivyojishusha mbele ya watu kama wazee hawa. No wonder alivuna.

Kumbuka suala la Tom Mboya wa Kenya walipokuwa na madhila huko kwao na akamjulisha Julius naye akaripoti kwa wazee hao hao, soma majibu yao. poor fellows walifanya ibada ya KUFUNGA. Nadhani ndipo Julius alikunywa maji mchana baada ya kubanwa na njaa. Look here, maji walimpa lakini wao walikomaa hadi jioni yake. Ndivyo walivyoishi.

Nguruvi et al... Swali ni hili, kilichowaletea uhuru waafrika anzia Ghana hadi South Sudan ni dini zao au Uzalendo wao? Maana kwa sasa tunasubiria nchi mpya huru zifuatazo; Dar-fur toka iliyobakia kama Sudan; Somaliland toka Somali ya sasa.

Hivi TANU ilipounga mkono juhudi za POLISARIO, PALESTINE, ni kwa sababu wale ni waislamu au ni kwa sababu wanataka kuwa huru? Majeshi ya Tanzania yamelaumiwa kumuondoa Idd Amin kwa kuhusishwa na masuala ya dini, Juzijuzi huko visiwa vya Ngazija??? yalifanya hayo hayo na kuirudisha serikali iliyokuwapo lakini NO lawama. Sasa yapo Eastern Congo. Mbona Hakuna lawama? au vile commander in chief sio Julius?

Kuna swali moja hatujaligusa kila tujadili. Upo ushahidi wa Julius kuwatafuta kina Sykes na TAA ili kufanya siasa za kumng'oa mkoloni tangu akiwa Makerere. Jee kuna ushahidi kuwa kanisa lilimlazimisha ajiunge na hawa waswahili kudai uhuru? au ilikuwa majaliwa yake binafsi?
Wickama.

Naomba utupe darsa kidogo kuhusu hizi bayana zako.

Ni nani hawa naona umewataja zaidi ya mara tatu kwenye mabandiko yako Answar Sunna ni nini?

Naona hapa umetofautina na Nyerere sijui nani atakuwa muongo kati ya wewe na Nyerere, msome Nyerere chini hapa halafu rudi kwenye ujisome.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenywe, kuwa makini na kauli zako watu wanasoma haya maneno.

Hebu msome Nyerere mwenyewe hapa chini.

Nadhani umemsoma Nyerere mwenyewe.

Tufahamishe Chifu Mareale alikuwa mfadhili wa Nyerere kipindi gani?

Teh teh teh!! habari za Nyerere kuwaweka magerezani wewe hauzijui, kwa hiyo kama Nyerere alikuwa mkali likuwa ni ruksa yeye kuvunja sheria, na hawa kina Oscar Kambona, na wadogo zake wawili kina Otman Kambona pamoja na Joseph Kasela Bantu, Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, walivyowekwa kizuizini wewe huzijui?

Teh teh teh unasema hauna undani wa masuala ya Bakweta halafu hapa hapo unafanya hitimisho kama Bakwata wanakuboa taasisi zingine, vipi ujipe maradhi ya moyo teh teh teh!!! umeishajiuliza kwa nini Wakisto wengi wapo nyuma ya Bakwata.

Hii wala siyo hoja hata Mwapachu na Fundikila walikuwa wasomi wana Degree nao walikuwa wanajishusha pia kwa hawa wazee No wonder...[/QUOTE]

Shukran sana Ritz. Naona umesaidia sana, na haitakuwa na maana kuchafua kazi uliyoifanya. Haina haja. Anzisha hoja na wewe. GOOD JOB, EDITING NZURI.
 
Nguruvi3 na Wickama mtakuwa mmepata darasa zuri la Ritz wala sina la kuongeza labda nisisitize tu kuwa hao wazee wakiislamu wataendelea kuwa walipigania uhuru wa taifa lao kama wazalendo na waislamu ila kwa makusudi Nyerere kwa chuki zake aliamua kuwafuta katika historia ya taifa hili. Kuwazungumzia wazee wetu waliosahaulika katika historia ya nchi hii tutaendelea na itakuwa ndio njia nzuri ya kuwaenzi. Wala kuwazungumzia hakutuzuii kujadili mambo mengine yakitaifa yanaendelea sasa na mengineyo. Tunamheshimu mzee Mohamed Said kwa kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya hata kama una muita mwenye kujitafutia kupitia njia unayoiona wewe ni ya kilaghai.
Akhsanteni.
 
Shemeji Ritz;

1. Dawa ya deni ni kulipa, sio kubisha kuwa "wewe unanidai vibaya". Usikwepe Hoja za article kwa sentesi za "glass ya maji" wewe angalia SPIRIT YA UJUMBE kisha kita hoja zako huko.

2. maswali mengine unayotaka uambiwe maana ya maneno au vikundi fulani hiyo ni kazi ya internet search engines. Jimwage GOOGLE kwa raha zako.

3. Soma vizuri kilichoandikwa. Nilikuusia tangu threads ya Yericko (....)kuwa hujipi muda wa kupitia jambo vizuri. Paper ya Dr Ziddy ina hayo masuala ya masheikh kuteseka na hadi misukosuko ya bakwata, ipo free online lakini sio kazi yangu kuweka link. Ni kazi ya search engines. Nimempa hint Ustadh Chamviga kama mchango kwa article yake nzuri. Zingatia Chamviga hakuniuliza kwanini waligombana. Alisema baada ya uhuru Julius aliwageuka..... ndiyo maana ya kumwelekeza hiyo paper, naamini zipo nyingine. Tusaidie pia.

4. Mtu kukosea wakati anaandika article ni jambo la kawaida na wala halizui ugomvi labda uwe na ushahidi kuwa kosa lile ni la makusudi ili KUFICHA au KUPOTOSHA wasomaji. huna haja ya kutumia "deragatory response" kwa mwandishi aliyekosea juu specific details na huku una uwanja wa kuwaelimisha watu kuwa the correct version ni hii. Isitoshe mwandishi kugundua aliacha jambo huwa ni kawaida. Shukran lakini kwa masahihisho yako.

5. Ukijibu au kusaidia kitu bakia kwenye swali mama. Chamviga aliuliza juu ya Masheikh kuwekwa magerezani. Nilimjibu kama alivyouliza, mfano wa Mara niliutumia kumjulisha wapo pia non-moslems walioonja kizuizini under Nyerere. Pima kama mifano yako ya kina Mapalala inamsaidia Chamviga katika swali lake la msingi. Umekomaa kuhusu kujua au kutojua kwangu kuwa fulani (haswa kama ni maarufu) aliwekwa kizuizini enzi za Nyerere kunanipa kilema gani katika jamii? Hiyo data huwa kuna ofisi wanakusanya (human rights groups) na ukiitaka unapewa. Its not a big deal. Sasa tatizo ni nini? Kwani hapo ulipo unajua gereza la Butimba Mwanza au Karanga Moshi yana wafungwa wangapi wenye mimba hadi mwezi jana? suppose nikukushangaa?

6. Navyojua mimi Nyerere alikuwa wa kwanza kuwa na a Masters Degree katika waafrika wa Tanganyika Sijakataa kuwa nchi haikuwa na wenye degree. Hapa ni Masters naongelea. Pinga hoja. Ama kuhusu kujishusha ni kwamba hata Abdul Sykes alijishusha sana kwa wazee, ila hakuwa na Masters degree.

7. Nimekusikia ukisema kuwa WAKIRISTO WENGI wako nyuma ya BAKWATA. Awali nilidhani wakiristo ni adui wa Taasisi zote za Kiislamu. Huenda wana sababu. Nashauri wasiliana na Baraza la Kikristo la Tanzania kupata majibu stahiki.

8. Masuala ya kina Mareale yalishajadiliwa tangu wakati wa uzi wa Yericko, sina haja ya kuyarudia.
 
Nguruvi3 na Wickama mtakuwa mmepata darasa zuri la Ritz wala sina la kuongeza labda nisisitize tu kuwa hao wazee wakiislamu wataendelea kuwa walipigania uhuru wa taifa lao kama wazalendo na waislamu ila kwa makusudi Nyerere kwa chuki zake aliamua kuwafuta katika historia ya taifa hili.

Kuwazungumzia wazee wetu waliosahaulika katika historia ya nchi hii tutaendelea na itakuwa ndio njia nzuri ya kuwaenzi. Wala kuwazungumzia hakutuzuii kujadili mambo mengine yakitaifa yanaendelea sasa na mengineyo.

Tunamheshimu mzee Mohamed Said kwa kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya hata kama una muita mwenye kujitafutia kupitia njia unayoiona wewe ni ya kilaghai.
Akhsanteni.
Kwanza kabisa sijui kwanini mnaniwekea maneno mdomoni kila uchao. Jamani pambaneni na hoja zangu na si kutafuta uchonganishi. Hayo maneno niliyo bold hakuna mahali nimetaja Mohamed Said.

Pili, hakuna tabu historia ikiandikwa hata mara alfu, lakini basi ifanywe hivyo candidly with integrity.
Flip flops and embelishment should not be entertained.

Kuwazungumzia wazee wetu ni jambo jema lakini si ku dissect society.
The discussion(s) should be civil without injecting incendiary or derogatory words.
 
alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuh,

al habib gombesugu wajua al akhiy hata ktk zile vita vya badri na handaq kulikuwa na wale negotiators kama kina Othman ibn affan na kina mughera r.a which in this case its you na kina sheriff Ritz na kuna wale wapiganaji ambao hawataki maongezi! kina Khalid bin walid na omar bin al khatab r.a.

sasa mimi napenda hizo nafasi za omar na Khalid r.a! teh teh teh teh !

hawa wachungwaji wakija macho juu wee niletee tu huku, nna bakora yangu hapa futi 7!!

ahsante habib lkareem.
ha ha ha ha. for god sake, you are so impressive.
 
Nguruvi3 na Wickama mtakuwa mmepata darasa zuri la Ritz wala sina la kuongeza labda nisisitize tu kuwa hao wazee wakiislamu wataendelea kuwa walipigania uhuru wa taifa lao kama wazalendo na waislamu ila kwa makusudi Nyerere kwa chuki zake aliamua kuwafuta katika historia ya taifa hili. Kuwazungumzia wazee wetu waliosahaulika katika historia ya nchi hii tutaendelea na itakuwa ndio njia nzuri ya kuwaenzi. Wala kuwazungumzia hakutuzuii kujadili mambo mengine yakitaifa yanaendelea sasa na mengineyo. Tunamheshimu mzee Mohamed Said kwa kazi nzuri aliyoifanya na anayoendelea kuifanya hata kama una muita mwenye kujitafutia kupitia njia unayoiona wewe ni ya kilaghai.
Akhsanteni.

Chamviga unaweza usiamini;
Lakini M\Mungu atakulipa sana kwa huo ujasiri wako ulioutumia kuandika sentesi number 2. Ndio kiini cha ujumbe wangu. Nakuheshimu sana kwa maneno haya. Mzee MS ana wasomaji wake na soko lake na wala sijawahi kupata tatizo na TANU kuzaliwa Burma au Mwananyamala kisha kuandikishwa rasmi Dar. Wala hainisumbui kusikia Nyerere kuomba matango au kabichi hapo sokoni Kariokoo. Sigara hazitajwi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom